Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #181
Mimi ni mkongwe na mpaka saa hizi ni huyo jangalason ndio ametajwa sana ambaye sikuwa namfahamu. Watajeni hao wengine mnaodhani walikuwepo zamani ili tuwapime zaidi.Inaonekana nyimbo za injili umeanza kuzisikiliza kwanzia miaka ya 2005 kuja juu, waimbaji wengi uliowaweka kwenye top ten wameibuka katika awamu ya pili ya kutawala kwake JK.
Usiniambie kuwa kabla ya waimbaji hawa tena wengi wakiwa under 40, hapakuwahi kutokea waimbaji wa injili Tanzania waliotikisa Africa Mashariki.
Pata muda, sikiliza nyimbo za kina Jangalason na waimbaji wengine wa wakati wake.
Vinginevyo hiyo orodha ingejikita kuanzia mwaka 2015 kuja leo.
Kwa ujumla majina mengi unayaona ya miaka ya 2000s kwasababu miaka ya nyuma waimbaji binafsi walikuwa wachache sana. Kwaya ndio zilitawala ile miaka ya tisini kurudi nyuma.