Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado wanakuja wengine wengi tu na wanaingia kingi kirahisi huko mitaani.Habari wadau.
Wazazi wengi tunasomesha watoto kwa kujibana, Tena shule za gharama. Tunakopa huku na huku tuwalipie ada. Nawakumbusha tu tukumbuke na kuwaandalia mitaji ya biashara wakimaliza kusoma.
Graduates wengi ambao wazazi wao hawajawapa mitaji wamekuwa wazururaji tu mitaani, walevi wenye msongo mkubwa wa mawazo.
Graduates ambao wapo vizuri ni wale ambao kwao wamepewa mitaji. Na wale wenye vipaji kama wasanii kina Bilnass.
Hizi ni comments za graduates wanaojutia kwenda chuo kikuu. Maoni haya wametoa baada ya graduates mmoja kulalamika degree yake haijamlipa. Bali ilimpotezea muda tu na kumpa ego ya kujiona class ya juu.
View attachment 3044026
View attachment 3044029
View attachment 3044032
View attachment 3044035
View attachment 3044029
View attachment 3044047
View attachment 3044048
View attachment 3044050
View attachment 3044050View attachment 3044137View attachment 3044136View attachment 3044135View attachment 3044134View attachment 3044133View attachment 3044132View attachment 3044131
Ni kama mzaha ila ndo uhalisiaHabari wadau.
Wazazi wengi tunasomesha watoto kwa kujibana, Tena shule za gharama. Tunakopa huku na huku tuwalipie ada. Nawakumbusha tu tukumbuke na kuwaandalia mitaji ya biashara wakimaliza kusoma.
Graduates wengi ambao wazazi wao hawajawapa mitaji wamekuwa wazururaji tu mitaani, walevi wenye msongo mkubwa wa mawazo.
Graduates ambao wapo vizuri ni wale ambao kwao wamepewa mitaji. Na wale wenye vipaji kama wasanii kina Bilnass.
Hizi ni comments za graduates wanaojutia kwenda chuo kikuu. Maoni haya wametoa baada ya graduates mmoja kulalamika degree yake haijamlipa. Bali ilimpotezea muda tu na kumpa ego ya kujiona class ya juu.
View attachment 3044026
View attachment 3044029
View attachment 3044032
View attachment 3044035
View attachment 3044029
View attachment 3044047
View attachment 3044048
View attachment 3044050
View attachment 3044050View attachment 3044137View attachment 3044136View attachment 3044135View attachment 3044134View attachment 3044133View attachment 3044132View attachment 3044131
Haujapoteza kwani ujuzi si anao mkuuKwahiyo mzazi ulipoteza hela ya ada Muhimbili ili mwanao aje kuuza hereni k.koo??
#YNWA
Bado nadundaWatu wengi na hapa JF wamekuwa wakifuta au uzi zangu kuhusu nchi yetu ni takataka.
Kama unapesa peleka mtoto nchi za nje anaweza kuja nyumbani kujua kuna wajinga moja wapo kama samia na ccm yake
Mfu ajiongoleshiBado nadunda
Sawa sawa mdogo anguMfu ajiongoleshi
Asante sana, nitakuja nijaribu kuelezea.Can you explain what do you mean by fredom of thought ?
How doesn't it unrelated with money creation, money innovation and anything which can't be related with money creation?
Where does freedom of thought focus and inwhich area does it help human.
What is its purpose?
Tulia utanisumilia tu wala usiwe na wasiwasi we kimbilia mpaka kwa mwamposa hakuuzie dizeliSawa sawa mdogo angu
Ahahahaha sawa sawaTulia utanisumilia tu wala usiwe na wasiwasi we kimbilia mpaka kwa mwamposa hakuuzie dizeli
Uhusiano unaweza kuwepo lakini siyo mkubwa.kuna uhusiano mkubwa sana kati ya thought na financial freedom
YESU NI MWOKOZI
System gani iliyofeli?Nabisha na kukataaa
Sasa tulikomaa nini na BS, Chandy, Medicine chuo halafu elimu yotee nifugie kuku.
Sema system imefeli, then tunajipa moyo tuuu.!!!
#YNWA
Kutokana na tulipianzia mjadala na jinsi ulivyoeleza hapa. Hio freedom of thought lazima ukaipate chuo kikuu ? Maana vyuo vyenyewe vinachagua tuvitu tuchache twa kumfundisha mtu. Kama ishu ni kupata mawanda mapana, elimu ya hivyo si imejaa mitandaoni ni kujipa muda na bando unasoma unachokitaka.Uhusiano unaweza kuwepo lakini siyo mkubwa.
Freedom of thought ni likitu likubwa lisilo na mwisho, mfano wa bahari, halafu Financial freedom ni ka kipande kadogo tu, yaani kama samaki tu katika bahari.
Yaani labda niongezee hivi,
Financial freedom ni matokeo ya kumaster somo tu, somo la financial education.
Freedom of thought inaweza kuinvolve faculty yeyote ile kwny ulimwengu huu.
Muende nyie huko hospital mkapate tiba, mnaolalama ajira ngumu na kujutia muda uliopotea mkiwa masomoniii, mie niko swafiii kabisaaa.Unaujua wehu. Abnormality! Psychiatric, nk
Kuona vitu kawaida visivyo vya jawaida. Ipi siku uraona hata ukitembea kinyume nyume ni sawa. Kemea hio hali.yaani umesoma hujapata ajira na hivyo vyeti havikusaidiu kupata income unaona okay!. Mkuu nenda hospitali haupo kawaida, usipuuze wahi kwa Doctor.
Acha kuhamisha mada.Tukianza kuandika elimu, malengo na tunachokifanya, basi server ya JF itajaa.
Tumshukuru Mungu kwa kila jambo!
Shida ya wasomi wa Tanzania ni vipofu hawawezi kuona fursa wamekariri.Hayo maoni ya wanachuo wengi ni vilaza.kuandika hapa anaandika apa.kusoma ni kuondoa ujinga na kukuwezesha kutatua changamoto zinazokuzunguka.kupitia elimu zao walizopata shuleni ziwasaidie kubuni miradi itakayopelekea kutatua hizo shida zao.kuna mmoja analalamika kuwa shahada yake imeishia kwenye ufugaji wa kuku hajui kuwa Kuna watu wamepata utajiri Kwa kufunga kuu hasa Hawa wa kisasa?
Nenda hospitali mkuuu. Eti unashika vyeti unafurahia hata kama havijakusaidia kupata ajira. Umesema mwenyewe mkuu kuwa unafurahia usinibadilishie kibao.Muende nyie huko hospital mkapate tiba, mnaolalama ajira ngumu na kujutia muda uliopotea mkiwa masomoniii, mie niko swafiii kabisaaa.
Woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]