Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

We bwege popoma leo umeongea madini ya ukweli hao watu wanapaswa kuondolewa haraka bila kupoteza muda, waache milima ipumue na mandhari ya mji ionekane.
Subirini nyie viazi sie wenye akili tuwasaidie kuondoa umaskini maana umewashinda kitambo..

πŸ˜„πŸ˜„ Cha ajabu kuna mburula wenzako wanapinga wanatamani muendelee kuishi humu kwenye mabanda yenu πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG-20220509-WA0008.jpg
    44.5 KB · Views: 4
Kwa akili hizi ipo siku utakuja na hoja ya cocobeach apewe muwekezaji .

Kwa akili zako za kipumbavu kila sehemu nzuri ni lazima wananchi wa kawaida wafukuzwe
 
Kwa akili hizi ipo siku utakuja na hoja ya cocobeach apewe muwekezaji .

Kwa akili zako za kipumbavu kila sehemu nzuri ni lazima wananchi wa kawaida wafukuzwe
Sio nitakuja,pale ni eneo prime na wawekezaji watapewa..

Kwenda kwako kuogelea kunanufaishaje Taifa?
 
Ata mimi nimeona hizo bil 150 haziwezi kutosha fidia ata kwa wakazi wa igogo tu hapo itatubidi tutumie nguvu watake wasitake wataama ata kwa milioni tano kila nyumba, wakibisha kupokea nikuwahamisha ata bila senti, wamevuruga mji kwa miaka mingi sasa wametosha.
 
Tatizo hili la makazi duni ni karibia mji yote ya TZ. Unakuta mjini kati kabisa kuna vijumba vilijengwa wakati wa utawala wa mjerumani hadi leo vipo na wenye navyo hivyo vijumba vya tope ni hoe hae na hawana mpango wowote wa kuendeleza makazi yao kwa muijibu wa sheria na kanuni za mipango mji na makazi mjini.

Matokeo yake miji yetu mingi imedumaaa hasa maeneo ya kati ya hiyo miji (CBD) miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru. Serikali inabidi utunge/iboreshe sheria za mipango miji na kazi hasa kwenye CBDs iwape wenye nyumba za ajabu ajabu na ambao hawawezi kujenga maghorofa kipindi cha kuanzia miaka 15 hadi 30 (Kulingana na kasi ya ukuaji wa miji) ya kuuza na kuhama maeneo yao ili hayo maeneo/viwanja zijengwe nyumba za kisasa hususani maghorofa.

Bila kufanya hivyo miji yetu mingi itaendelea kuw vijiji vilivyochangamka. Tukiendekeza ujamaa na kuchekeana na kuoneana aibu nchi hii itabaki hapo hapo hata baada ya miaka 200 ya uhuru kwenye suala la makazi.
 
Mkuu!
Umeongea ukweli mno!
 
Tembelea dar es salaam eneo la posta, kariakoo, ilala,upanga nk. Hakuna aliyefukuzwa ndani ya miaka 60 toka tupate uhuru. Watu wanafikia bei wanauziwa kwa mikataba mbalimbali. Kama ulikuwepo miaka 20 iliyopita unaweza kupotea kwa namna ujenzi mpya wa magorofa ulivyoshamiri. MUDA NI MSEMAKWELI. Haitachukua miaka 200 kama unavyodhania. HAKUNA NGUVU ILIYOTUMIKA KULETA HAYA MAENDELEO YA JIJI LA DAR. Kwanini miji mingine itumike nguvu?
 
Na huko Geita mjiandae πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220615-145524.png
    142.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220615-145631.png
    135.3 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220615-145749.png
    86.3 KB · Views: 7
Hakuna nguvu yoyote hapa mwanza hapa ni diplomasia wakileta ubishi tutaumia nguvu, acheni kupotosha watu.
 
Kwa ajili ya kumtetea hangaya uko tayari kusimama na the Rocky City
 
ujenzi wa kwny milima ulipaswa kupgwa marufuku tangu zamani.yaani taifa lenye ardhi km za eneo 945,2000 yanini watu waruhusiwe kujenga kwny ncha za milima au majabari kama kenge..shimo la choo atachimbaje
 
Niko humu nachomeka sukuma gang mmja [emoji116]
Kumbe kwenye hako kageto ndo wasukuma walikulainisha ukawachukia mpaka leo[emoji38][emoji38] pole sana mbena, wasukuma sio watu wa mchezomchezo, wanakula sangara na sato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…