Wahudumu na Uongozi wa Fish Market mnaishiriki dhambi mbaya ya ubaguzi pasipo kujua malipo ni hapa hapa

Wahudumu na Uongozi wa Fish Market mnaishiriki dhambi mbaya ya ubaguzi pasipo kujua malipo ni hapa hapa

Kwani lazima muende hapo? Bila shaka hiyo sehemu inamilikiwa na mzungu mwenzao na hataki WaAfrika hapo, sasa nendeni mkawaungishe waswahilo wenzenu pale samaki samaki
Acha upumbavu, ubaguzi ndani ya nchi yetu it's a NO, hapo penyewe CTFM Waterfront hakuna ubaguzi,sembuse ndani ya nchi yangu, hii ni hapana, nasubiria clip itakayoonyesha directly discrimination, humu sio wote ni mazuzu
 
Ni kweli ila njia nzuri ya kupambana ma ibaguzi ni kutoendelea kuwapa pesa, unapowapelekea pesa yako ndio unawapa nguvu zaidi ya kufanya ubaguzi, ila ukiipeleka pesa yako kwengine kwa mswahili mwenzako itasadia sana kuwadhoofisha na kuwafanya watie adabu
 
Fish market ndio wapi huko?
Wanafanya biashara gani?
Kuna nini special?

Kwani ni lazima watu waende hapo fish market?
Ukienda mahali ambapo unalipa pesa yako ili kupewa huduma na ikiwa huridhiki na huduma zao basi achana napo, nenda pengine.
Utajuaje kama sehemu fulani kuna shida kabla ya kufika?.Watu wanatoa huu ushuhuda ili wahusika wabadilike kwasababu tatizo hapo ni ubovu wa huduma kitu ambacho kinaweza kufanyiwa kazi na hatua kuchukuliwa na hilo tatizo likaisha.Tusipende kukwepa mambo bila kuyapatia ufumbuzi kwasababu tatizo litazidi kukomaa na kusambaa sasa utakwepa pangapi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Seems service personnel have been told to be selective with their customers, probably an observation methods on appearance, beauty, good look, spending, purchases, plowhorse,/cashcow, , starmenu, Puzzle, Dogmemu, How much money is left with the fish market per table, per cover ordered.

Otherwise iwe ubaguzi based on class of customers, au wa rangi,

Narudia tena tumieni simu zenu janja vizuri set recording za sauti please make use of phones for any suspicious commotions.

Tuanzie Kwa wamiliki ni watu gani, raia wa wapi, rangi gani, na wafanyakazi wa rangi gani na je ni wabongo?
Exactly mkuu, jibu tunalo hii brand inajulikana inatoka nchi gani na jiji gani na HQ yao ipo pale Table view, mwenye clip yenye ushahidi wa kibaguzi weka hapa, huwezi to profile wateja,DSM SHERATON HOTEL, ilipoanza na nilibahatika kuwa mmoja wa wafanyakazi waanzilishi ilikua ni strictly kuwa all customers treated with respect and equally regarding what, F&B wa kwanza alifukuzwa nchi within 24 hrs baada ya kuthibitisha ni mbaguzi na sexual harassment kwa women staff's, sasa hiki ki mgahawa kisumbue watanzania kiubaguzi, No haiwezekani
 
Acha upumbavu, ubaguzi ndani ya nchi yetu it's a NO, hapo penyewe CTFM Waterfront hakuna ubaguzi,sembuse ndani ya nchi yangu, hii ni hapana, nasubiria clip itakayoonyesha directly discrimination, humu sio wote ni mazuzu
Una mda wa kupoteza mzee.
 
Mkuu - Huo ubaguzi umeanza lini hapo Fish Market? Mimi huwa napitapita hapo mara kwa mara kupata moja moto moja baridi, na kusikiliza Muziki wa huyo Mwarabu kila Ijumaa - sijawahi kuona huo Ubaguzi.
Huwezi kuona kila kitu na hasa kama hakijakuhusu moja kwa moha.kwahiyo ukiona mtu analalamikia jambo fulani unga mkono ili hiyo tabia irekebishwe.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ni wajinga kwakweli....na utakuta hawana hela kama Evelyn hapa, glass moja ya juice masaa matatu ni kunywa kulamba yani....hebu waishie huko
Mambo yote yanayotusumbua waafrika ni pamoja na hili lakupuuzia mambo nakuyaona madogo wakati yanaanza na hasa kama liko kwa mwingine tunadharau.likikomaa na kutugusa ndio tunaanza kushtuka nakuishia kulalamika.Ubaguzi sio kitu chakufumbia macho haijalishi ni mdogo kiasi gani kwasababu madhara yake ni makubwa sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli ila njia nzuri ya kupambana ma ibaguzi ni kutoendelea kuwapa pesa, unapowapelekea pesa yako ndio unawapa nguvu zaidi ya kufanya ubaguzi, ila ukiipeleka pesa yako kwengine kwa mswahili mwenzako itasadia sana kuwadhoofisha na kuwafanya watie adabu
Agreed ILA ubaguzi wa rangi in my country it's a NO, nikipata clip itakayoonyesha directly racial discriminations kwa customers, hii brand itapata matatizo makubwa, Nina muda mwingi mno to chase issue hii ya kibaguzi, details ninazo na ninajua wapi kwa kugonga mlango
 
Yes ninapokea hii kama compliments, mazuzu mengi humu wameshazoea kupiganiwa haki zao, yes I have a plenty of time kwa issue ya kibaguzi, send clip humu yenye uthibitisho, niachie Nina muda mwingi mno wa ku chase hii issue
Are you martin luther a mandela or something? Go ahead do youre thing
 
Video moja inatembea mtandaoni kuanzia leo mchana, kinadada watatu wamejirekodi wakiongelea kwa uchungu namna walivyobaguliwa na kuletewa pozi na wafanya kazi wa mgahawa maarufu wa Fish Market.

Kwamba wateja wakija weusi na kinadada wanaletewa maringo ya kuchelewa kuhudumiwa, ya kuchelewa kusafishiwa viti vyao lakini meza ya wateja wazungu hata kama ni mmoja wapo miongoni mwa kundi la weusi wanachangamkiwa na kuhudumiwa haraka.

Ni video iliyorushwa na kinadada wakilalamika, hivyo hatujui kwa kina uhalali wa malalamiko yao, maana kinadada huwa wanaoneana sana wivu na kuumiza wao kwa wao.

Lakini kama hao wahudumu wa Fish Market wanaishiriki hiyo dhambi ya ubaguzi bila ya wao wenyewe kujua basi wanajitafutia laana zitakazokaa nao kwa miaka mingi ijayo. Huu ubaguzi wanaowafanyia weusi wenzao ndio huu huu tunaokutana nao tukiwa Ulaya na Marekani kwa wazungu.

Labda kinadada hawa hawajui madhara ya hicho wanachokifanya. Lakini ni hawa hawa wakiwa wanasota mitaani wakitafuta kazi wanakuwa wakitia sana huruma namna wanavyokuwa wachovu na mkono ukiwa shavuni.

Ubaguzi ni dhambi mbaya inayoumiza nafsi ya yule anayefanyiwa, mbaya zaidi ni kama hawa wahudumu wanajisahau wakiwachukulia poa wateja wanaowaona kwa mara ya kwanza.

View attachment 2398784
at a place like that mnakwenda kufanya nini kwani hapo wanauza chakula cha dhahabu au cha almasi? Frustrations zingine mnajitakia tu
 
Exactly mkuu, jibu tunalo hii brand inajulikana inatoka nchi gani na jiji gani na HQ yao ipo pale Table view, mwenye clip yenye ushahidi wa kibaguzi weka hapa, huwezi to profile wateja,DSM SHERATON HOTEL, ilipoanza na nilibahatika kuwa mmoja wa wafanyakazi waanzilishi ilikua ni strictly kuwa all customers treated with respect and equally regarding what, F&B wa kwanza alifukuzwa nchi within 24 hrs baada ya kuthibitisha ni mbaguzi na sexual harassment kwa women staff's, sasa hiki ki mgahawa kisumbue watanzania kiubaguzi, No haiwezekani
Ubaguzi ukianza na manager, na akausambaza Kwa wahudumu ni hatari sana, wahudumu wakishaanza kuwa mabosi wa wateja au baadhi ya wateja hasa walioamua kuwadharau mtaendelea kuona mengi, binafsi ntaenda nikashuhudie naingia nikiwa nimejihami na simu yangu na ntavaa kawaida haitafika jumatatu nawqpa jibu.

Ogapa historia tips Kwa mteja mmoja mmoja au kikundi, baadhi ya wahudumu hutoa service nzuri au mbaya based on attitude, perceptions towards customers. Je, unaacha tip hata elfu?keep change,

My advice ukienda sehemu za kijanja behave with unpredictability and note, or keep being predictable and expect all sort of results.

Mteja hazoeleki na hapaswi kutathiminiwa na mhudumu. Kwa Tanzania hili ndio gonjwa la urithi la hospitality industry yake.
 
Tatizo wanaoharibu hizo sehemu ni wale wadangaji wanaoenda saa 11 jioni wanajinunulisha bia moja inafyonzwa hadi usiku huku macho hayatulii kama fundi saa alopoteza nati.

Na sio CTFM tu hata Wavuvi Kempu wapo wengi, sasa wanawaponza wengine wanaoenda kwa lengo hasa la kula raha kwa pesa zao.

Kingine kuna utaratibu wa ku book meza naona hii wengi wameshindwa kuielewa na kuhisi wanabaguliwa pale wanapokaa kwenye meza baada ya muda wanaambiwa wanyanyuke kwa maana meza ina wenyewe.
Ilo nalo ni tatizo lingine ila nadhani kuna namna nzuri ya wahudumu wa hapo kulishughulikia kuliko kuonyesha hisia zakibaguzi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
at a place like that mnakwenda kufanya nini kwani hapo wanauza chakula cha dhahabu au diamond. Frustrations zingine mnajitakia tu
Hakuna ubaguzi wowote hapo. Jamaa wanapiga filimbi tupu kuonesha wapo update na mji. Na kama kweli wamekutana na ubaguzi unarudi vipi kutumia pesa yako hapo? Katumie kwingine
 
Mambo yote yanayotusumbua waafrika ni pamoja na hili lakupuuzia mambo nakuyaona madogo wakati yanaanza na hasa kama liko kwa mwingine tunadharau.likikomaa na kutugusa ndio tunaanza kushtuka nakuishia kulalamika.Ubaguzi sio kitu chakufumbia macho haijalishi ni mdogo kiasi gani kwasababu madhara yake ni makubwa sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile

Are you martin luther a mandela or something? Go ahead do youre thing
No iam a simple guy, lived my life to happiest, now nimetulia huku lingusenguse, Ruvuma UBAGUZI WA RANGI kwangu it's a NO na sitosobiri kama mazuzu wengi humu mtu kunipigania haki zangu, binafsi nitaenda pale nikiwa nimejiandaa kurekodi chochote cha kibaguzi,now let's them try sitokimbilia humu,
 
Ushakula hapo? Ulikutana na hali hiyo ama ulishuhudia mtu akifanyiwa ubaguzi hapo?
 
Hakuna ubaguzi wowote hapo. Jamaa wanapiga filimbi tupu kuonesha wapo update na mji. Na kama kweli wamekutana na ubaguzi unarudi vipi kutumia pesa yako hapo? Katumie kwingine
kabisa, huhitaji kupiga kelele au ni madada poa walishtukiwa. Kuna joints nyingi bongo, ukizinguliwa sehemu moja unakwenda pengine...ni kama daladala tu
 
Ndio zao haoo,
Tena hujawakuta kwenye vyoo vya hizo hotel wanavyojifotoa mapicha ili wapost Insta, hivi mtu na akili zake anaweza kweli akapiga picha chooni na kupost kwenye mtandao kisa tu choo kina mazingira safi kwa matazamo wake,[emoji848]

Kuna Hotel nyingine kubwa ipo City Center, wana Mgahawa wao mmoja hauna masharti basi ukiwakuta wamejazana hapo na vi juice vyao wanavizia wazungu wakienda chooni wanajipeleka wanajifanya wamelewa sana mara wajidondoshe yaani aibu tupu [emoji706]

Mola atulinde na vizazi vyetu
Mola atulinde kwa kweli
Dunia ya leo imeharibika
Watoto wamekuwa hawana maadili na ukiwaambia wanakuambia tuache ndio maisha ya sasa
 
Ubaguzi ukianza na manager, na akausambaza Kwa wahudumu ni hatari sana, wahudumu wakishaanza kuwa mabosi wa wateja au baadhi ya wateja hasa walioamua kuwadharau mtaendelea kuona mengi, binafsi ntaenda nikashuhudie naingia nikiwa nimejihami na simu yangu na ntavaa kawaida haitafika jumatatu nawqpa jibu.

Ogapa historia tips Kwa mteja mmoja mmoja au kikundi, baadhi ya wahudumu hutoa service nzuri au mbaya based on attitude, perceptions towards customers. Je, unaacha tip hata elfu?keep change,

My advice ukienda sehemu za kijanja behave with unpredictability and note, or keep being predictable and expect all sort of results.

Mteja hazoeleki na hapaswi kutathiminiwa na mhudumu. Kwa Tanzania hili ndio gonjwa la urithi la hospitality industry yake.
Miaka yote nchi hii mahoteli top class hakuna ubaguzi why hiki kimgahawa kituletee tabia hii chafu, tabia ambayo wenyewe iliko hawafanyi haya why kwenye nchi yangu, pls nenda record hata kitu kidogo kitakachoathiria ubaguzi,weka humu au PM me,mengine niachie ..Nina muda mwingi mno wa kushughulikia hii issue, itakua direct kwenye HQ yao, sio Masaki
 
kabisa, huhitaji kupiga kelele au ni madada poa walishtukiwa. Kuna joints nyingi bongo, ukizinguliwa sehemu moja unakwenda pengine...ni kama daladala tu
Yes mkuu zipo nyingi ila iwe ni service mbaya SIO UBAGUZI WA RANGI MKUU, hivi wakuu mnajua impact ya kubaguliwa kisa wewe ni mweusi?au bado tupo usingizini?
 
Back
Top Bottom