Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

Wale waliomlaumu JPM kwa kuvunja nyumba za Kimara kupisha ujenzi wa barabara za kisasa ndio hawa watakalaumu hatua hii ya serikali ya sasa.

Ni mafundi wale wale wa lawama kwa kwenda mbele.
Ukiwasikiliza Sana wajinga utashindwa kuleta maendeleo..

Mwendazake aliwafurusha tena bila Fidia lakini Samia anawalipa fidia.
 
Its no longer a Joke, hii kasi ya mbio za Sakafuni mwisho wake ni Ukingoni...., tunatengeneza matabaka ambayo yanaleta chuki..., this is a recipe for disaster..., the have-not are being squeezed day by day until they have nothing to loose...., and when such day arrives there wont be any place for any of us to hide....
 
Kwani mmeambiwa wakazi wa Mwanza wanaoishi milimani wamegoma kuhama ? Naona mnalumbana kijinga utafikiri hamjaenda shule. Muwe na kiasi.
 
Kwanza napenda kutoa pole kwa mweshmiwa Rais, kwa hali hii ya watu anaowaongoza anakazi kubwa sana,

Baadabya kutokea kwa taarifa juu ya mpango wa kuwahamisha wakazi wa milima mitatu ya mwanza iliyoizunguka jiji, kwaajili ya uwekezaji ambao utaleta tija kwa taifa na wananchi kwa ujumla

baadhi ya maoni ya watu yameonesha kabisa kua taifa hili linahitaji kuboresha sana elimu kwani inaonekana asilimia kubwa ya wananchi wake ni (wajinga), Adui namba moja ambaye ni ujinga bado anazidi kuitafuna jamii na hii itatuchelewesha sana kwenye maendeleo

baadhi ya maeneo yanayotakiwa

maeneo ya igogo isamilo ni maemeo ambayo yako mjini kabisa haya maeneo wanataka waalipe fidia wananchi kisha wafanye uwekezaji ikiwa ni pamoja na kutengeneza bar.abara za kisasa zinazoelekea ziwa viktoria, kutengeneza kiwanda kikubwa cha pembejeeo, pia kuzitengeneza fukwe za ziwa victoria ziwe za kitalii zaidi,


maoni ya wananchi wenyewe sasa




UJINGA NI ADUI WA MAENDELEO
 
Mhuu hili limetoka wapi? au wamegundua madini? huyu mwekezaji anataka kufanya nini kwenye vilima hivyo kujenga majumba au? Mwenye maelezo alete hapa.
 
The Diamond city yaja . Dar yote watahamishiwa Mkuranga na kibaha kupisha ujenzi wa New Dar a.k.a The Diamond city. [emoji16][emoji16]

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
We bwege popoma leo umeongea madini ya ukweli hao watu wanapaswa kuondolewa haraka bila kupoteza muda, waache milima ipumue na mandhari ya mji ionekane.
 
Unatumia nguvu kubwa sana kutetea upumbavu.

Magomeni kota imeboreshwa lakini hamna raia hata mmoja aliyehamishwa
Sasa baba kawaulize wale wa milimani kama wanapenda kuishi vile na kawaulize wachague kuhamishwa wakapewe fidia na maeneo mazuri na kubakia milomani...

Umeona Mwekezaji wa Mwanza anataka kujenga real estates Ili hao wabakoshwe?

Mpumbavu ni wewe hata huelewi unachoongea..

Uwekezaji ulifanyika magomeni ni tofauti na unaotaka kufanyika hapo Mwanzo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…