Waimbaji kumi bora wa nyimbo za injili kuwahi kutokea hapa Tanzania mpaka sasa

Rose mhando anakopi nyimbo za watu asa wanamziki wa south africa mfano nyimbo ya moyo wangu ni ya Rebecca malope moyo wami
 
Kuna nyimbo hizi mbili nazitafuta
1.kuwalaani wana waisreali balaam nani aliimba hiyo nyimbo

2.na yapili sijui nani aliimba wanacheza ofisini wamekaa kwenye meza kubwa jamaa anaimba vizuri sana

Naombeni msaada
 
kama ingekuwa mimi Beatrice mhone, upendo kilahiro,jenifa mgendi walitakiwa wawe kwenye list ya kwanza .
 
Pisi Kali Irene Robert NI hatari kwa kuimba modern Gospel
 
Naona wanyakyusa wamejazana
 
Hiyo List 1-10 wanasali kanisani kwako nini? Itakuwa wote mnasali kanisa moja Nyinyi
 
Mkuu wewe utakua ni legend kwenye tz gosple.

Naomba unisaidie nautafuta sana huu wimbo na aliye uimba.[emoji116]

..jehova nisi jehova shalom eloni baba nakuabudu jehova makaresh jehova shama elishadai nakuinulia mikono juu..

#MaendeleoHayanaChama
 
Nadhani sio kwa kupenda kwao.

Sawa aimbe bure atoe huduma bure.

Je bills za umeme..usafirishaji..vifaa vya muziki..mahema..viti..mapambo n.k

Vitalipwaje???

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…