Kutokula kwa kutumia kijiko.
Uislamu unapendekeza kula Kwa kutumia mkono na haujakataza kula kwa kijiko.
Kutokula ukiwa umekaa kwenyekiti
Uislamu unaelekeza mtu ale akiwa amekaa. Kukaa kwenyekiti ni kukaa pia.
4. Uislamu haujakataza watu kula kwa Wakristo na badala yake unahalalosha hilo
{ ٱلۡيَوۡمَ أُحِلَّ لَكُمُ ٱلطَّيِّبَٰتُۖ وَطَعَامُ ٱلَّذِينَ أُوتُواْ ٱلۡكِتَٰبَ حِلّٞ لَّكُمۡ وَطَعَامُكُمۡ حِلّٞ لَّهُمۡۖ وَٱلۡمُحۡصَنَٰتُ مِنَ ٱلۡمُؤۡمِنَٰتِ وَٱلۡمُحۡصَنَٰتُ مِنَ ٱلَّذِينَ أُوتُواْ ٱلۡكِتَٰبَ مِن قَبۡلِكُمۡ إِذَآ ءَاتَيۡتُمُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ مُحۡصِنِينَ غَيۡرَ مُسَٰفِحِينَ وَلَا مُتَّخِذِيٓ أَخۡدَانٖۗ وَمَن يَكۡفُرۡ بِٱلۡإِيمَٰنِ فَقَدۡ حَبِطَ عَمَلُهُۥ وَهُوَ فِي ٱلۡأٓخِرَةِ مِنَ ٱلۡخَٰسِرِينَ }
[Surah Al-Māʾidah: 5]
Ali Muhsin Al-Barwani:
Leo mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri. Na chakula cha walio pewa Kitabu ni halali kwenu, na chakula chenu ni halali kwao. Na pia wanawake wema miongoni mwa Waumini, na wanawake wema miongoni mwa walio pewa Kitabu kabla yenu, mtakapo wapa mahari yao, mkafunga nao ndoa, bila ya kufanya uhasharati wala kuwaweka kinyumba. Na anaye kataa kuamini bila shaka a'mali yake imepotea, naye katika Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.
Sahih International:
This day [all] good foods have been made lawful, and the food of those who were given the Scripture is lawful for you and your food is lawful for them. And [lawful in marriage are] chaste women from among the believers and chaste women from among those who were given the Scripture before you, when you have given them their due compensation, desiring chastity, not unlawful sexual intercourse or taking [secret] lovers. And whoever denies the faith - his work has become worthless, and he, in the Hereafter, will be among the losers.
Kutanguliza mguu wa kushoto na kusoma dua kila unapoingia na kutoka chooni, hapa nimewaza tumbo la kuharisha sidhani kama litakupa hiyo chance ya kufanya nayo.
6. Kutanguliza mguu wa kushoto wakati wa kuingia chooni jambo haliwahi kuwachwa na Waislamu wanaojua
7. Uislamu haujakataza kufuga mbwa kwa ajili ya ulinzi.