Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Ni kweli ya Iran yatatokea Zanzibar....
Ngoja tuone.
 
Safi sana
Hawataki mapango ya kusuuzwa watu akili kwenye ardhi yao
 
Si unawaona humu wanasema elimu dunia imesaidia nini? Inashangaza mno
 
Acha ujinga unataka kunizungumzia mimi au mada ya jf😬
Wote mkuu πŸ˜‚ umependeza lakini una figure matata yaan eenhe ushaelewa najua, sisi sote ni ndugu hujui kuna wanaoitwa Doreen Juma na Mwajuma James tunachanganya damu tu hata wewe ukikaa vizuri tunachanganya damu tu mtoto anakua na ID mbili
Ushaelewa?
πŸ˜‚
 
Hatutaki ukafiri na ushoga
Sasa Zenj, asilimia 99 ni Islam, kama Kuna mashoga asilimia kubwa watakua Islam tu, mashoga, mabasha, hivi vitendo ni asili ya Arabism, uarabu una hivi vitendo sana,sasa kwa vile Islam na uarabu ni dugu moja, wengi wa mabasha, mashoga ni waislam, Kuna wimbo wa taarab umepigwa marufuku huko Zenj,leo unaitwa"maraya tunajuana"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…