blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Wanapelekwa kwenye makazi bora mkuu... Kwakweli huko milimani hata vyoo hamna..Kuwa na utu acha dharau na kibri .
Tuwe na subira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapelekwa kwenye makazi bora mkuu... Kwakweli huko milimani hata vyoo hamna..Kuwa na utu acha dharau na kibri .
Ila yale ya Kimara babako alipiga ndani sio!??Babako bora angepiga nje tu aisee
Ukiwasikiliza Sana wajinga utashindwa kuleta maendeleo..Wale waliomlaumu JPM kwa kuvunja nyumba za Kimara kupisha ujenzi wa barabara za kisasa ndio hawa watakalaumu hatua hii ya serikali ya sasa.
Ni mafundi wale wale wa lawama kwa kwenda mbele.
Mimi sio sawa na wewe kwamba nabuni,naongea kwa.takwimuSio kweli, mikoa inayoongoza kwa umaskini ni ya Kusini.
Sahihi kabisa100%Jambo jema, masikini hajengi nchi,anajengewa
The Diamond city yaja . Dar yote watahamishiwa Mkuranga na kibaha kupisha ujenzi wa New Dar a.k.a The Diamond city. [emoji16][emoji16]Utu gani? Hizo ni nyumba auntakataka? Kuwaacha kwenye Hali hiyo ya umaskini ndio utu? Acha upumbavu..
Kule magomeni wanapisha viwanja Serikali inajenga wanapewa floor za Juu harafu floor za Chini na vyumba vya Kati inakuwa mali ya Serikali inaingiza pesa..
Hata hao watoke kwenye huo umaskini wakapewa viwanja vizuri nje ya Mji na Fidia harafu hayo maeneo yako potential yaendelezwe serikali ipige pesa.
Na kwanini Wajenge hapo tu na wasianzishe mji mwingine nje ya mji wa sasa.Duniani kote kuna sehemu inaitwa ''Old Town''Wewe unaona hizo ni nyumba au uchafu?
We vipi unaelewa unachoongea?Na kwanini Wajenge hapo tu na wasianzishe mji mwingine nje ya mji wa sasa.Duniani kote kuna sehemu inaitwa ''Old Town''
Unatumia nguvu kubwa sana kutetea upumbavu.We vipi unaelewa unachoongea?
We bwege popoma leo umeongea madini ya ukweli hao watu wanapaswa kuondolewa haraka bila kupoteza muda, waache milima ipumue na mandhari ya mji ionekane.Sasa hizo ni nyumba au takataka? Walitakiwa waondolewe kitambo tuu maana wanachafua Mji..
Hao watu wa milimani Nina uhakika watakuwa wa kwanza kuitikia mwito maana watapewa maeneo mazuri yaliyopimwa na Fidia juu..
Nyanzaga Kule Sengerema wamehama kupisha Mwekezaji wa mgodi mkubwa dhahabu sembuse hao maskini wa huko milimani?
Sasa baba kawaulize wale wa milimani kama wanapenda kuishi vile na kawaulize wachague kuhamishwa wakapewe fidia na maeneo mazuri na kubakia milomani...Unatumia nguvu kubwa sana kutetea upumbavu.
Magomeni kota imeboreshwa lakini hamna raia hata mmoja aliyehamishwa