daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Hata Mo Dewji kasoma chuo kikuu pamoja na kuwa na mtaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mo Dewji kasoma chuo kikuu pamoja na kuwa na mtaji
AbsolutelySekondari bado.
Hadi ufike walikoandika ''WISDOM IS FREEDOM''
Leo umeweka comment mujarabu kabisaWatu wapewe passport watafute fursa nchi nyingine
Ila sasa suala jingine linakuja ni elimu yetu hii 🥴 mtu mhitimu wa chuo ila kujieleza hata kwa kiswahili anashindwa
Leo umeweka comment mujarabu kabisa
Safi sana mkuu
Hapo kwenye passport muhimu saaana saaanaa
Kujieleza kutakuja hukohuko mbele
Nakuhakikishia ,mtu aliefika chuo kikuu akienda nje huko akakaa mwezi tu anaongea kimalkia fresh tu
Ila Sasa passport kupatikana inaonekana Kama anasa
Serikali ya ccm imejaa laana
sasa hiyo anaelalamikia degree ya London ndio degree ipi hiyo inaitwa ya London? tuanzie hapo
Bora uache kuchangia tu, inakuwaje mtu unatupa kazi ya kusoma vitu unakosea neno baada ya neno? Yani ukiandika hupati muda wa kurudia kusoma kidogo ndio upost?Kwa hii mistari unajichanganya mzee.
Unaweza eleza manufaa ambayo drs7 hapati na huyo wa chuo anapata ?
unaweza weka reference hapa. Wengi sana wamepata eisdom bika hio rlimu ya hiko milimani. Mfano Sokret hakuwa na elimu ya mlimani. Jesus, Muhamad, Budha nk hao wote ni watu wenye wisdon waliowahi kuishi na wala hawajaenda huko milimani.
Istoshe malaki ya watu wamefoika elimu ya juu na hawana hio wisfom.
Education is one of source of powrr.Mimi nakumboka hivyo.
Anyway kama unaxnfika gommon sense sawa ila kama ni taarifa za kwenye madesa na vitabu mengi hapo opinion zako.
Opinion zake usifanye kuwa facts.
Nadhani umejikita zaidi kwenye maoni binafs na umeshindwa kuelezea freedom of thought ukaeleweka.
Unapotoa mfano eti kuna profesa hana hela na drs la 7 ana hela. Unadhanu huu ni mfano sahihi kwa utetezi wako? Hudhani huu ni mfano dhaifu ambao ndio umetokana na mada kuu ?
Wewe neno ukombozi unalielewaje ?
Hapa hatujazungumzia utajiri . Tunajadili elimu imsaidie mtu kupata kazi, ajiajiri au aajiriwe apate pesa za kujikimu badala ya kukaa nyumbani.
Msingi wa Mada ni watu wapate pesa za kujikimu mahitaji yao.Mada hapa haijasema mtu awe MOE.
Umevurugwa sana na vitabu vya kina Kiwasoki ,Cant, Plato. Vimekuvuruga mkuu.
Jaribu kujadili ktk uhalisia wa maisha acha hypothesis za kina plato, kiwasoki .
Wanaosoma kwa lengo la kufurahia kusoma tu hapa TZ hawapo na ndio maana kozi zisizo na ajira takwimu imeanza kushuka, vijana hawazitaki wameshtuka zinawapotezea mda.
Kuna kipindi huko Japani vijana walikuwa wanajinyonga sana kwa sababu ya kukosa ajira baada ya kuhitimu, kwa hio Japan hawa hio freedom ? na sasa hali hio inaanza kutokea TZ.
Usijadili tu kwa kuwa umevuka huo msala tena kwa bahati tu ya kutokuwepo ushindani au kubebwa na mfumo.
Sina. Naona niache tu kwa kuwa napoteza muda hamna faida nayopata kuandika humu.Bora uache kuchangia tu, inakuwaje mtu unatupa kazi ya kusoma vitu unakosea neno baada ya neno? Yani ukiandika hupati muda wa kurudia kusoma kidogo ndio upost?
Maisha yamebadilisha kitasa elimu sio ufunguo tena.Elimu ni ufunguo wa maisha 😊
Si umuachishe shule sasa akaanze biashara azoee mapemaHuu ni ukweli mchungu.
Naumia sana Nikiwaza milioni tatu zangu ambazo Tusiime wanachukua kwa mwanangu kila mwaka.
Halafu akimaliza chuo aje kuanza kujifunza kuuza chipsi.
Ni bora ningemnunulia mashamba na viwanja akiwa mkubwa apate pa kuanzia.
Akikosa mtaji anauza tu kiwanja chake kimoja.. kisha anaenda china kufunga mzigo
Unazungumzia hii Elimu yetu ya kibongo?? Ama ya kule ulaya mkuu.
Tungekuwa tumefanya mapinduzi ya viwanda shida isingekuwa kubwa hiviSi rahisi wazazi wa Kitanzania kuelewa,kutambua kuwa mambo yamebadilika hivyo ni vyema nao kubadilika.
Ni taifa la namna gani tunalo andaa ? Hatujafika hata mapinduzi makubwa ya kiteknolojia & kiviwanda lakini hali mbaya namna hii ? Inasikitisha
Ww ndo huwez kujieleza acha kupotosha yaani morning speech, debate za secondary bado presentations chuo bado kuna platform nyingi chuoni za kutoa speech ushindwe kujieleza?Watu wapewe passport watafute fursa nchi nyingine
Ila sasa suala jingine linakuja ni elimu yetu hii 🥴 mtu mhitimu wa chuo ila kujieleza hata kwa kiswahili anashindwa