Ha hiyo brioche tofauti Ukristo na imani nyingine, wanapokosea wanaomba msamaha wanarekebisha.Anachukua bara na kuwapeleka Zenj? Huko Zenj nasikia kuna makanisa yakiwatesa watumwa. Halafu unasema waislam wakiwachukua watumwa kuwapeleka Zenj. Kanisani anakaa muislam? Tumia akili unapoandika usitumie pua kufikiri.
Kanisa duniani limeomba msamaha kushiriki biashara ya utumwa.
Ebu soma hiki kitabu cha binti wa Seyyid Said na uone jinsi gani baba yake alikua bingwa wa kununua na kuuza watumwa wa kibantu kwenye himaya zakeView attachment 2793636
SWALI ZURI NA LINAJIBIWA VIZURI KATIKA KITABU HIKI CHA BINTI WA SEYID SAID.Sasa kama watumwa wengi waliishiia uarabuni kwanini hujiulizi kwanini hakuna weusi wengi uarabuni Tumia akili kujua kuhusu uongo uliodangywa shuleni kukupandikiza chuki..
Halafu mkuu abushiri alikuwa Chini ya Mkoloni wa kijerumanu au mwingereza kama sikoseiKamsome Tip Tip, abushir, hili ndilo lilikuwa jangili la kukamata watumwa kutoka Bara na kuwapereka Zenj,
Historia ya dalasa la tano,kasome vzr
ALIYEANDIKA ORIJINO KOPI AKIWA BERLIN ALIKUA NANI.Kitabu ambacho kumeandikwa NEWYORKK Unafikir kitatetea au kitasema ukweli kuhusu mwarabu 🤣🤣🤣🤣
Mbona hawakusimulieni kuhush Mapinduzi ya Zanzibar walivyoua waarabu wote bila tatizo wakikodi watu kutoka uganda
SWALI ZURI NA LINAJIBIWA VIZURI KATIKA KITABU HIKI CHA BINTI WA SEYID SAID.
NB: MTINDO WA KUHASI WATUMWA WA KIUME ULIOKUA UNAFANYWA NA WAARABU ULIKUA WA DHANA IPI.
NA HAKUNA CHUKI ILA UKWELI USIKWEPE MAANA KAULIZA UISLAMU NA UTUMWA NA KAJIBIWAView attachment 2793652
Sasa wwe ndo ujiulize kipindi hicho Ujerumenu ndo ilikuwa imeshika Tawlaa na ZANZIBAR PAMOJA NA TANGANYIKA ILIKUWA CHINI YA UJERUMANI JAPI ZANZIBAR ILIKUWA NI JIMBO LA UJERUMANI LIKIWA NA SULTANITE ADMINISTRATIONALIYEANDIKA ORIJINO KOPI AKIWA BERLIN ALIKUA NANI.
KISOME KWANZA NA UONE MAISHA YA BINTI WA SEYID SAID ZANZBAR KABLA HAJAKIMBIA KUMKWEPA KAKA YAKE SEYID BARGASH SABABU ALIOLEWA NA MZUNGU WA KIJERUMANI.
So Bi Aisha tu biblia yako yote inaonyesha jinsi watumwa walivyomilikiwa hakuna mtume ambaye alikuwa hana watumwa....90% ya warabu ni waislam sa sjui unawatoaje,
Ottoman empire ilikua ni dola ya kiislam na ilitawala sehemu ya ulaya, middle east na part
of africa na walipigana vita ya kwanza ya dunia
Na kuna dini yenyewe ya islam ambayo ad leo hii bado inaendeleza utumwa wa fikla na akili
Bi Aisha mke wa mohamad alikua tajir na alimiliki watumwa
Inawezekana uislam na mataifa ya kiislam hayakushiriki vita vya dunia lakin tambua uislam ndo dini pekee iloenezwa kwa vita ata mohamad mwenyewe akuwa tu mtume lakin pia alkia kiongozi kamanda wa vtu na alishiriki vita na kuua watu wa kutumia jina la uislam
Uturuki alipigana na alikuwa mshirika wa HitlerLicha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.
Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.
Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.
Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.
Usije na hasira njoo na hoja.
Usilete picha za CNN au BBC.
Sasa nataka nikupe Tips zishike hizi huenda huzijui...ALIYEANDIKA ORIJINO KOPI AKIWA BERLIN ALIKUA NANI.
KISOME KWANZA NA UONE MAISHA YA BINTI WA SEYID SAID ZANZBAR KABLA HAJAKIMBIA KUMKWEPA KAKA YAKE SEYID BARGASH SABABU ALIOLEWA NA MZUNGU WA KIJERUMANI.
Ushawahi kusoma sahar trade ???Waliuza watumwa wakiwauzia wapi na waliwapeleka wapi mbona hutujawahi kusikia Mwarabu mweusi huko uarabuni Tumia akili kutafakari
Mansa musa hakuwa mwarabu... Ila alikuwa muislam, na yeye alikuwa anachukua dhahabu na watumwa kuuza dhahabu zake ulaya...Arabic countries zilikuwa Maskini [emoji1787][emoji1787][emoji1787] we itakuwa ulifeli aisew [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipind hicho kuna expansion ya Islamic empire kina mansa musa Mtajiri zaidi ya suleymani
Abushiri bin Salim ni chotara wa kiarabu aliyekua na biashara zake pale pangani za kuuza watumwa na pembe za ndovu na pangani ilikua chini ya Seyid Bargash aliyerithi kutoka kwa Seyid Majid ambae alikua chotara wa kizungu na mtoto mkubwa wa Seyid Said na mama yake alikua mzungu wa jamii ya Caucasian kama kijakazi wa Seyid Said.Halafu mkuu abushiri alikuwa Chini ya Mkoloni wa kijerumanu au mwingereza kama sikosei
Unaniletea Historia ambayo hata ukienda kwao kwa wazungu haipo How stupid you are?Ushawahi kusoma sahar trade ???
Then walikuwa wanapeleka kwenye mashamba mkonge zanzabar na pwani...
Hv nyinyi shule mmesoma kweli, au mnadanganywa wa idiots wenzenu mnapokaa kwenye kahawa.... Nendeni shule mpate slimu
Basi musome Alhaj Ibn Batuta na historia yake ya uislamu na utumwa kama una mtazamo huo.Siwezi kutafuta ASALI KWA NZI hata kama nikiipata!
Kutafuta historia ya Nzuri ya Waarabu kwenye Mikono ya Adui zake si Rahisi kuipata..
Kuna MSEMO UNASEMA USIMWAMINI MUONGO HATA KAMA AKISEMA UKWELI
Nashukur Umejijibu mwenyewe kwamba walikuwa ni wazungu..Abushiri bin Salim ni chotara wa kiarabu aliyekua na biashara zake pale pangani za kuuza watumwa na pembe za ndovu na pangani ilikua chini ya Seyid Bargash aliyerithi kutoka kwa Seyid Majid ambae alikua chotara wa kizungu na mtoto mkubwa wa Seyid Said na mama yake alikua mzungu wa jamii ya Caucasian kama kijakazi wa Seyid Said.
Abushiri bin Salim alikua mfanyabiashara aliyeona Wajerumani wanamuingila maslahi yake ndio akawashawishi waswahili wa pwani wawaasi wajerumani ambao walikua wakatili kweli kweli na kumbuka Von Zelewsky akiingis msikitini na mbwa na viatuna kuwachapa bakora waswahili waliokataa kulipa kodi
NB:SOMA KITABU CHA KUMBUKUMBU ZA BINTI WA SEYID SAID
Mkuu hivi unalijua hata jangwa la sahara lilipo na biashara zilizokua zinafanyika humo.Unaniletea Historia ambayo hata ukienda kwao kwa wazungu haipo How stupid you are?
Kuingiziwa Historia ambayo hata kwenye museum zao tu haipo ina maana wamekuona wwwe ni mjinga unazungumzia trans sahara ya juzi 1800s me nimekuandikia Kwamba warabu wameanza kuja Pwani ya Africa mashariki karne ya 7...
Sasa wewe si utakuwa Mjinga mmoja maana Trans saharan imeanza Kipind mzungu ameanza kuja
😅😅 KwHyo hii ndo swali lako la kipuuuzi la darasa la pili inaoonekana wengi bado mnasoma hekaya za Bunuwasi mlizolishwa matango pori. tangu zamanMkuu hivi unalijua hata jangwa la sahara lilipo na biashara zilizokua zinafanyika humo.