Waimbaji kumi bora wa nyimbo za injili kuwahi kutokea hapa Tanzania mpaka sasa

Mimi ni mkongwe na mpaka saa hizi ni huyo jangalason ndio ametajwa sana ambaye sikuwa namfahamu. Watajeni hao wengine mnaodhani walikuwepo zamani ili tuwapime zaidi.

Kwa ujumla majina mengi unayaona ya miaka ya 2000s kwasababu miaka ya nyuma waimbaji binafsi walikuwa wachache sana. Kwaya ndio zilitawala ile miaka ya tisini kurudi nyuma.
 
Ukisoma vizuri kuanzia mwanzo utafahamu kwamba hakuna hukumu yoyote inayotolewa kwenye mada hii.
 
Siku nyengine Roho wa Mungu atumike kuwajua wale waimbaji wa Gosipeli wa Mungu wa kweli na washetani. Usitumie utaratibu huu wa kikokolokolo kuwa rank.
 
Hivi yeye sio wa dotcom?πŸ˜‚
Inategemea na umri wako brother 😁😁

Rose kwangu ni mkongwe pia maana katoka mwanzoni mwa 2000 ila kizazi hiki kingine kimekuja baada ya 2015 hasa baada ya goodluck Gozbert kuja na sound yake ambayo ni mchanganyo wa gospel na bongo flava
 
Kuanzia 2000 wote ni kizazi cha dotcom kwa mawazo yangu. Akina Rose hao ni wa 2000s halafu funga kazi wengi ni hawa wa 2010s ambao ndio facebook na instagram imewakamata kwelikweli.
 
[emoji419][emoji419][emoji419] kabisa
 
Kuzimu imeingia makanisani siku hizi ni hatari sana kusali sali hovyo kwenye haya makanisa ya mwendokasi.
 
Kuanzia 2000 wote ni kizazi cha dotcom kwa mawazo yangu. Akina Rose hao ni wa 2000s halafu funga kazi wengi ni hawa wa 2010s ambao ndio facebook na instagram imewakamata kwelikweli.
Bhasi bro labda kama wewe ni wale born before computers 😁😁😁

Wengine ni millenials sisi
 
Bila Rose Mhando list inakuwa haina maana, Rose Mhando hakuna wa kushindana nae Africa Mashariki, Kwa ufupi ni Zidane wa gospel songs , hakuna Cha vigezo wewe muweke namba 1
Ukitumia kigezo hicho ni kweli hana mpinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…