Wahusika wakuu wa Makontena bandarini hawa hapa

Status
Not open for further replies.
Mbona Ritz na FaizaFoxy wapo kimyaa? Je hawafrahishwi na utendaji kazi wa rais?
 
Last edited by a moderator:
Mbona Ritz na FaizaFoxy wapo kimyaa? Je hawafrahishwi na utendaji kazi wa rais?
 
Last edited by a moderator:
Ally mbona ndiye aliye mtangaza JPM nchi nzima?? Kweli shukrani za punda, sasa JPM utathubutu kumkamata?? Kumbuka fadhila mzee hata ufumbe macho tu. Mbona Jituu kaondoka salama?? Huyu naye mwambiye aishiye huko huko chinese.
Shamba la bibi linalindwa na mjukuu, ya leo kali
 
Akitoka huko aje tanroad,wako chin ya himaya yake,tanapa,tanesco,dawasco,taa zimulike UDA,NHC,MAHOTEL MENGI YA WAKUBWA HALIPI KODI,MSULULU NI MREFU SANA,MAADAM UMELIANZISHA UKIISHIA NJISN UMEKWISHA.
 

Kama ni kweli walipiga pesa za kampen basi mheshimiwa rais wetu hana sababu ya kuwarudiaha kwenye baraza lake la mawaziri. Kwani wanaweza kuja kutuumiza zaudi. Sasa hiv tunataka watu waminifu na wachapakazi na wenye dhamira ya kweli ya kupambana na ufisadi. Sasa kama watu kwenye kampwn walipiga hela hao wataweza vip kumsaidia mweshimiwa?
 
Kuna kila sababu watu wa usalama wa Taifa kupiga kambi hapa JF maana hapa kuna vyanzo vingi sana vya kuanzia,

Usalama gani labda Wa CCM maana Usalama Wa Taifa ulikufa na Nyerere.
Hapa kuna wapigaji tu.
 
kwiiiiii kwiiiiiiii kwii
hawa people bhuana! hasa huyu FaizaFoxy zile sifa kwa jk hakuna tena toka pombe aanze kutumbua majipu ya jk amebadilisha ID .

Na yeye Ni Fisadi hapa ana hofu anajinyea maana alikuwa anasema tutaisoma namba sasa yeye ndiye anaisoma.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo wanyakyusa ndio wamesoma peke yao? Nenda pale bandarini salamu za asubuhi ni kinyakyusa " ugonile, Ndaga" ,hata yale majizi ya tra yaliyokamatwa na waziri mkuu karibu yote ni wanyakyusa

Unataka kusema hata Bade Ni mnyakyusa???
 
hata mwakyembe yumooo??? heee huyu jamaa nae mwizi ndio maana kyela kwao hawaendelei

Mwakiembe alisema kyela ni new york ndogo wamalawi wanafanya shoping kyela, kwamba hata dubai haifikii kyela.

Rejea mazungumzo yake siku mbili kabla ya uchaguzi star tv alipokua anamtuhumu Mtakatifu Lowassa.
 
hapo bandari panatakiwa pafanyike overhaul ya maana.
 
Wamechangia kuongeza foleni jijini Dsm kwa kuwanunua vimada magari.
Eh hah hah ,msichana yoyote akisikia hii ni mutu ya TRA inamtaka basi jua ndoa /urafiki wenu umeisha.
 
Mali zake nyingi kawekeza mikoani Dodoma Tanga hata Dsm kaandika majina feki ni mjanja sana kumgundua wafanye kazi ya ziada pia alisaidia sana kampeni kumgusa itakuwa vigumu labda January aamue kumsariti.

Kwa namna zote kala hasara. Sirikali ikishindwa kung'amua majumba yake kwa kuwa aliandika majina ya watu/ndugu pindi atakapoyakana; wenye majina kwenye dokumaa watayang'ang'ania hayo majumba. Si ameyakana? He absolutely had it coming!!
 
Jamaa wameitafuna inji hii
mana sitashangaa kama walikuwa wanalipia safari za hawa viongozi wetu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…