Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Kuweka mambo sawa hili tuendelee vizuri ni kwamba Jews are named after Judah and not otherwiseSeth saint huo mti wa familia uliouweka hapo ni mahsusi kwa ajili mwisho wa siku kufika kwa Yesu Kristo. Essau uzao wake haufiki kwa Kristo.
Jee Ishmael ambaye Yoda alimtaja hapo awali hakuwa na watoto? Kufupisha maneno ni kwamba tunajadili wayahudi na uyuda kwa wakati mmoja.
Jee kila Myahudi anatokana na Israel na kama Israel ni taifa la watoto 12 kutokutajwa kwa hao wengine kunawatoa kwenye orodha ya watoto wa Israel??
Si kila myahudi anatokana na Israel(Jacob).Kuna wayahudi ambao wanasemwa wayahudi kwa kufuata misingi ya Judaism(religion) ambayo hii inatoa nafasi kwa kila mtu mpaka wamakonde,wasukuma na wengineo na wazungu wakiwemo.
Watoto wote wa Jacob(12) wote ni wana wa waisrael kwahiyo kama na wewe ni miongoni mwao basi ni mwana wa Israel(biblical explanation) lakini wewe si Jew kama sio mtoto wa uzao wa Judah na si muisrael kama sio member wa modern Isreal ambayo imetengenezwa 1947(kama ntakuwa nimekosea mwaka mtaniweka sawa)