Muhadhiadam
Member
- Nov 21, 2022
- 24
- 28
Hivi elimu ni zile content unazokuwa nazo kichwani au ni lile karatasi ( gamba)?Vijana someni ELIMU ukiipata hauwezi kuipoteza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi elimu ni zile content unazokuwa nazo kichwani au ni lile karatasi ( gamba)?Vijana someni ELIMU ukiipata hauwezi kuipoteza.
Mkuu wataka kusemaje hapa hebu maliziaHivi elimu ni zile content unazokuwa nazo kichwani au ni lile karatasi ( gamba)?
Hivi Tusiime bado ipo kweli?Huu ni ukweli mchungu.
Naumia sana Nikiwaza milioni tatu zangu ambazo Tusiime wanachukua kwa mwanangu kila mwaka.
Halafu akimaliza chuo aje kuanza kujifunza kuuza chipsi.
Ni bora ningemnunulia mashamba na viwanja akiwa mkubwa apate pa kuanzia.
Akikosa mtaji anauza tu kiwanja chake kimoja.. kisha anaenda china kufunga mzigo
Hivi elimu ni zile content unazokuwa nazo kichwani au ni lile karatasi ( gamba)?
Pole sanaa aisee. Mungu akufanikishe katika mipango yako.Mnashukuru wenzetu mna wazazi wengine tumejisomesha wenyewe na bado tunajitafutia mitaji wenyewe
R.i.p mother&dad
Wee Raraa muongo bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wapewe passport watafute fursa nchi nyingine
Ila sasa suala jingine linakuja ni elimu yetu hii [emoji3061] mtu mhitimu wa chuo ila kujieleza hata kwa kiswahili anashindwa
Nabisha na kukataaaWengi hamuelewi lengo la kusoma ndio maana mnalalamika.
Lengo la kusoma siyo kupata utajiri au kuboresha maisha.
Lengo la kusoma ni kupata freedom.
Yes!
FREEDOM OF THOUGHT.
Yaani kwa kiswahili ni UKOMBOZI WA FIKRA.
Maarifa katika ulichokisomea na sio maarifa ili mradi kazi.Hata watoto wa matajiri wanaenda kwanza shule na kupata degree ndo mambo mengine yanafuata....lengo la kusoma ni kukupa maarifa kwanza, mambo ya ajira au kufanikiwa ni mipango mingine tofauti.
Kwahiyo mzazi ulipoteza hela ya ada Muhimbili ili mwanao aje kuuza hereni k.koo??Inapendeza kuwa na wafanyabishara wasomi
nawaona kwenye mafanikio miaka ya mbeleni kikubwa ni nidhamu
Pole sana mkuu.Utatoboa tu,nkama kote huko umepita bas Mungu ataikamilisha tu safari yako. Just believeMnashukuru wenzetu mna wazazi wengine tumejisomesha wenyewe na bado tunajitafutia mitaji wenyewe
R.i.p mother&dad
kweli mkuu, coet inavyobana halafu yote yale niweke pembeni?Maarifa katika ulichokisomea na sio maarifa ili mradi kazi.
Sasa kama shida ni ajira tu, nilikomaa nini na masomo ya engineering nije kuuzia hereni k.koo?
#YNWA
kuna uhusiano mkubwa sana kati ya thought na financial freedomNimesema ni FREEDOM OF THOUGHT, sio FINANCIAL FREEDOM.
Can you explain what do you mean by fredom of thought ?Nimesema ni FREEDOM OF THOUGHT, sio FINANCIAL FREEDOM.
Unaujua wehu. Abnormality! Psychiatric, nkSijui kwann mie niko tofauti kidg, hakuna kitu nafurahi km kuona vyeti vyangu vya Elimu kwa level zote nilizopita.
Yaan sijawahi juta kivimiliki kabisaa, niko proud had bas, hata nisipate ajira kutokana na taaluma yangu, sijari na siwazi, kwa kifupi sistukiii yaan.
Ajira sio shida zangu kabisaaa!!
Mwache anyooshe lugha ya kimataifa vizuri, apate maarifa, apate confidence, utakapoona imetosha fanya unavyoona inafaa.Huu ni ukweli mchungu.
Naumia sana Nikiwaza milioni tatu zangu ambazo Tusiime wanachukua kwa mwanangu kila mwaka.
Halafu akimaliza chuo aje kuanza kujifunza kuuza chipsi.
Ni bora ningemnunulia mashamba na viwanja akiwa mkubwa apate pa kuanzia.
Akikosa mtaji anauza tu kiwanja chake kimoja.. kisha anaenda china kufunga mzigo