Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,047
- 3,786
Hilo neno lete vielelezo mara lete ushahidi ndilo limeifikisha Tanzania hapa ilipo sasa, utakuta mtu anafanya wizi kisayansi kwa umakini yaani kwenye macho huonekana lakini mali zake zinaoneka wazi bado mtu anataka ushahidi zaidi, kuna mtu anaajiriwa miezi sita tu tayari ananunua majumba makubwa anamiliki vogue, Vx v8 ya 2015 unataka vielelezo wakati hata macho yanaona.
Narudia kusema, Teamlowassa huwezi mpenda wala hutotaka kumsikia Mwakyembe!
TIC, TANESCO,JNIA, NMB,MALI ASILI, MAHAKAMA KUU.....!! Wizi mtupu...tatizo la wezi wa kibongo wanatuibia afu wanatudhalau,.ona wahindi walivyonadharau ...wanapokuajuri...watu wengi wanaendesha magar makari kwa gharama zetu...unapishana na mke yuko kwenye vx/8. anakuangalia utadhani kinyago kumbe kanunuliwa na kibaka...wa kodi,dili...sasa tutaeshmiana mitaani, yale magar unakutaka plate namba imeandikwa jina la mtu yataisha..demu kukutana nao maofisn nyodo zitaisha..hapa tz Wanawake ndo wanaongoza kubebwa...ila ndo wanaongoza dhalau maifisni utadhani hicho kiti ni halali yake...SIR.maguli KOMAA nao hao MAJIZI.
Hakuna mtumishi wa TRA ambaye ni masikini ,wote ni matajiri wa kutisha utadhani ni wauza sembe wa Colombia au Mexico,wao wanashindana kwa kujenga majumba,kununua mashamba,magari ya kifahari na kuwa na nyumba ndogo kibao,wakati mishahara yao ni ya kawaida tu ,haina uwiano na utajiri walionao.
TIC, TANESCO,JNIA, NMB,MALI ASILI, MAHAKAMA KUU.....!! Wizi mtupu...tatizo la wezi wa kibongo wanatuibia afu wanatudhalau,.ona wahindi walivyonadharau ...wanapokuajuri...watu wengi wanaendesha magar makari kwa gharama zetu...unapishana na mke yuko kwenye vx/8. anakuangalia utadhani kinyago kumbe kanunuliwa na kibaka...wa kodi,dili...sasa tutaeshmiana mitaani, yale magar unakutaka plate namba imeandikwa jina la mtu yataisha..demu kukutana nao maofisn nyodo zitaisha..hapa tz Wanawake ndo wanaongoza kubebwa...ila ndo wanaongoza dhalau maifisni utadhani hicho kiti ni halali yake...SIR.maguli KOMAA nao hao MAJIZI.
Mimi napendekeza wale wote watakaokuwa wamegundulika kuwa ni wahusika wa kuhujumu uchumi wetu...basi wapigwe RISASI hadharani.....maana ndio malipo pekee wanayopaswa baada ya kulisababishia taifa hasara za mabilioni......
kulikoni ndugu kurusha mawe yote hayo? Au unaako jambo, we ukiona mwanamke anaendesha gari unajua ni kuhogwa tu? Siku hizi tunapambana kiume ndugu yangu na tunavitafuta kwa jasho. Hivyo hata ukiona mwanamke kakalia kiti chenye cheo kikubwa usitake kupasuka. Wanawake kwa sasa tunajiweza hatuwezeshwi.
Nasubili aguswe na lowasa, maana Lowasa ni kijipu chungu..nisikie kelele
Mafisadi wa CCM
Nasubili aguswe na lowasa, maana Lowasa ni kijipu chungu..nisikie kelele
Hata wewe Rosemaria unatakiwa kukamatwa, huyu bwanako kakupa hizi picha uzilete humu kama nani yako? Utaeleza yu wapi.Jamaa ni very intelligent anapiga picha na kuzihifadhi ali atumie kwa wakati wake
Ule wimbo wa utaisoma namba siuskii tena pale tbc na star tv,ccm imejaa wapiga dili,kuanzia urais,mawazir,wabunge