Ningeamua kufanya ningefanya tu mkuu,
Nimeshauza sana likes, followers na views miaka ya 2014 (kwa faida tamu sana) muda huo wewe na mamilioni ya watanzania wakiwemo IT hamjui kwamba views zinanunulika mmekuja kuanza kuona huduma hizi 2020+
Nimekuwa na kadi inayofanya malipo online miaka ya 2012 na kuagiza vitu online miaka hio tunahesabika na hakuna mpesa wala airtel money visa card, bank hawaunganishi online mpaka uandike barua na maprocess kibao
Nina taaluma yangu inayonipa kipato na shughuli zingine nje ya online,
Nawaonea tu huruma IT ambao wamesomea taaluma lakini bado wapo gizani