Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
- Thread starter
- #21
Video hii hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ngoja wakukomeshe Maana unaleta ubishoo mwingiWaliojenga huo mgahawa hawajui kama wapo mama ntilie?. Rudi kwenye mada punguza uswahili wa kebehi.
Mkuu - Huo ubaguzi umeanza lini hapo Fish Market? Mimi huwa napitapita hapo mara kwa mara kupata moja moto moja baridi, na kusikiliza Muziki wa huyo Mwarabu kila Ijumaa - sijawahi kuona huo Ubaguzi.Video moja inatembea mtandaoni kuanzia leo mchana, kinadada watatu wamejirekodi wakiongelea kwa uchungu namna walivyobaguliwa na kuletewa pozi na wafanya kazi wa mgahawa maarufu wa Fish Market.
Kwamba wateja wakija weusi na kinadada wanaletewa maringo ya kuchelewa kuhudumiwa, ya kuchelewa kusafishiwa viti vyao lakini meza ya wateja wazungu hata kama ni mmoja wapo miongoni mwa kundi la weusi wanachangamkiwa na kuhudumiwa haraka.
Ni video iliyorushwa na kinadada wakilalamika, hivyo hatujui kwa kina uhalali wa malalamiko yao, maana kinadada huwa wanaoneana sana wivu na kuumiza wao kwa wao.
Lakini kama hao wahudumu wa Fish Market wanaishiriki hiyo dhambi ya ubaguzi bila ya wao wenyewe kujua basi wanajitafutia laana zitakazokaa nao kwa miaka mingi ijayo. Huu ubaguzi wanaowafanyia weusi wenzao ndio huu huu tunaokutana nao tukiwa Ulaya na Marekani kwa wazungu.
Labda kinadada hawa hawajui madhara ya hicho wanachokifanya. Lakini ni hawa hawa wakiwa wanasota mitaani wakitafuta kazi wanakuwa wakitia sana huruma namna wanavyokuwa wachovu na mkono ukiwa shavuni.
Ubaguzi ni dhambi mbaya inayoumiza nafsi ya yule anayefanyiwa, mbaya zaidi ni kama hawa wahudumu wanajisahau wakiwachukulia poa wateja wanaowaona kwa mara ya kwanza.
Weka hiyo video basiiVideo moja inatembea mtandaoni kuanzia leo mchana, kinadada watatu wamejirekodi wakiongelea kwa uchungu namna walivyobaguliwa na kuletewa pozi na wafanya kazi wa mgahawa maarufu wa Fish Market.
Kwamba wateja wakija weusi na kinadada wanaletewa maringo ya kuchelewa kuhudumiwa, ya kuchelewa kusafishiwa viti vyao lakini meza ya wateja wazungu hata kama ni mmoja wapo miongoni mwa kundi la weusi wanachangamkiwa na kuhudumiwa haraka.
Ni video iliyorushwa na kinadada wakilalamika, hivyo hatujui kwa kina uhalali wa malalamiko yao, maana kinadada huwa wanaoneana sana wivu na kuumiza wao kwa wao.
Lakini kama hao wahudumu wa Fish Market wanaishiriki hiyo dhambi ya ubaguzi bila ya wao wenyewe kujua basi wanajitafutia laana zitakazokaa nao kwa miaka mingi ijayo. Huu ubaguzi wanaowafanyia weusi wenzao ndio huu huu tunaokutana nao tukiwa Ulaya na Marekani kwa wazungu.
Labda kinadada hawa hawajui madhara ya hicho wanachokifanya. Lakini ni hawa hawa wakiwa wanasota mitaani wakitafuta kazi wanakuwa wakitia sana huruma namna wanavyokuwa wachovu na mkono ukiwa shavuni.
Ubaguzi ni dhambi mbaya inayoumiza nafsi ya yule anayefanyiwa, mbaya zaidi ni kama hawa wahudumu wanajisahau wakiwachukulia poa wateja wanaowaona kwa mara ya kwanza.
Hii ishanitokea lakini kwenye marathon moja kubwa, kuna wale wahudumu wanakuwepo barabarani kupulizia washiriki misuli, basi mbele yangu yupo mzungu yeye akapuliziwa bila hata kuomba kufika mimi muhudumu akauchuna!
Safi sana watu wa kanda ya ziwa, mna uelewa mpana sana japo hauhitajiki mjini.Fish market ndio Soko la samaki kama lile la Mwaloni Kirumba Mwanza?😬
Akina dada popote pale hata kwenye bar za kawaida wanaleteana vitimbi tu...Video moja inatembea mtandaoni kuanzia leo mchana, kinadada watatu wamejirekodi wakiongelea kwa uchungu namna walivyobaguliwa na kuletewa pozi na wafanya kazi wa mgahawa maarufu wa Fish Market.
Kwamba wateja wakija weusi na kinadada wanaletewa maringo ya kuchelewa kuhudumiwa, ya kuchelewa kusafishiwa viti vyao lakini meza ya wateja wazungu hata kama ni mmoja wapo miongoni mwa kundi la weusi wanachangamkiwa na kuhudumiwa haraka.
Ni video iliyorushwa na kinadada wakilalamika, hivyo hatujui kwa kina uhalali wa malalamiko yao, maana kinadada huwa wanaoneana sana wivu na kuumiza wao kwa wao.
Lakini kama hao wahudumu wa Fish Market wanaishiriki hiyo dhambi ya ubaguzi bila ya wao wenyewe kujua basi wanajitafutia laana zitakazokaa nao kwa miaka mingi ijayo. Huu ubaguzi wanaowafanyia weusi wenzao ndio huu huu tunaokutana nao tukiwa Ulaya na Marekani kwa wazungu.
Labda kinadada hawa hawajui madhara ya hicho wanachokifanya. Lakini ni hawa hawa wakiwa wanasota mitaani wakitafuta kazi wanakuwa wakitia sana huruma namna wanavyokuwa wachovu na mkono ukiwa shavuni.
Ubaguzi ni dhambi mbaya inayoumiza nafsi ya yule anayefanyiwa, mbaya zaidi ni kama hawa wahudumu wanajisahau wakiwachukulia poa wateja wanaowaona kwa mara ya kwanza.
Ubaguzi wa rangi ni siasa wazungu wanatumia pesa nyingi kupambana nayo. Wanaobaguliwa wanaanziisha taasisi kupambana na ubaguzi, mpaka wachezaji wanapiga goti moja kabla mechi za ligi kuu ya UK hazijaanza.
Nyie watu mmenichekesha sana..Duuu, au umelewa nini kaka? Irrelevant.
Kama hawayashughulikii basi jua meneja ndiyo kawatuma kufanya hio ubaguziHuu no uzi wa pili kuhusu CTFM restaurant, na wote wanalalamika kuhusu service mbovu, tatizo malalamiko haya hayawafikii wahusika wakuu yaani wenye brand yao, mwenye kuweka proof hapa ya malalamiko haya ya kibaguzi pls weka hapa ,ni rahisi kuwatumia moja kwa moja kwa wenye brand yao, je hii CMFM restaurant hapa Dar inaendeshwa kama franchise au na wenye brand?,anayejua hili pia weka hapa, nachukia ubaguzi na ni lazima to hit them hard kwenye mifuko yao (usiende kutumia pesa yako kule)na kuiharibu brand yao,ILA UKWELI UWEPO, iam I'm in kama evidences zitawekwa hapa.
Hao walalamikaji nao wamekosa kazi za kufanya
Ni wajinga kwakweli....na utakuta hawana hela kama Evelyn hapa, glass moja ya juice masaa matatu ni kunywa kulamba yani....hebu waishie hukoKweli hahaha yani una lalamika hujahudumiwa si uende sehemu nyingine?