Ni kweli elimu mitandaoni ipo, but, ili unufaike nayo, ni lazima uwe umesoma. Illiterate au darasa la 7, hawezi kunufaika na elimu ya mitandaoni.
Kwa hii mistari unajichanganya mzee.
Unaweza eleza manufaa ambayo drs7 hapati na huyo wa chuo anapata ?
rich, the aim of education is to get wisdom, na ndio
unaweza weka reference hapa. Wengi sana wamepata eisdom bika hio rlimu ya hiko milimani. Mfano Sokret hakuwa na elimu ya mlimani. Jesus, Muhamad, Budha nk hao wote ni watu wenye wisdon waliowahi kuishi na wala hawajaenda huko milimani.
Istoshe malaki ya watu wamefoika elimu ya juu na hawana hio wisfom.
Elimu ni knowledge, and it is not power
Education is one of source of powrr.Mimi nakumboka hivyo.
Anyway kama unaxnfika gommon sense sawa ila kama ni taarifa za kwenye madesa na vitabu mengi hapo opinion zako.
Opinion zake usifanye kuwa facts.
Nadhani umejikita zaidi kwenye maoni binafs na umeshindwa kuelezea freedom of thought ukaeleweka.
Unapotoa mfano eti kuna profesa hana hela na drs la 7 ana hela. Unadhanu huu ni mfano sahihi kwa utetezi wako? Hudhani huu ni mfano dhaifu ambao ndio umetokana na mada kuu ?
Wewe neno ukombozi unalielewaje ?
Lengo la kusoma siyo utajiri
Hapa hatujazungumzia utajiri . Tunajadili elimu imsaidie mtu kupata kazi, ajiajiri au aajiriwe apate pesa za kujikimu badala ya kukaa nyumbani.
Msingi wa Mada ni watu wapate pesa za kujikimu mahitaji yao.Mada hapa haijasema mtu awe MOE.
Umevurugwa sana na vitabu vya kina Kiwasoki ,Cant, Plato. Vimekuvuruga mkuu.
Jaribu kujadili ktk uhalisia wa maisha acha hypothesis za kina plato, kiwasoki .
Wanaosoma kwa lengo la kufurahia kusoma tu hapa TZ hawapo na ndio maana kozi zisizo na ajira takwimu imeanza kushuka, vijana hawazitaki wameshtuka zinawapotezea mda.
Kuna kipindi huko Japani vijana walikuwa wanajinyonga sana kwa sababu ya kukosa ajira baada ya kuhitimu, kwa hio Japan hawa hio freedom ? na sasa hali hio inaanza kutokea TZ.
Usijadili tu kwa kuwa umevuka huo msala tena kwa bahati tu ya kutokuwepo ushindani au kubebwa na mfumo.