Wahudumu na Uongozi wa Fish Market mnaishiriki dhambi mbaya ya ubaguzi pasipo kujua malipo ni hapa hapa

Fish market ndio wapi huko?
Wanafanya biashara gani?
Kuna nini special?

Kwani ni lazima watu waende hapo fish market?

Ukienda mahali ambapo unalipa pesa yako ili kupewa huduma na ikiwa huridhiki na huduma zao basi achana napo, nenda pengine.
 
Mkuu - Huo ubaguzi umeanza lini hapo Fish Market? Mimi huwa napitapita hapo mara kwa mara kupata moja moto moja baridi, na kusikiliza Muziki wa huyo Mwarabu kila Ijumaa - sijawahi kuona huo Ubaguzi.
 
Weka hiyo video basii
 
Waafrika tunaongoza kwa ubaguzi daah pole mkuu
Hii ishanitokea lakini kwenye marathon moja kubwa, kuna wale wahudumu wanakuwepo barabarani kupulizia washiriki misuli, basi mbele yangu yupo mzungu yeye akapuliziwa bila hata kuomba kufika mimi muhudumu akauchuna!
 
Akina dada popote pale hata kwenye bar za kawaida wanaleteana vitimbi tu...

Huyu fish market mnamvalia njuga bure tu, inferiority complex ni ugonjwa.
 
Kama hawayashughulikii basi jua meneja ndiyo kawatuma kufanya hio ubaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…