LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
1. Kukata kucha siku ya Alhamisi.
2. Kutokula kwa kutumia kijiko.
3. Kutokula ukiwa umekaa kwenyekiti.
4. Kutokula kwa mkristo a.k.a kafiri kwa hofu ya kulishwa kwa vyombo vilivotumiwa kwa kupika nguruwe au nyamafu.
5. Kutokwenda nyumbani au kuongea na mtoto wako aliyeamua kubadili dini.
6. Kutanguliza mguu wa kushoto na kusoma dua kila unapoingia na kutoka chooni, hapa nimewaza tumbo la kuharisha sidhani kama litakupa hiyo chance ya kufanya nayo.
7. Kufuga mbwa kama mlinzi, huku ikijulikana kabisa kwamba alikula mkono wa mtume, kwa maelezo ya mwalimu wa madrassa.
Ongeza na zakwako unazozifahamu.