Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

Nimekaa maeneo ya mabatini hakika kama kuna namna ya kupaboreha heri paboreshwe.nipachafu mno,wapika gongo wanatiririsha Matinga (mabaki ya gongo) hovyo,hakuna vyoo vya kudumu,mvua ikinyesha wanatiririsha vinyesi kwenda mto kenge,kaa yale sio makazi jamani japo niliishi pale kwa miaka mingi ila paboreshwe
 
Waliojaza mausaa kwenye vichwa vyao watakwambia Nchininauzwa..

Kwanza hakuna sababu ya msingi kuishi kwenye uswazi hususani maeneo yenye potential kama ya mjini..

Hayo maeneo yanatakiwa kuzalisha pesa sio kuzalisha umaskini na wahalifu.
 
Hii ndiyo Tanzania, ndoto ya watanzania wengi, simba wa kabila la yuda hayupo tena aliyesababisha nidhamu ya uoga serkalini na kufanya maamuzi mabaya yaliyobeba idadi kubwa ya Watanzania.

Hii ndiyo serikali yenye nidhamu ya utii, inayofanya maamuzi kwaajili ya masilahi ya nchi.

Je? Yataibeba Tanzania na watu wake kweli, then what is the future of Tanzania!
 
Hii post ipo kishabiki sana kumchonisha mama na kuutukuza mzimu wa chattle! Ina maana hao wawekezaji wamepewa maeneo yote ya miliman? Isamilo area tu jiji haliwez kuwafidia wakaz wa pale! Na huo uwekezaji wa b 150 tu? Hitimisho ni kwamba hii post ni ya kipumbavu sana ever seen
 
Hii mambo ya kuuza nchi vipande vipande tunapata hasara, kama vipi tuuze jumla kila mtu apewe chake asepe.

Lakini hiyo familia ya Brazil itajenga kwenye milima yote ya Mwanza Mabatini, Kirumba, Igogo, Mahina mpaka Ibanda huko?
Tumechelewa. Usalama wa nchi utakuwaje?
 
Hii mambo ya kuuza nchi vipande vipande tunapata hasara, kama vipi tuuze jumla kila mtu apewe chake asepe.

Lakini hiyo familia ya Brazil itajenga kwenye milima yote ya Mwanza Mabatini, Kirumba, Igogo, Mahina mpaka Ibanda huko?
Wakazi WA haya maeneo mhame , Kigoto , Mabatini , Kitangiri , Capripoint , Iseni , Kilimahewa , Kirumba , Ghana , Bugando ,Bugarika ,Igogo NK
 
Wale wanaoshi milimani Mwanza

Wenye magari huwa yanafikaje kule milimani?

Wagonjwa huwa wanapandishwaje na kushushwa kule milimani?

Watoto wanaocheza kule milimani huwa wanakuwa salama kiasi gani?
 
Sasa hizo ni nyumba au takataka? Walitakiwa waondolewe kitambo tuu maana wanachafua Mji..

Hao watu wa milimani Nina uhakika watakuwa wa kwanza kuitikia mwito maana watapewa maeneo mazuri yaliyopimwa na Fidia juu..

Nyanzaga Kule Sengerema wamehama kupisha Mwekezaji wa mgodi mkubwa dhahabu sembuse hao maskini wa huko milimani?
Wale waliomlaumu JPM kwa kuvunja nyumba za Kimara kupisha ujenzi wa barabara za kisasa ndio hawa watakalaumu hatua hii ya serikali ya sasa.

Ni mafundi wale wale wa lawama kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom