Wairan 8000 ni Wayahudi

Wairan 8000 ni Wayahudi

Seth saint huo mti wa familia uliouweka hapo ni mahsusi kwa ajili mwisho wa siku kufika kwa Yesu Kristo. Essau uzao wake haufiki kwa Kristo.

Jee Ishmael ambaye Yoda alimtaja hapo awali hakuwa na watoto? Kufupisha maneno ni kwamba tunajadili wayahudi na uyuda kwa wakati mmoja.

Jee kila Myahudi anatokana na Israel na kama Israel ni taifa la watoto 12 kutokutajwa kwa hao wengine kunawatoa kwenye orodha ya watoto wa Israel??
Kuweka mambo sawa hili tuendelee vizuri ni kwamba Jews are named after Judah and not otherwise

Si kila myahudi anatokana na Israel(Jacob).Kuna wayahudi ambao wanasemwa wayahudi kwa kufuata misingi ya Judaism(religion) ambayo hii inatoa nafasi kwa kila mtu mpaka wamakonde,wasukuma na wengineo na wazungu wakiwemo.

Watoto wote wa Jacob(12) wote ni wana wa waisrael kwahiyo kama na wewe ni miongoni mwao basi ni mwana wa Israel(biblical explanation) lakini wewe si Jew kama sio mtoto wa uzao wa Judah na si muisrael kama sio member wa modern Isreal ambayo imetengenezwa 1947(kama ntakuwa nimekosea mwaka mtaniweka sawa)
 
Kuweka mambo sawa hili tuendelee vizuri ni kwamba Jews are named after Judah and not otherwise

Si kila myahudi anatokana na Israel(Jacob) labda hawa wayahudi ambao wanasemwa wayahudi kwa kufuata misingi ya Judaism(religion) ambayo hii inatoa nafasi kwa kila mtu mpaka wamakonde,wasukuma na wengineo na wazungu wakiwemo.

Watoto wote wa Jacob(12) wote ni wana wa waisrael kwahiyo kama na wewe ni miongoni mwao basi ni mwana wa Israel(biblical explanation) lakini wewe si Jew kama sio mtoto wa uzao wa Judah na si muisrael kama sio member wa modern Isreal ambayo imetengenezwa 1947(kama ntakuwa nimekosea mwaka mtaniweka sawa)
Jews in Waisrael wote, hilo ni jina waliloitwa baada ya kuvamiwa na falme zao zote mbili kutwaliwa na Assyrians.
Ni kama vile jina Uganda lilivyotokana na ufalme wa Buganda lakini kuna makabila mengi zaidi ya baganda Uganda
 
Dunia ina mambo sans,watu wanaanzaje kuondoka wakiwa waarabu wanarudi wakiwa Wazungu.yani ukanda wote una waarabu halafu Taifa moja tu ndio lina wazungu-haya ni maajabu.
Hata Afrika mataifa ya waarabu yapo ukanda moja,sasa ilikuwaje kukawa na wazungu katika kati ya Waarabu????
Mwenye uelewa anielemishe jamani.
Kumuangalia Ben Gurionanataka kufanana na watu wa Rusia, PM mstafu Yehud Barak anafanana na waarabu hana hata chembe ya uzungu, akina ERIO Shaloon walikuwa wanafanana na wazungu wa Russia, Netanyahu ni mchanganyiko nywele zake zina asili ya uarabu lakini watu kama akina Ben Gantz, Shaked Lapid ni wazungu kabisa.
 
Jews in Waisrael wote, hilo ni jina waliloitwa baada ya kuvamiwa na falme zao zote mbili kutwaliwa na Assyrians.
Ni kama vile jina Uganda lilivyotokana na ufalme wa Buganda lakini kuna makabila mengi zaidi ya baganda Uganda
Kama unaongelea invasion ya Assyrians kueleza wayahudi ni watu gani ntakubaliana na wewe kwa maana sijaisoma vizuri na kujua nini kilitokea

Lakini maelezo ya biblia na baadhi ya nadharia zinatambua Jews kutoka katika line ya Judah na inatambua uwepo wa makabila(ni koo sijui kama ntakuwa sahihi kusema makabila) mengine kutoka katika uzao wa Yakobo, ndio maana nlikupa mfano wa jamii ya watu wa Levi ambao ni Levites kutoka kwa mtoto wa Yakobo(Levi) ambao ni jamaa zao Judah(Jews) wapo pia ukoo wa Benjamini na kuendelea.Ukisoma book of numbers wote wametajwa katika makabila tofauti japo ancestor wao ni mmoja(Jacob ambaye ndio Isreal)
 
Jews in Waisrael wote,
No. Israelis are only the citizens of the State of Israel.

The rest are just Jews. To be sure, both statuses are not mutually exclusive, there are non-Jewish Israelis and (mostly) non-Israeli Jews, and there are Jews who are both Jewish and Israeli.
 
Dunia ina mambo sans,watu wanaanzaje kuondoka wakiwa waarabu wanarudi wakiwa Wazungu.yani ukanda wote una waarabu halafu Taifa moja tu ndio lina wazungu-haya ni maajabu.
Hata Afrika mataifa ya waarabu yapo ukanda moja,sasa ilikuwaje kukawa na wazungu katika kati ya Waarabu????
Mwenye uelewa anielemishe jamani.
Michel Aoun Rais wa Lebanon na Hafez Al assad aliyekuwa rais wa Syria wana tofauti gani na Netanyahu?
Wewe hata Yasser Arafat utamuita mzungu
WaIsrael walioweza kumpachika spy Eli Cohen hadi akakaribia kupewa uwaziri Syria ndio unawaita wazungu?!
 
Barack Obama ni black au mzungu?
Huyu kavunja rekodi kabisa maana ana damu ya Scottish,Swiss, German, Irish, black, na hata jew
Sijui tumuitaje mimi sielewi ila namuona ni black kwa muonekano
 
Jews in Waisrael wote, hilo ni jina waliloitwa baada ya kuvamiwa na falme zao zote mbili kutwaliwa na Assyrians.
Ni kama vile jina Uganda lilivyotokana na ufalme wa Buganda lakini kuna makabila mengi zaidi ya baganda Uganda
Kimaandiko Falme za Yuda na Israeli ziligawanyika baada ya kifo cha Mfalme Sulemani. Kama Israeli ilivyogawanywa kimapokeo kama makabila 12, tunaona Yuda na Benyamini pamoja na sehemu ya Lawi, baada ya mgawanyiko, kuwa Ufalme wa Yuda. Makabila mengine yalidumisha muungano kama Ufalme wa Israeli..
 
Huyu kavunja rekodi kabisa maana ana damu ya Scottish,Swiss, German, Irish, black, na hata jew
Sijui tumuitaje mimi sielewi ila namuona ni black kwa muonekano
Barack Obama ni mweusi tu arudi atafute mababu zake walikuwa wa wapi.Wazungu wameshamkataa ndio maana anaelezwa kama black American katika machapisho mbali mbali toka enzi akiwa Havard university.

Hakuna mzungu atakubali utambulisho wake uwe prefixed au padded na neno black ndio maana ata yule mke wa mtoto wa malkia wa uingreza licha ya kuwa karibu na sifa zote za wazungu bado walimkataa kwa sababu ya ancestors wake kuwa blacks
 
Kuchanganya damu ni shida sana
Wakiwa watoto mpaka wanakua ni kunyanyaswa tu
 
Wayahudi mpaka Saudia wapo na wanajiita wasaudia ila wanajulikana kama asili yao ni wayahudi
Hata Q8 nakumbuka kulikuwa na familia kadhaa za wayahudi walowezi hapo
Kwa kifupi Dunia hii unaweza kuishi popote pale na kuwa mmoja wao
 
  • Thanks
Reactions: 511
Kuchanganya damu ni shida sana
Wakiwa watoto mpaka wanakua ni kunyanyaswa tu
Wazungu wanazo feeling zao za kwamba ni superior ndio maana hawataki huwachanyie madesa kwenye race yao.

Lakini ndio ukweli wewe kama babu zako au jamaa zako ni race ya watu weusi tulia kubali hauna haja ya kutaka kuji-associate na uzungu kisa eti kuna mchanganyiko wa damu na wazungu
 
Ndiyo nataka kujua sifa za mtu kuwa Myahudi ni zipi. Maana tukizijua hizo ndiyo tunaweza kujua wayahudi hasa ni kina nani!!??
Myahudi ni mtu yeyote aliezaliwa an Mama wa Kiyahudi. Uyahudi sio adaptive religion, ni dini inayorithiwa kidamu kutoka upande wa mama.
 
Haikuwezekana waarabu kuzaa hata kwa siri na wasio waarabu. Unataka kusema haikuwezekana kabisa kwa waarabu kuwa na mahusiano na "wazungu"?
Mkuu mbona nimeku quote nikwambia walikuwa na muingiliano wa kuowana na kuzaliana. Nikakwambia tena wao weupe nikimaanisha wazungu, waarab waajemi nk ndo wamezaliana sana kushinda walivyozaa na sisi weusi.
 
muache upotoshaji, kina netanyahu ni wayahudi typically, kuhusu uwepo wa wayahudi iran hata nchi zingine wapo wengi tu anzia urusi na nchi zote zilizokuwa ussr, amerika, canada, south afrika mpaka nigeria wayahudi wapo ambao ni raia halali wa nchi hizo. Usishangae hata kenya watakuwepo. Taifa la kiyahudi israel kwenyewe kuna waarabu tele raia wa taifa hilo
Kinachokufanya uamini kuwa kina Netanyahu ni wayahudi typically kama ulivyosema ni nini...

1. Rangi yao?

2. Lugha yao?

3. Au dini yao?
 
Back
Top Bottom