Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
TRA Wanatuua wanakusanya kodi wanalamba ila Mama Ntilie wananyooshwa hawa ni kifungo cha Maisha kama Babu Seya tu.
Ndiyo maana alikimbilia bbc kuwa mahakama ya mafisadi haitakuwepo watu walimuelewa vibaya mgombea...!Mwigulu na January na akina Nape walipiga billion 1.7 wakati kampeni ikiendelea mpaka Magufuli akapagawa ndipo Serikali ya china ikaokoa jahazi kwa kumwaga mapesa mengi lakini na yenyewe pia waliyapiga na sasa wanateuliwa kuwa mawaziri ili kulipa fadhila.
TIC, TANESCO,JNIA, NMB,MALI ASILI, MAHAKAMA KUU.....!! Wizi mtupu...tatizo la wezi wa kibongo wanatuibia afu wanatudhalau,.ona wahindi walivyonadharau ...wanapokuajuri...watu wengi wanaendesha magar makari kwa gharama zetu...unapishana na mke yuko kwenye vx/8. anakuangalia utadhani kinyago kumbe kanunuliwa na kibaka...wa kodi,dili...sasa tutaeshmiana mitaani, yale magar unakutaka plate namba imeandikwa jina la mtu yataisha..demu kukutana nao maofisn nyodo zitaisha..hapa tz Wanawake ndo wanaongoza kubebwa...ila ndo wanaongoza dhalau maifisni utadhani hicho kiti ni halali yake...SIR.maguli KOMAA nao hao MAJIZI.
Kweli aisee,, bandarini wamejaa wanyakyusa watupu
Mwigulu na January na akina Nape walipiga billion 1.7 wakati kampeni ikiendelea mpaka Magufuli akapagawa ndipo Serikali ya china ikaokoa jahazi kwa kumwaga mapesa mengi lakini na yenyewe pia waliyapiga na sasa wanateuliwa kuwa mawaziri ili kulipa fadhila.
Mm napendekeza tupitishe sheria fisadi akithibitika apigwe shaba hadi kufa hadharani.
acha ukabila ww. Kama wamesoma kwann wasiajiliwe? Ww ulitaka waajiri wamang'ati na wamasai wakat kichwan hamnazo kama lowasa