wahitimu wetu wa IT wamelala sana, kuna mitandao kibao ya kupiga Dola Online lakini bado wapo mitaani ramani hazisomeki.

Kwa kusaidia ungeweka list ya mambo ya kufanya online nili pesa ipatikane mkuu.
Hata wasio na taaluma hiyo uliyoitaja wanaweza kujifunza
 
Ukipigwa interview utatoboa ? Issue ni competence sio kuwa IT. Kila fani ipo mtandaoni ila upu compefent.Mfano typying docs una5akiwa uwe na speed ta kuanzia 60words/sec sasa wabongo wangapi wana speed ya kuchapa maneno hata 39words per sec? Portifolio ilioshiba inatakiwa.
Kitu kikubwa sana ni kujenga skills before huja join hizo platform vinginevyo hutobi.
 
Ungekuwa unafanya Kazi online ningekuelewa Mimi wewe nakufananisha na wanasiasa vilaza watanzania wanaoshauri vijana wajiajiri ila wao hawataki hawataki kujiajiri.


Zipo njia za ku-earn income online Ila sio huo upumbavu ulioandika hapo
Mwamri, kigwangala, Nasari wamerudi kuomba ajira ya ubunge .Mtaani kugumu nyie.
 
Elimu ya bongo hii takataka graduate hajui hata kutengeneza file 😁😁 ataweza freelance kweli?
 
Kaka tufanye kutengeneza nlp model yetu, hamna waliofanya hivyo kwa Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…