Wahitimu wengi wanajutia kusoma chuo kikuu. Mzazi mwandalie mwanao Mtaji. Zama zimebadilika

Wahitimu wengi wanajutia kusoma chuo kikuu. Mzazi mwandalie mwanao Mtaji. Zama zimebadilika

Je ukisoma sekondari tu bila kwenda chuo kikuu hupati ukombozi wa fikra ?

Ukisoma shule za kayumba hupati ukombozi wa fikra?
The more unavoongeza elimu ndo unavoongeza uelewa za kuzidi kujikomboa hiyo haijalishi kayumba au magari ya njano kama wote nmemaliza secondary mnafanana hamna uchawi
 
Ww kama haijakukimboa usiwe general kwamba wote haijawakomboa ni mindset yako ilipinda ikakataa kubadili mtazamo tangu unasoma had sa iz haikusaidii
Umegundua nini?? Hizi elimu za kukariri hazina impact yoyote
 
Ni vizuri kuwafikiria watoto kabla ya kila kitu
Tunajua hata sisi tulikuwa na mababu wakaondoka na wazazi wataondoka ni circle of life
Basi na sisi hatuna budi kuwawekea misingi mizuri
 
Je ukisoma sekondari tu bila kwenda chuo kikuu hupati ukombozi wa fikra ?

Ukisoma shule za kayumba hupati ukombozi wa fikra?
Sekondari haimpi mtu uhuru wa kifikra, wengi wamepelekwa tu bila kujijua kwahiyo akiishia sekondari bado hajijui yeye ni nani
 
Back
Top Bottom