.1. kukata kucha siku ya alhamisi
2.kutokula kwa kutumia kijiko
3.kutokula ukiwa umekaa kwenyekiti.
4. kutokula kwa mkristo a.k.a kafiri kwa hofu ya kulishwa kwa vyombo vilivotumiwa kwa kupika nguruwe au nyamafu.
5. kutokwenda nyumbani au kuongea na mtoto wako aliyeamua kubadili dini.
6. kutanguliza mguu wa kushoto na kusoma dua kila unapoingia na kutoka chooni, hapa nimewaza tumbo la kuharisha sidhani kama litakupa hiyo chance ya kufanya nayo,
7. kufuga mbwa kama mlinzi, huku ikijulikana kabisa kwamba alikula mkono wa mtume, kwa maelezo ya mwalimu wa madrassa,
ongeza na zakwako unazozifahamu
Hakuna Sheria ya Kiislamu inayokataza hillo.Kukata kucha siku ya Alhamisi.
AaaahaaaaNgoja nikae seat nyuma ya dereva.
BuraqKuweka picha sebuleni ya mdudu sii mdudu, mnyama sii mnyama basi ni dude la ajabu lenye mwili wa farasi kichwa Cha mwanamke.
Sio kwamba wewe hujui.najua mkuu..actually ni wewe huwezi kujua kamwe!
Kutokuangalia TV.1. Kukata kucha siku ya Alhamisi.
2. Kutokula kwa kutumia kijiko.
3. Kutokula ukiwa umekaa kwenyekiti.
4. Kutokula kwa mkristo a.k.a kafiri kwa hofu ya kulishwa kwa vyombo vilivotumiwa kwa kupika nguruwe au nyamafu.
5. Kutokwenda nyumbani au kuongea na mtoto wako aliyeamua kubadili dini.
6. Kutanguliza mguu wa kushoto na kusoma dua kila unapoingia na kutoka chooni, hapa nimewaza tumbo la kuharisha sidhani kama litakupa hiyo chance ya kufanya nayo.
7. Kufuga mbwa kama mlinzi, huku ikijulikana kabisa kwamba alikula mkono wa mtume, kwa maelezo ya mwalimu wa madrassa.
Ongeza na zakwako unazozifahamu.
8.usiteme mate kibra😂1. Kukata kucha siku ya Alhamisi.

Uislamu unapendekeza kula Kwa kutumia mkono na haujakataza kula kwa kijiko.Kutokula kwa kutumia kijiko.
Uislamu unaelekeza mtu ale akiwa amekaa. Kukaa kwenyekiti ni kukaa pia.Kutokula ukiwa umekaa kwenyekiti
6. Kutanguliza mguu wa kushoto wakati wa kuingia chooni jambo haliwahi kuwachwa na Waislamu wanaojuaKutanguliza mguu wa kushoto na kusoma dua kila unapoingia na kutoka chooni, hapa nimewaza tumbo la kuharisha sidhani kama litakupa hiyo chance ya kufanya nayo.
Hili ni jini kabisaBuraq
shukran mkuu, naelewa ila jamaa aliyeileta nilimuuliza kama ni ayah ama la.Sio kwamba wewe hujui.
Ila maana ya hiyo sentensi ya Lugha ya Kiarabu niliyo inukuu ni.
"Huwezi kujua"
Sio kwamba wewe hujui. ni tafsiri ya hilo neno kwa Lugha ya Kiswahili.
Nyie wakristo mmekatazwa ushoga lakini kwenye makanisa yenu mnakula kwenye makanisa yenu padri anamkula padri mwenzie1. Kukata kucha siku ya Alhamisi.
2. Kutokula kwa kutumia kijiko.
3. Kutokula ukiwa umekaa kwenyekiti.
4. Kutokula kwa mkristo a.k.a kafiri kwa hofu ya kulishwa kwa vyombo vilivotumiwa kwa kupika nguruwe au nyamafu.
5. Kutokwenda nyumbani au kuongea na mtoto wako aliyeamua kubadili dini.
6. Kutanguliza mguu wa kushoto na kusoma dua kila unapoingia na kutoka chooni, hapa nimewaza tumbo la kuharisha sidhani kama litakupa hiyo chance ya kufanya nayo.
7. Kufuga mbwa kama mlinzi, huku ikijulikana kabisa kwamba alikula mkono wa mtume, kwa maelezo ya mwalimu wa madrassa.
Ongeza na zakwako unazozifahamu.
Nachukia sana mijadala ya dini, kabila, maumbile na vyoote vinagawa watu sijui kwann tunajadili hayaNgoja nikae seat nyuma ya dereva.
Nyie wakristo mmekatazwa ushoga lakini kwenye makanisa yenu mnakula kwenye makanisa yenu padri anamkula padri mwenzie
Nyie wakristo mmekatazwa ushoga lakini kwenye makanisa yenu mnakula kwenye makanisa yenu padri anamkula padri mwenzie
Mkuu hupo njoo hapa Chawa wa lumumbashiNyie wakristo mmekatazwa ushoga lakini kwenye makanisa yenu mnakula kwenye makanisa yenu padri anamkula padri mwenzie