Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Labda ni wale wanaokaa masaa kibao wakisubiri wapate muthungu huku wakiwa na soda masaa mengi huku wakizuia vitiMkuu - Huo ubaguzi umeanza lini hapo Fish Market? Mimi huwa napitapita hapo mara kwa mara kupata moja moto moja baridi, na kusikiliza Muziki wa huyo Mwarabu kila Ijumaa - sijawahi kuona huo Ubaguzi.
Nimeona video clip wanawaongelea wazungu tu
Nilikuwa nasubiri wanaume waje waseme pia
Mbona wanawake tu ?
Shukran kwa kutufungua hapa
Naona wanaenda kudanga tu