Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Kwan ukipata degree ndo inakupa Kinga ya kuumwa akili?Yaani saiv elimu Iko Kila Kona Kuna kichaa apa mtaani namuonaga juzi kati ndo naambiwa ana degree alimalizag UDSM🥴🥴🥴
The more unavoongeza elimu ndo unavoongeza uelewa za kuzidi kujikomboa hiyo haijalishi kayumba au magari ya njano kama wote nmemaliza secondary mnafanana hamna uchawiJe ukisoma sekondari tu bila kwenda chuo kikuu hupati ukombozi wa fikra ?
Ukisoma shule za kayumba hupati ukombozi wa fikra?
Umegundua nini?? Hizi elimu za kukariri hazina impact yoyoteWw kama haijakukimboa usiwe general kwamba wote haijawakomboa ni mindset yako ilipinda ikakataa kubadili mtazamo tangu unasoma had sa iz haikusaidii
Hii ndo watu waache elim sio biashara ni urithi so huwez kumridhisha mtu kitu cha kukopeshwa somesha kulingana na uwezo wakoSio kusoma tu bali wanalipiwa ada hela nyingi.. ambazo zinapatikana kwa mikopo ya kausha damu
Ww ndo ulikariri mzee mm nimefanya research ipo inadaidia watanzania wote sa izUmegundua nini?? Hizi elimu za kukariri hazina impact yoyote
Utani huo sasa 😀😀😀Yaani saiv elimu Iko Kila Kona Kuna kichaa apa mtaani namuonaga juzi kati ndo naambiwa ana degree alimalizag UDSM🥴🥴🥴
Sekondari haimpi mtu uhuru wa kifikra, wengi wamepelekwa tu bila kujijua kwahiyo akiishia sekondari bado hajijui yeye ni naniJe ukisoma sekondari tu bila kwenda chuo kikuu hupati ukombozi wa fikra ?
Ukisoma shule za kayumba hupati ukombozi wa fikra?