Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi


Wanaowavua utu wahudumu wa bar ni wanajamii. Kazi ya uhudumu wa bar haina tatizo lolote, tatizo liko kwenye jamii.
 
Mkuu kama kazi inaambulika na mwajiriwa anachangia kodi ya Taifa na pia anachangia mifuko ya jamii unawezaje kuiita kazi ya aibu?
Marekani porn move zinatambulika kisheria vipi ni kazi ya aibu au sio!?

Haijalishi inatambulika au haitambuliki ila kama ni kitu kinachokudharirisha wewe mwenyewe basi hicho kitu ni cha aibu.
 
Wanaowavua utu wahudumu wa bar ni wanajamii. Kazi ya uhudumu wa bar haina tatizo lolote, tatizo liko kwenye jamii.
Bar wanakwenda walevi kwenda kulewa Sasa kama unajua kuwa unaenda kuhudumia walevi usitegemee kwenda kupata ustarabu kutoka kwao.

Jamii Haina tatizo ila hiyo kazi ndio yenye tatizo kwasababu ya matendo yao wenyewe kabla na baada ya kulewa.

Kama mtu akilewa anaweza kuvua nguo zake mwenyewe je Kuna ajabu gani akimshika mhudumu kalio? Kama umekubali kuwa mhudumu maana yake umekubali na udhalilishaji unaofanyika hapo bar unao kuvua utu wako Sasa jamii Ina shida gani hapo??
 
Kwenye kupiga hapo umewaongelea wanavyopiga wateja ila hela nyingi wanazipata kwa kuwapiga wenye bar..
Njia yao kubwa ni kuingiza vinywaji vyao wenyewe counter hasa hizi pombe kali., akiuza 10 bhasi 6 za mwenye bar, 4 zake. Hapo bado hajachezesha kwenye hesabu za crate hasa kwenye kuchukua stock na bado hela za hivi vikao bubu na kuhudumia masherehe kwa zile bar zenye kumbi

Watu wengi wanadhani barmaids wanapenda tu bar kubwa ili waniuze ila huu ndio ukweli halisi, kukiwa na movement kubwa ya watu side hustle ya kuwapiga wenye bar inawaingizia pesa ndefu, bar isiyo na movement ngumu kuiba
 
Hiyo ni michezo ya mameneja na makaunta
 
Wengi wao ni wezi wa vyakula vya wateja,ukiagiza kuku mzima mchunguze utakuta paja moja hamna,wameficha.
Au nyama imepunguzwa
Ni wizi wa ajabu ajabu

Ila ni kazi ya kudharaulika
 
Kuna mmoja jana kidogo nizame, she is cute na ana kaumbo flani hivi amazing!!

Alinihudumia Asubuhi kwa bashasha sana, duh ukikutana na binti wa aina hii ukiwa mzembe lazima uache mpunga. By the way ni mzuri ana umbo zuri halafu anaongea vizuri kinoma yani!!

Kazi ipo.
 
Wengi wao ni wezi wa vyakula vya wateja,ukiagiza kuku mzima mchunguze utakuta paja moja hamna,wameficha.
Au nyama imepunguzwa
Ni wizi wa ajabu ajabu

Ila ni kazi ya kudharaulika
😀😀
 
Wengi wao ni wezi wa vyakula vya wateja,ukiagiza kuku mzima mchunguze utakuta paja moja hamna,wameficha.
Au nyama imepunguzwa
Ni wizi wa ajabu ajabu

Ila ni kazi ya kudharaulika
Inategemea sehemu na Sehemu...
 
Hiyo ni network kabisa kila mtu anashiriki ila manager anaweza kuingizwa kama sio mnoko. Kwenye bar nyingi tu wahudumu wenyewe huwa wanajua kuwa siku akiingia mtu flani kwa kaunta bhasi lazma wapige hela maana michongo inakuwepo
Mambo ya Bar magumu...
 
Haha umenikumbusha mbali sana nakumbuka muhudumu wa samaki samaki morogoro alimpindua dau sista Angu kodi ya nyumba.

Sista alipata nyumba kali maeneo ya kihonda kwa 120 akakubaliana na dalali fresh na mwenye nyumba akakubali .

Kesho anaenda kufanya usafi anaambiwa samahani nyumba haipangishwi kufatilia kumbe kuna mdada muhudumu wa samaki samaki aliongezea dau akaichukua kwa 150k
 

Naona umeongelea mazingira unayoyajua wewe, mkuu. Vitendo vya udhalilishaji na uhuni viko hata kwenye nyumba za ibada, makazini, majumbani, n.k.

Bars nazojua mimi kuna zaidi ya ulevi na uhuni unaozungumzia. Bar watu wanakutana kwa vikao, wanakutana kwa burudani na michezo, wanakutana kwa vinywaji na misosi, na mengineyo mengi tu.
 
Hapo kwenye kuzidisha bili hata kwenye hoteli kubwa yaani unaweza uziwa chakula bei sio halisi au akakuuzia bei ile ile ila kwa sababu mpo wangi na mmetumia vyakula vya aina tofauti anachofanya anapiga hesabu kamili alafu mwisho anaweza akakuongezea eflu 10 au 15 ukilipa imekula kwako hiyo
 
Kesho anaenda kufanya usafi anaambiwa samahani nyumba haipangishwi kufatilia kumbe kuna mdada muhudumu wa samaki samaki aliongezea dau akaichukua kwa 150k[emoji23]
 
Mshana Jr,Hawa watu ni kuwa nao makini Sana wamehalibu Sana maisha ya watu wengi .Vitu mhimu kuhusu Hawa watu ,ukitaka huduma yake nenda nae mala moja tu na ukate mawasiliano nae sio watu wa kuzoea .Shida yao wanatumia Sana madawa ili akunase na hutachomoka yaliwahi kunikuta hivo naongea kwa uzoefu na staki mwingine apate shida nilizozipata Mimi lakini badae nilifanikiwa kujitoa ila kwa binder Sana unakua kama kipofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…