Mimi sio IT nina taaluma nyingine kabisa inayoniingizia kipatompaka sasa we umeshapiga dola ngapa?
Ni kwa Tanzania ambako mtu akiaminishwa kitu flani ni ngumu kutoboa anatia akilini ni hivyo.Kuchukua ela online kama sio scammer au foleksi ninja,ni kazi sana ni sawa na kutaka kushindana na mawimbi baharini
Nani wa kulaumiwa kwenye hiloNi kwa Tanzania ambako mtu akiaminishwa kitu flani ni ngumu kutoboa anatia akilini ni hivyo.
Nenda Kenya hapo, watu wanapiga dola tangu 2010 legit.
Hizo dola sio nyepesi kuzipata kama sio mbunifu, IT wetu ubunifu bado mdogo sana, ndio maana ni ngumu kuzikuta hata apps zilizotengenezwa na wabongo playstore nje ya zile za habari za udaku na mpira.Unaongea kirahisi sana kuhusu kupiga dola, wakati hata waliokuwepo kwenye mfupo wa kupiga hizo dola wengi washasanda!
Huku nako kunahitaji akili ya ziada, hizo IT na Computer science ni kujilisha upepo tu, vinginevyo utaishia kupata hela ya mboga tu!
Mkuu unaongea coz wewe hujasona IT na hujawahi jaribu hizo misheVijana waliohitimu dip na degree za computer almaarufu "ma IT" wapo wengi sana mtaani bila ramani ya kueleweka.
Nashangaa sana kwasababu kuna mitandao mingi sana ya kupiga dola online, sehemu nyingi dunian IT wa kizazi hiki hawasubiri kazi, wapo ndani wanapiga dola.
Mifumo ipo lakini IT wengi ni wavivu kuumiza vichwa, wakisikia hela za online wanadhani ni sehemu tu unaminya kama kudownload muvi 😂
Kuna free lancing, watu wanahitaji huduma mfano website designing au kutengenezewa app, unatengeneza account yako kwenye mitandao inayowakutanisha wateja na wataalam, unapewa tenda, ukikamilisha unalipwa dola zako.
Kuna mitandao inaitwa affiliate marketing, Wazungu vitu vingi sana wananunua online, ukimshawishi anunue kitu unapewa commision, watu wanabonda hadi dola elf 20 kila mwezi.
Kuna mitandao ya kuprint vitabu, wewe unabuni mfano kitabu cha kutunza kumbukumbu, watoto kujaza rangi kwenye michoro, n.k. kila kopi ambayo kiwanda kitamprintia mteja kitabu unapewa commision.
Kuna blogs, watu wanahitaji taarifa mfano ajira zilizotoka, michezo na mambo mengi, watu wapo vyumbani wanagonga dola
Kama hata sisi wateja wa ndani ya nchi mnatuzingua mtawezaje huko kwa wazungu ?Mkuu unaongea coz wewe hujasona IT na hujawahi jaribu hizo mishe
Ni kazi bro + procedures kibao + competition mchele
Kutoboa ngumuu
Mimi nina taaluma tofauti inayoniingizia kipatoWe umewahi kufanya Kazi online na ukawa unaingiza pesa ?
Mimi mtandoini ndo huwa Kama kijiwe changu Ila napenda u on gee jambo je umewahi kufanya Kazi online?
Mimi nina taaluma tofauti inayoniingizia kipato
Ila mwaka 2023 kuna dogo wa IT alikuwa anajitafuta, Nilimpa idea awe anatengeneza video za list na comparison kwa kutumia Microsoft Publisher kisha awe anaziweka youtube.
video hizo huwa zipo kama hivi, list inatembea
View attachment 3442525
Channel yake ilipata subscribers wengi ndani ya muda mchache, alitumiwa barua na google kwenye sanduku langu la posta, ilikuwa ni barua ya google.
Mara ya mwisho kumfuatilia mwaka jana alikuwa anaingiza mpaka dola 1,000+
Sasa wewe unachobisha ni nini ?Ungekuwa unafanya Kazi online ningekuelewa Mimi wewe nakufananisha na wanasiasa vilaza watanzania wanaoshauri vijana wajiajiri ila wao hawataki hawataki kujiajiri.
Zipo njia za ku-earn income online Ila sio huo upumbavu ulioandika hapo
Mimi sipendi MTU muongo issue sio YouTube kulipa au kutokulipa Ila unaandika mambo ambayo hayapo realistic.Sasa wewe unachobisha ni nini ?
Kwa taarifa yako tu nakupa elimu ndogo, views 1000 youtube wanalipa shilingi elfu 1 hadi elfu 3
Kipimo cha hizo views 1,000 kinaitwa CPM
Wanolipa ni Google, Ofisi yao ipo Dublin, Ireland na ili ulipwe unatumiwa barua sanduku la posta kukuverify
Omba maarifa badala ya kuendekeza ubishi
Kitu gani nilichoandika hakipo realistic ?Mimi sipendi MTU muongo issue sio YouTube kulipa au kutokulipa Ila unaandika mambo ambayo hayapo realistic.
Njia unazowashauri watu watumie wewe mwenyewe haupo katika hiyo field na huajawahi kutumia.
Na ungekuwa na akili ungeelewa kuwa MTU kuingiza hela online sio mpaka uwe IT au ICT
Mtandao inafanyika biashara moja na ndo huwapa watu pesa kuanzia google , Meta , n.k
Is selling of information
(Kuuza taarifa) ukiweza kujua how you gonna sell the information hapo ndo pesa ilipo
Kama haufanyi kazi online huna amabacho unaweza ukawa unajua zaidi kuokoteza habariKitu gani nilichoandika hakipo realistic ?
video za comparison au lists haziwezi kutengenezwa na Microsoft Powerpoint ?
Youtube hawatumi barua kwenye sanduku la posta ?
Youtube hawalipi shilindi elfu 1 hadi 3 kwa views elfu moja ?
Ukienda vyuoni sanasana wanachoweza kubeba laptop bila ya case yake ili wanaosoma kiswahili waogope out ya hapo kama bodaboda tuHizo dola sio nyepesi kuzipata kama sio mbunifu, IT wetu ubunifu bado mdogo sana, ndio maana ni ngumu kuzikuta hata apps zilizotengenezwa na wabongo playstore nje ya zile za habari za udaku na mpira.
Kama huna kitu cha ku offer hata kama upo kwenye mfumo hakuna ataeona thamani yako,
Ningeamua kufanya ningefanya tu mkuu,Kama haufanyi kazi online huna amabacho unaweza ukawa unajua zaidi kuokoteza habari
Njoo field