Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Tusichoshane.....weka wewe sasa hiyo mathayo kwa biblia unayoijua wewe.
Sio kuishia kutaja fungu alafu unasema linaongelea ushoga bila kuliweka
Tusichoshane kwani mimi ndiye niliyenukuu na kusema hii ni biblia ya TZ ?

Jee ulinukuu kutoka biblia ipi ?? Hivi sikukuwekea Mathew 19:10-12
 
Yaani mtu akijenga kanisa karibu yako ndo kakukufurisha?
Mbona Vijana wengi waki Zanzibar wana haribiwa na wazungu au kwasababu wazungu wanatoa pesa, utakuta kijana waki Pemba kaoa mzungu na chumbani wana lala na mbwa na wazazi wao hawa pingi hilo au kwasababu vijana wao wanapewa pesa utakuta kijana waki pemba kampata mwanamke waki zungu kijana anafundishwa kunywa pombe kuvuta bangi na kula madawa ya kulevya lakini huwezi kusikia waislamu wa pemba waki andamana kupiga vitendo vya wazungu vya kuwapotosha vijana wao, leo hii ukienda Zanzibar vijana walevi wana fuga rasta hawafanyi ibada wao akili zao ni kupata mwanamke waki Zungu ili aenda ulaya.
 
Hivyo ndio vita dhidi ya uislamu
 
Hivyo ndio vita dhidi ya uislamu
Kama ni vita kwanini hawaipingi lakini Mtanzania akijenga kanisa kuwaajiri ya wakristo wenzake mnapinga" lakini Mzungu akijenga bar au akiwa anawaharibu vijana waki Zanzibar kwa kuwanunulia vileo na bangi Wazazi hawapingi au kwasababu mzungu yeye anatoa pesa moja moja kwa vijana waki Zanzibar na kuwajengea vitega uchumi, mfano mwanamke waki Zungu utakuta ana mahusiano na kijana waki pemba utakuta mzungu anajenga nyumba na kuishi pamoja na kijana wakifanya mambo ya kuzini kulewa na kuvuta sigara na bangi cha ajabu waislamu hawapingi hivyo vitendo, lakini kanisa likijengwa wana pinga.
 
Pemba wakristo wapo.. ,

Wapo Kutoka jeshini, Polisi , usalama wa Taifa wameletwa kwa malengo maalum wanayoyajua wenyewe na wahamiaji wa kimakonde ambao wako kisiwa cha Njao na kule Makangale. Hawa wamakonde ni wastaarabu sana wala hawana shida na mtu , hayo mambo ya fujo ni haya makanisa yaliyohalalisha ndoa za mashoga ndio matatizo
 
Nyuzi kama hizi huwezi kumuona mzee Mohamed Said , ingekuwa vice versa angekuwa mchangiaji wa kwanza hapa akitoa historia ya unyanywaswaji wa waislamu
Randy...
Unanihukumu bila ya kunipa nafasi ya kunihoji ukasikia fikra zangu kwa hili jambo la Pemba ambako kunataka kujengwa kanisa na Waislam hawataki lijengwe.

Nimeiona hii post na kwa hakika inafikirisha sana.
Najiuliza kanisa Pemba anajengewa nani?

Labda wewe ndugu yangu unaweza kunipa jibu.
 
Dini yako ni hii ??

hasason said:

Umewaona lakini vitukuu vya ntume vinavyosasambua? 😂😂😂😂

Ndio madhara ya kujifungia wanaume peke yenu sasa hapo wanakulana Tigo si Kawaida 🤣🤣🤣🤣
Gavana,
Nimeangalia hiyo video.

Nimeona watu wanapiga ngoma na kuimba na wamevaa kanzu na wengine wamejifunga kashda kiunoni wanacheza.

NImejaribu kusikiliza hiyo nyimbo sikuweza kuitambua kama ina lolote katika Uislam achilie mbali hiyo nyimbo.

Shughuli yoyote ya Kiislam itaambatana na nidhamu, adabu na Qur'an Tukufu.

Sijaona chochote katika hiyo video.

Ikiwa mtu ataangalia hii video na kusema kuwa hao ni Waislam wako katika ibada ya Kiislam kwa hakika atakuwa kakosea na hii ni bahati mbaya sana kwake.

Yawezekana kuwa hawa kwa dini ni Waislam kwa kuangalia mavavi yakuwa wamevaa kanzu na kofia nk.

Lakini kuwa hiyo kuwa ni ibada hili hapana.
Nimeangalia nyumba waliomo na kwa hakika si msikiti.

Mambo kama haya yanahitaji utulivu wa akili si mambo ya kukurupuka na kutoa uamuzi pasi na kuwa na ujuzi wa hilo unalotaka kuchangia.
 
Randy...
Unanihukumu bila ya kunipa nafasi ya kunihoji ukasikia fikra zangu kwa hili jambo la Pemba ambako kunataka kujengwa kanisa na Waislam hawataki lijengwe.

Nimeiona hii post na kwa hakika inafikirisha sana.
Najiuliza kanisa Pemba anajengewa nani?

Labda wewe ndugu yangu unaweza kunipa jibu.
Kwahiyo kwa akili yako we mzee hilo kanisa walijenga hao waislamu.?.ukiona linajengwa ujue waumini wapo na watakuwepo zaidi na zaidi.

Dini inayoogopa dini nyingine ni dini dhaifu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwahiyo kwa akili yako we mzee hilo kanisa walijenga hao waislamu.?.ukiona linajengwa ujue waumini wapo na watakuwepo zaidi na zaidi.

Dini inayoogopa dini nyingine ni dini dhaifu.

#MaendeleoHayanaChama
Jiwe...
Ukiniita ''we mzee'' ile heshima ya uzee wangu umeiondosha.
Unaandika umeghadhibika.

Hatuwezi kufanya mjadala wa adabu na heshima.
Siko tayari kwa hili.
 
Kwahiyo kwa akili yako we mzee hilo kanisa walijenga hao waislamu.?.ukiona linajengwa ujue waumini wapo na watakuwepo zaidi na zaidi.

Dini inayoogopa dini nyingine ni dini dhaifu.

#MaendeleoHayanaChama
Wewe unakaa Pemba wapi?
 
Ikiwa huyo unayemfanya mungu yuko hivi kwenye biblia , jee nyinyi wafuasi wake , mtakuwa vipi ???

UKOO WA YESU

Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutoka koo takatifu. Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vilewazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana. Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia,

Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu. Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia. Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu,
hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnategemea nini?
Nabii Issa siyo Yesu na wala Yesu sio nabii Issa.
Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe na Issa alizaliwa chini ya mti.
Miji waliyozaliwa ni tofauti kabisa.
Msilazimishe kuwa Yesu ni Issa.
Wafundisheni watu wenu kuwa Issa ni nabii na Yesu hamuhusiki naye.
 
Isa aliponya watu wasiojulikana lakin Yesu alimponya Bathomayo kipofu,Alimfufua lazaro
Yesu mtoto wa maria mjukuu wa ana ila Isa ni mtoto miryum dada yake na haroon na musaa[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Nabii Issa siyo Yesu na wala Yesu sio nabii Issa.
Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe na Issa alizaliwa chini ya mti.
Miji waliyozaliwa ni tofauti kabisa.
Msilazimishe kuwa Yesu ni Issa.
Wafundisheni watu wenu kuwa Issa ni nabii na Yesu hamuhusiki naye.
Kwa mujibu wa Biblia Yesu hakuzaliwa kwenye zizi la ng'ombe ila aliwekwa kwenye zizi la ng'ombe baada ya kuzaliwa...
Soma mwenyewe usihadithiwe.
 
Hii dhuluma wapemba na wazanzibar mtailipa
Mtailipa very soon tunajua kiburi chenu kipo wapi
 
wewe utakuwa ni mfuasi wa nabii Tito msukuma mwenzako ???
Nilikuwa kanda ya ziwa last week basi nikiwa ktk basi mle kulikuwa na abiria kama 9 tofauti wadada wa ki Znz walikuwa wanakwenda usukuman ukweni wakiwa sambamba na wajme zao ambao ni vijana wa kisukumaa
 
Back
Top Bottom