Waislam hizi sheria mbona hamzifuati tena, au kuna agano jipya?

Kwani wewe mkiristo unalipwa kutanga uisilamu humo?
 
Hili ni jukwaa la Dini
Na hapa nchini Dini kubwa ni mbili tu.

Unaweza kutembelea majukwaa mengine kama hapa unakwazika.
Mbona jukwaa ni la habari na hoja mchanganyiko. Hilo jukwaa lako la dini liko wapi?[emoji57]
 
Mzee dini sio habari za vijiweni, lete kila moja na dalili zake tujadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…