Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Hilo Lori limeopolewa kwakuwa Mmiliki wake Yule Mama alionekana akilia Mitandaoni au? Je, na wenye Umasikini nao Wakilia hivi watasaidiwa?
Naona maswali yote unayojiuliza hayana mashiko.Nachojiuliza, uyo mmama ameweza kununua scania mpya zaid ya million 100 ila alishindwa kupata m2 kuokoa lori lake.
Kuna kitu kinatakiwa kifatliwe hapa. Ilo lori lina comprehensive insurance au ni la mkopo bank?
Duhhhh.....Daaahh, usilolijua ni kama usiku wa giza.
Nimesoma kwa sauti kubwa ila nimeambulia patupu mh mjumbe..
Wameiba au imebaki chini kwenye maji wataiba wapeleka wapi sasa maana ujue ile gari kabla ya kudumbukia mtoni iligonga nyuma ya gari nyingine. Halafu je unayajua maji yanayotembea vizuri maana tusiongeeBaada ya Mkuu wa Majeshi kupeleka kikosi chake kulitoa lori lililo tumbukia mto wami, lori limekutwa halina engine wahuni wamesha fanya mambo yao.
Wabongo sio watu wazuri.
Pongezi wa CDF kwa kufanikisha hilo japo kwa kuchelewa.
Nilivyoona nikabaki nashangaa jamani watu Wana ujuzi..kitu kimetoka Kama scraper yaaniLink hii hapa
Umechek kwa Millard Ayo mkuu?Wameiba hau imebaki chini kwenye maji wataiba wapeleka wapi sasa maana ujue ile gari kabla ya kudumbukia mtoni iligonga nyuma ya gari nyingine.halafu je unayajua maji yanayotembea vizuri maana tusiongee
Nimeliona mkuuUmechek kwa Millard Ayo mkuu?
Duh, Kuna watu mamaster wa uwiziMkuu Tanzania tuna watu wana uwezo wa kuiba kwa ustadi. Nakumbuka miaka ya nyuma kuna Mercedes Benz Actross ilizama mto Kagera.
Wajuba walipoambiwa kuwa spea za Benz ni dili, baada ya muda mfupi sehemu za ile gari zikawa zimefika nchi kavu mpaka gearbox, usiulize watu walizamia muda gani na mamba wa mto kagera walikuwa wapi?
Upo sahihi lakini bado watu wanaweza fanya hii michezoMimi nitakua wa mwisho kuamini hili kwasabu.... Ebu kwa akili ya kawaida jaribu kifikiria uzito wa Geabox na Engine. Kisha jiulize Cabin mbona haijatoka na chassis??
Kisha nikujibu tu kwamba bolts zinazo kamata Engine mauntain ni nne pekee zenye unene wa 16 millimeters.
Gearbox inaunganishwa na bolts 10 zenye unene wa 10 millimeters kutoka kwenye flyn wheel pamoja na pressure, inayo ungana na bell housing ya aluminum.
Sasa.....
Ile impact ya force plus weight kutoka kule juu darajani ingeweza kuhimili kuto kusambaa kwa gari lile...??
Ahsante mh mjumbe, ngoja nianze kukariri moja baada ya jingine. Kwasasa nakariri chassis kwanzaDuhhhh.....
Pole sana Mh mjumbe
Bima haina mkuu au ndio 3rd partBora lakini atauza hata hayo matairi na chesesi kupunguza hasara,
Uwezekano mkubwa ni kuwa hiyo injini na kichwa (cabin) vipo ndani ya maji. Havijatolewa. Ukubali, ukatae bado viko ndani ya maji.Link hii hapa
KwaniniUwezekano mkubwa ni kuwa hiyo injini na kichwa (cabin) vipo ndani ya maji. Havijatolewa. Ukubali, ukatae bado viko ndani ya maji.
MI nimeshindwa kuelewaNachojiuliza, uyo mmama ameweza kununua scania mpya zaid ya million 100 ila alishindwa kupata m2 kuokoa lori lake.
Kuna kitu kinatakiwa kifatliwe hapa. Ilo lori lina comprehensive insurance au ni la mkopo bank?