Hoja gani inaonyesha ni mtu wa kushinda kwenye vijiwe vya kahawa kupiga porojo 1.5 t mpaka leo unangangana nayo ili hali report na ufafanuzi wa wazi kabisa kuwa hamna hela iliyoibiwa na ilitolewa na wapinzi wwliokuwa PAC . Sasa kila siku ukilala 1.5t ukiamka 1.5 t sasa tukueleweje ndugu au ww ndo wale wasioambilikaMATAGA jifunzeni kujibu hoja.Sasa unataka niamini ulichoandika ina maana wewe ni official source?
PAC ni kamati ya Bunge.Kamati za Bunge hazina wajibu wala mamlaka ya kujibu hoja za CAG.Hoja gani inaonyesha ni mtu wa kushinda kwenye vijiwe vya kahawa kupiga porojo 1.5 t mpaka leo unangangana nayo ili hali report na ufafanuzi wa wazi kabisa kuwa hamna hela iliyoibiwa na ilitolewa na wapinzi wwliokuwa PAC . Sasa kila siku ukilala 1.5t ukiamka 1.5 t sasa tukueleweje ndugu au ww ndo wale wasioambilika
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani anayesoma consolidated report?Ni kweli kabisa consolidated ripoti ina majibu ya hoja lakini hoja hizo hazijajibiwa na kamati ya Bunge.Ni hoja zilizojibiwa na upande wa Serikali.
Kuna watu akili zao zinawatosha kurukia barabara tu .mtu anashinda kwenye vijiwe vya kahawa kila siku habadikiki tu yeye akiota 1.5T akiamka 1.5 inabidi unuache tu na mambo yakeUnaelewa maana ya serikali?
MATAGA jifunzeni kujibu hoja.Sasa unataka niamini ulichoandika ina maana wewe ni official source?
Aliwasaidiaje tabaka la chini?
Kawaulize kwanini huku kanda ya ziwa bado wako na Jpm
Wako na Jpm wapi?Kawaulize kwanini huku kanda ya ziwa bado wako na Jpm
Huna elimu kichwani.PAC ni kamati ya Bunge.Kamati za Bunge hazina wajibu wala mamlaka ya kujibu hoja za CAG.
Mwenye wajibu na mamlaka ya kujibu hoja za CAG ni serikali ambao ndiyo watumia pesa.Serikali iliwahi kujibu hoja ya 1.5T?
Jiwe ndiye nani? Kama unaongelea jiwe basi hutolipata huko. Nikajua unaongelea vitu vya maana,kumbe mawe!!!
Kama tu aliyoyafanya hapa nchini huyaoni utayaona ya nchi nyingine usiwe mtumwa wa ubaguzi na wizi wa Mali za umma fanya kz.
Nakushauri ukae kimya ili kuficha ujinga wako.Huna elimu kichwani.
Mpaka sasa umejivua nguo maana kila kitu kipo wazi, Audit querries huibuliwa na baada ya consolidated report ya Parliament watcdog commitee kusomwa bungeni majibu hupatikana.Nakushauri ukae kimya ili kuficha ujinga wako.
Wewu ngumbaru soma hapaMpaka sasa umejivua nguo maana kila kitu kipo wazi, Audit querries huibuliwa na baada ya consolidated report ya Parliament watcdog commitee kusomwa bungeni majibu hupatikana.
Sema uovu mmoja aliofanya
Huu upuuzi wa kumsema Magu vibaya unafanyika humutu kwenye mitandao lakini hukonje mitaani, stend,kwenye madaladala,vijijini,kwenye mwendo kasi, kwenye vijiwe vyote, ukijitoa akili ukaanza kusema eti sijui aliiba tr. 1.5 alikuwa fisadi,watu watakuona kama mwanga hivi.
Wewe ulishuhudia kwa macho yako? Au ndio habari za kusikia mitaani na kukariri?Sio mmoja, bali ni wa kumwaga kupitia kundi lake la watu wasiojulikana.
Wakati ulimboka anang'olewa meno ulikuwa ni wakati wa Magufli?Wizi wa trillion 1.5 na zaidi.
Manunuzi ya meli hewa ya Mv Dar es Salaam
Kuwafuga na kuwalea watu wasiojulikana
Kuwajaza watu was kabila lake kila sehemu
Inasemekana kuna zaidi ya bilioni 800 zimefichwa Canada awamu ya 5!
Nimeletewa hii taarifa hadi nimeshangaa!! Of course hili jambo nilikua nalijua lakini nilikua nalijua juu juu tu Sasa nimeletewa data kamili,naambiwa kuna zaidi ya bilioni 800 zimefichwa Canada! Na hili lilifanyika awamu ya Tano na Doto james alikua hazina! Na inasemekana zilikua ni baraka...www.jamiiforums.com