wahitimu wetu wa IT wamelala sana, kuna mitandao kibao ya kupiga Dola Online lakini bado wapo mitaani ramani hazisomeki.

wahitimu wetu wa IT wamelala sana, kuna mitandao kibao ya kupiga Dola Online lakini bado wapo mitaani ramani hazisomeki.

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Vijana waliohitimu dip na degree za computer almaarufu "ma IT" wapo wengi sana mtaani bila ramani ya kueleweka.

Nashangaa sana kwasababu kuna mitandao mingi sana ya kupiga dola online, sehemu nyingi dunian IT wa kizazi hiki hawasubiri kazi, wapo ndani wanapiga dola.

Mifumo ipo lakini IT wengi ni wavivu kuumiza vichwa, wakisikia hela za online wanadhani ni sehemu tu unaminya kama kudownload muvi 😂 hapo ndio utasikia wengi wakilalamika "sio rahisi", "comprtition", "process". kwa lugha nyepesi wanataka kitonga

Kuna free lancing, watu wanahitaji huduma mfano website designing au kutengenezewa app, unatengeneza account yako kwenye mitandao inayowakutanisha wateja na wataalam, unapewa tenda, ukikamilisha unalipwa dola zako

Kuna mitandao inaitwa affiliate marketing, Wazungu vitu vingi sana wananunua online, ukimshawishi anunue kitu unapewa commision

Kuna mitandao ya kuprint vitabu, wewe unabuni mfano kitabu cha kutunza kumbukumbu, watoto kujaza rangi kwenye michoro, n.k. kila kopi ambayo kiwanda kitamprintia mteja kitabu unapewa commision

Kuna blogs, watu wanahitaji taarifa mfano ajira zilizotoka, michezo na mambo mengi, watu wapo vyumbani wanagonga dola,
 
Unaongea kirahisi sana kuhusu kupiga dola, wakati hata waliokuwepo kwenye mfumo wa kupiga hizo dola wengi washasanda!

Huku nako kunahitaji akili ya ziada, hizo IT na Computer science ni kujilisha upepo tu, vinginevyo utaishia kupata hela ya mboga tu!
 
Ni kwa Tanzania ambako mtu akiaminishwa kitu flani ni ngumu kutoboa anatia akilini ni hivyo.

Nenda Kenya hapo, watu wanapiga dola tangu 2010 legit.
Nani wa kulaumiwa kwenye hilo
 
Unaongea kirahisi sana kuhusu kupiga dola, wakati hata waliokuwepo kwenye mfupo wa kupiga hizo dola wengi washasanda!

Huku nako kunahitaji akili ya ziada, hizo IT na Computer science ni kujilisha upepo tu, vinginevyo utaishia kupata hela ya mboga tu!
Hizo dola sio nyepesi kuzipata kama sio mbunifu, IT wetu ubunifu bado mdogo sana, ndio maana ni ngumu kuzikuta hata apps zilizotengenezwa na wabongo playstore nje ya zile za habari za udaku na mpira.

Kama huna kitu cha ku offer hata kama upo kwenye mfumo hakuna ataeona thamani yako,
 
Vijana waliohitimu dip na degree za computer almaarufu "ma IT" wapo wengi sana mtaani bila ramani ya kueleweka.

Nashangaa sana kwasababu kuna mitandao mingi sana ya kupiga dola online, sehemu nyingi dunian IT wa kizazi hiki hawasubiri kazi, wapo ndani wanapiga dola.

Mifumo ipo lakini IT wengi ni wavivu kuumiza vichwa, wakisikia hela za online wanadhani ni sehemu tu unaminya kama kudownload muvi 😂

Kuna free lancing, watu wanahitaji huduma mfano website designing au kutengenezewa app, unatengeneza account yako kwenye mitandao inayowakutanisha wateja na wataalam, unapewa tenda, ukikamilisha unalipwa dola zako.

Kuna mitandao inaitwa affiliate marketing, Wazungu vitu vingi sana wananunua online, ukimshawishi anunue kitu unapewa commision, watu wanabonda hadi dola elf 20 kila mwezi.

Kuna mitandao ya kuprint vitabu, wewe unabuni mfano kitabu cha kutunza kumbukumbu, watoto kujaza rangi kwenye michoro, n.k. kila kopi ambayo kiwanda kitamprintia mteja kitabu unapewa commision.

Kuna blogs, watu wanahitaji taarifa mfano ajira zilizotoka, michezo na mambo mengi, watu wapo vyumbani wanagonga dola
Mkuu unaongea coz wewe hujasona IT na hujawahi jaribu hizo mishe
Ni kazi bro + procedures kibao + competition mchele

Kutoboa ngumuu
 
Mkuu unaongea coz wewe hujasona IT na hujawahi jaribu hizo mishe
Ni kazi bro + procedures kibao + competition mchele

Kutoboa ngumuu
Kama hata sisi wateja wa ndani ya nchi mnatuzingua mtawezaje huko kwa wazungu ?

Mbongo unampa tenda akutengenezee website au app atakutajia kiasi flani kikubwa tu,

unamuamini unampa hela lakini hio website unaikuta ina vipengere kibao.

IT wa bongo wanaamini hela za online ni kama kudownload muvi, wanadhani ni kitu rahisi rahisi,
 
We umewahi kufanya Kazi online na ukawa unaingiza pesa ?

Mimi mtandoini ndo huwa Kama kijiwe changu Ila napenda u on gee jambo je umewahi kufanya Kazi online?
 
We umewahi kufanya Kazi online na ukawa unaingiza pesa ?

Mimi mtandoini ndo huwa Kama kijiwe changu Ila napenda u on gee jambo je umewahi kufanya Kazi online?
Mimi nina taaluma tofauti inayoniingizia kipato

Ila mwaka 2023 kuna dogo wa IT alikuwa anajitafuta, Nilimpa idea awe anatengeneza video za list na comparison kwa kutumia Microsoft Ppwerpoint kisha awe anaziweka youtube.

video hizo huwa zipo kama hivi, ukiingia youtube zipo nyingi za wasanii, wansiasa, wanaichezo, n.k.

1755287866792.png

Channel yake ilipata subscribers wengi ndani ya muda mchache, alitumiwa barua na google kwenye sanduku langu la posta, ilikuwa ni barua ya google.

Mara ya mwisho kumfuatilia mwaka jana alikuwa anaingiza mpaka dola 1,000+
 
Mimi nina taaluma tofauti inayoniingizia kipato

Ila mwaka 2023 kuna dogo wa IT alikuwa anajitafuta, Nilimpa idea awe anatengeneza video za list na comparison kwa kutumia Microsoft Publisher kisha awe anaziweka youtube.

video hizo huwa zipo kama hivi, list inatembea

View attachment 3442525

Channel yake ilipata subscribers wengi ndani ya muda mchache, alitumiwa barua na google kwenye sanduku langu la posta, ilikuwa ni barua ya google.

Mara ya mwisho kumfuatilia mwaka jana alikuwa anaingiza mpaka dola 1,000+

Ungekuwa unafanya Kazi online ningekuelewa Mimi wewe nakufananisha na wanasiasa vilaza watanzania wanaoshauri vijana wajiajiri ila wao hawataki hawataki kujiajiri.

Zipo njia za ku-earn income online Ila sio huo upumbavu ulioandika hapo
 
Sasa wewe unachobisha ni nini ?

Kwa taarifa yako tu nakupa elimu ndogo, views 1000 youtube wanalipa shilingi elfu 1 hadi elfu 3

Kipimo cha hizo views 1,000 kinaitwa CPM

Wanolipa ni Google, Ofisi yao ipo Dublin, Ireland na ili wakuingize kwenye system yao ya malipo unatumiwa barua yenye pin sanduku la posta.

Omba maarifa badala ya kuendekeza ubishi

Nina kazi yangu tayari lakini hainizuii nisijue mambo ya online na watu kama huyo dogo niliyempa idea wamenufaika
 
Sasa wewe unachobisha ni nini ?

Kwa taarifa yako tu nakupa elimu ndogo, views 1000 youtube wanalipa shilingi elfu 1 hadi elfu 3

Kipimo cha hizo views 1,000 kinaitwa CPM

Wanolipa ni Google, Ofisi yao ipo Dublin, Ireland na ili ulipwe unatumiwa barua sanduku la posta kukuverify

Omba maarifa badala ya kuendekeza ubishi
Mimi sipendi MTU muongo issue sio YouTube kulipa au kutokulipa Ila unaandika mambo ambayo hayapo realistic.

Njia unazowashauri watu watumie wewe mwenyewe haupo katika hiyo field na huajawahi kutumia.

Na ungekuwa na akili ungeelewa kuwa MTU kuingiza hela online sio mpaka uwe IT au ICT

Mtandao inafanyika biashara moja na ndo huwapa watu pesa kuanzia google , Meta , n.k

Is selling of information
(Kuuza taarifa) ukiweza kujua how you gonna sell the information hapo ndo pesa ilipo
 
Kitu gani nilichoandika hakipo realistic ?

video za comparison au lists haziwezi kutengenezwa na Microsoft Powerpoint ?

Youtube hawatumi barua kwenye sanduku la posta ?

Youtube hawalipi shilindi elfu 1 hadi 3 kwa views elfu moja ?

Kukijua kitu sio lazima ukifanye, exposure inasaidia pia, hivi ni vitu vya kawaida sana
 
Kitu gani nilichoandika hakipo realistic ?

video za comparison au lists haziwezi kutengenezwa na Microsoft Powerpoint ?

Youtube hawatumi barua kwenye sanduku la posta ?

Youtube hawalipi shilindi elfu 1 hadi 3 kwa views elfu moja ?
Kama haufanyi kazi online huna amabacho unaweza ukawa unajua zaidi kuokoteza habari

Njoo field
 
Hizo dola sio nyepesi kuzipata kama sio mbunifu, IT wetu ubunifu bado mdogo sana, ndio maana ni ngumu kuzikuta hata apps zilizotengenezwa na wabongo playstore nje ya zile za habari za udaku na mpira.

Kama huna kitu cha ku offer hata kama upo kwenye mfumo hakuna ataeona thamani yako,
Ukienda vyuoni sanasana wanachoweza kubeba laptop bila ya case yake ili wanaosoma kiswahili waogope out ya hapo kama bodaboda tu
 
Kama haufanyi kazi online huna amabacho unaweza ukawa unajua zaidi kuokoteza habari

Njoo field
Ningeamua kufanya ningefanya tu mkuu,

Nimeshauza sana likes, followers na views miaka ya 2014 (kwa faida tamu sana) muda huo wewe na mamilioni ya watanzania wakiwemo IT hamjui kwamba views zinanunulika mmekuja kuanza kuona huduma hizi 2020+

Nimekuwa na kadi inayofanya malipo online miaka ya 2012 na kuagiza vitu online miaka hio tunahesabika na hakuna mpesa wala airtel money visa card, bank hawaunganishi online mpaka uandike barua na maprocess kibao

Nina taaluma yangu inayonipa kipato na shughuli zingine nje ya online,

Nawaonea tu huruma IT ambao wamesomea taaluma lakini bado wapo gizani
 
Back
Top Bottom