Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Umefafanua vizuri mkuu na umejibu swali lakeUislamu ni uarabu kwa sababu kuanzia mavazi ni asili ya Uarabuni. Na hata ukiangalia dini yenu inafundishwa kwa kiarabu. Na ukifuatilia historian uislamu una matabaka. Hata ukienda uarabuni kuna familia na koo zina matabaka juu ya wengine.
Asilimia tisini 90% ya waarabu ni waislamu na pia tamaduni za uislamu zimekopi tamaduni za kiarabu mpaka lugha.Ndio maana watu wanazifananisha na ni kweli zimefanana.Nimefurahi umejibu vizuri Cha kwanza inabid tutofautishe uislamu na Uarabu kwanza hapo tutakuwa sawa...
Si kila muarabu ni Muislam na sio kila mu islam ni muarabu...
Ni sawa na kuufannanisha ukristo na Uzungu...
Huwezi kusoma kitabu kilichojkita kwenye chuki Juu ya Dini utakuwa sio Timamu labda kaama unatafuta ukweli ambao tayari unao unaenda kuconfirm ulichoamini tu na ni upuuuzi kusoma hiki kitabuKitabu nilichokupa usome kinaelezea ukweli kuhusu biashara ya utumwa katika pwani ya medetranian na kinajibu swali la mdau kuhusu waarabu na uislamu na biashara ya utumwa.
NB: TUSITOKE NJE YA MADA HUSIKAView attachment 2795481
Umejibu kutumia Reference dhaifu sanaAsilimia tisini 90% ya waarabu ni waislamu na pia tamaduni za uislamu zimekopi tamaduni za kiarabu mpaka lugha.Ndio maana watu wanazifananisha na ni kweli zimefanana.
SWALI LA JAMAA NI KUHUSU WAISLAMU WAARABU NA UTUMWA NA NIMEMJIBU VIZURI SANA HAPO JUU.
Tatizo sisi watanzania hatusafiri hatupo exposed. Waarabu na wahindi wana matabaka, hata magroup yao ya whatsapp wakiwa nje ya nchi zao yanakuwa ya kitabaka. Huko Uarabuni kuna familia haziwezi kuoleana. Hivyo ndo ilivyo waliozunguka na Dunia wanajua.Umefafanua vizuri mkuu na umejibu swali lake
Hakuna reffernce mkuu,,bali nimekaa na kusafiri nchi za kiarabu kufanya research na kusoma kozi fupi fupi.Umejibu kutumia Reference dhaifu sana
FactsUmesoma Shule gani?unamjua Sultan Said kutoka Oman kuja zanzibar? Ukishafaham habari zake Njoo Ufute hii takataka yako?
We unavuta bangi. Kwanza una umri gani?Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.
Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.
Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.
Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.
Usije na hasira njoo na hoja.
Usilete picha za CNN au BBC.
Watu wa kwanza kuendesha biashara ya utumwa hasa pwani ya Africa Mashariki walikuwa Waislam toka Uarabuni. Hata mtume Mohamed yeye binafsi alimiliki watumwa na alipigana vita vingi na hivyo kuuwa binadamu wenzie. Sijawai sikia ktk kueneza ukiristo mtu yoyote akiwemo Yesu mwenyewe aliyewai kunyanyua upanga kumudhuru binadamu Mwenzie. Waislam wanauwezo wa kuvaa mabomu na kujilipua ili wafe na wengi.Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.
Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.
Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.
Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.
Usije na hasira njoo na hoja.
Usilete picha za CNN au BBC.
Mwehu wewe.Watu wa kwanza kuendesha biashara ya utumwa hasa pwani ya Africa Mashariki walikuwa Waislam toka Uarabuni. Hata mtume Mohamed yeye binafsi alimiliki watumwa na alipigana vita vingi na hivyo kuuwa binadamu wenzie. Sijawai sikia ktk kueneza ukiristo mtu yoyote akiwemo Yesu mwenyewe aliyewai kunyanyua upanga kumudhuru binadamu Mwenzie. Waislam wanauwezo wa kuvaa mabomu na kujilipua ili wafe na wengi.
Sijajua una lengo gani kuleta huu uzi, lakini kwasababu umeamua ngoja nikuambie machache. Angalia maisha ya watu wasiokuwa Waislam ktk nchi za kiislam. Wanaishi kwa kubaguliwa. Au nenda kama mtumishi wa ndani ktk nchi za kiislam hasa Uarabuni alafu urudi utuambie kitakachokupata. Vikundi vyote vya kigaidi duniani viko ktk nchi za kiislam. Mengine ngoja niyanyamazie.
Rejea vitabuni chief..usome role of Ottoman empire katika vita vya kwanza vya dunia. Ottoman empire ilikuwa ni dola ya kiislamu. Tafuta muda usome.
Pili, tueleze role ya kina tip tip na sultanate of Oman katika slave trade ya east africa. Hawa ndiyo walikuwa madalali wakubwa zaidi wa watumwa duniani. Sultan na tip tip hakuwa myahudi au mkatoliki .
Biashara ya utumwa ya east africa yote ilikuwa dominated na arabs. Wazungu waliparticipate zaidi na transatlantic slave trade..ambapo walichukua watumwa west africa zaidi.
Waliotukomesha sisi wanyamwezi ni waarabu. Na watumwa wengi waliishia Uarabuni.
Hii ni historia ya darasa la tano afsa.
Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli.
Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia Ujerumani, UK, ISRAEL; Urusi, Japan na wengine.
Utumwa:
Nimesoma historia yote sijasikia misikiti ikifanywa sehemu ya makazi ya watumwa lkn nasikia makanisa yalikuwa na vyumba vya kuwafunga na kuwahifadhi watumwa.
Kama unabisha hoja hizi 2 lete hoja.
Usije na hasira njoo na hoja.
Usilete picha za CNN au BBC.
Wewe hapo umesikia wapi hilo? Ni huko ma Kanisani, mashuleni wamewakaririsha huu upumbavu, na watoto na wajukuu mnaendelea kuwakaririsha na wao!!!Lakin ulisikia wakina sayid said, waliuza watumwa kutoka pwani ya africa mashariki ??? Au hadi hlo utakuwa hujackia?
Acha unafiki kina Tipu Tipu,kina Seyid Said,Baragash walikuwa dini gani
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Huyo bushir alikuwa mkristo? Mashamba ya karafuu Zenj, yaliyokuwa yanamirikiwa na waarab, vibarua walikuwa wa Japan? Mzungu alipereka watumwa, ulaya, mwarab(islam) alitumia watumwa Zenj, na Ukanda wa bahari ya, Hindi,
Basda ya mapinduzi, ya viwanda ulaya, watumwa hawakuhitajika tena, ulaya, Ila Zenj ya kiislam biashara iliendelea? Kenge tumia akili bro! Omba hata kitabu cha Historia cha dalasa la tano, facts zipo documented vzr tu.
Unamjua Tip Tip