Wahuni wa CCM na Zitto Kabwe wameungana kumchafua hayati Magufuli. Wana kisasi sababu alizuia mianya yao ya kufanya ufisadi

MATAGA jifunzeni kujibu hoja.Sasa unataka niamini ulichoandika ina maana wewe ni official source?
Hoja gani inaonyesha ni mtu wa kushinda kwenye vijiwe vya kahawa kupiga porojo 1.5 t mpaka leo unangangana nayo ili hali report na ufafanuzi wa wazi kabisa kuwa hamna hela iliyoibiwa na ilitolewa na wapinzi wwliokuwa PAC . Sasa kila siku ukilala 1.5t ukiamka 1.5 t sasa tukueleweje ndugu au ww ndo wale wasioambilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PAC ni kamati ya Bunge.Kamati za Bunge hazina wajibu wala mamlaka ya kujibu hoja za CAG.

Mwenye wajibu na mamlaka ya kujibu hoja za CAG ni serikali ambao ndiyo watumia pesa.Serikali iliwahi kujibu hoja ya 1.5T?
 
Huna elimu kichwani.
 
Nakushauri ukae kimya ili kuficha ujinga wako.
Mpaka sasa umejivua nguo maana kila kitu kipo wazi, Audit querries huibuliwa na baada ya consolidated report ya Parliament watcdog commitee kusomwa bungeni majibu hupatikana.
 
Huu upuuzi wa kumsema Magu vibaya unafanyika humutu kwenye mitandao lakini hukonje mitaani, stend,kwenye madaladala,vijijini,kwenye mwendo kasi, kwenye vijiwe vyote, ukijitoa akili ukaanza kusema eti sijui aliiba tr. 1.5 alikuwa fisadi,watu watakuona kama mwanga hivi.
 
Wewu ngumbaru soma hapa

Alipandikiza uoga ili asisemwe, ila ukweli huo unafahamika na watu walikuwa wanazungumza kimyakimya.
 
Wizi wa trillion 1.5 na zaidi.

Manunuzi ya meli hewa ya Mv Dar es Salaam

Kuwafuga na kuwalea watu wasiojulikana

Kuwajaza watu was kabila lake kila sehemu

Wakati ulimboka anang'olewa meno ulikuwa ni wakati wa Magufli?
Dr. Mvungi anauawa ilikuwa ni wakati wa Magufuli?
Kabila lako ni asilimia ngapi ya Watanzania hadi utake kuwa sawa na Kanda ya Ziwa?
Wiziwa EPA, ESCROW, RICHMOND, MEREMETA, KIGODA N.K, ni shilingi ngapi na ulifanywa na Magufli?
Thibitisha Magufli ameiba 1.5 unayokaririshwa kipumbavu.
Thibitisha Magufli kanunua meli hewa MV Dr Es Salaam.
 
Back
Top Bottom