Waislam, Ramadan/Ramadhan Imekaribia , Kisiwe Kikwazo Kwa Dini Nyingine Hasa Masuala Ya Ulaji Na Mfumo Wa Maisha .

. Watu wanalazimishwa kwenda mbinguni kwa viboko, dini ya uislam ina ukakasi mwingi sana

. Zenj ni ya ajabu sana, kwenye dini wameweka msimamo mkali sana, ila vijana wanaharibika na Ushoga lakini wapo kimya kukemea hili suala la Ushoga..
 
Huku bara huwa hakuna chuki za kula mchana, maisha huendelea kama kawaida. Migahawa iliyopo kando na misikiti chakula kinaliwa mchana kama kawaida
Zipo sana tu, utasikia makafiri yana kula mwenzi mtukufu... 😊 😊
 
Upuuzi mtupu dini au ujinga huu?

Na ni mtu mzima anawazidi wengine umri hapo waliwaza kama mgonjwa anatumia dawa kweli hawa?yaani ni ujuha wa hali ya juu sana huu.
 
Huku bara huwa hakuna chuki za kula mchana, maisha huendelea kama kawaida. Migahawa iliyopo kando na misikiti chakula kinaliwa mchana kama kawaida
Ulishawahi kuwaza hao huku bara wanaoingia humo misikitini wanapowaona nyie mkila pembezoni ya hiyo misikiti wanawawazia nini?

Usidhani wanakupenda kiasi hicho ni vile huku wengi tunajitambua siyo kama huko kisiwani.
 
Kwani Wakristo wanapofunga wakiwaona wengine wanakula unafikiri kuna kitu negative wanachowaza?

Funga ni baina yako na Mungu wako, haufungi kwa ajili ya kuwafurahisha wanadamu.

Yaani umefunga ila muda wote macho huku na huku unatafuta nani anakula. Haitakiwi kuwa hivyo.
 
Sasa kama imamu anamiliki wasenge wake na inajulikana hivyo, anawezaje kukemea ushoga?!
. Duhhh.. πŸ₯Ί πŸ₯Ί, kama ndo hivyo iman gani anaiongoza hapo?? Au labda dini hiyo haikatazi masuala ya kugeuzana πŸ€”πŸ€”

. Mashambulizi huwa ni mengi sana kwa papa F, Kuwa kwa nini ameruhusu ushoga, ila tu hapo zenj uislam umetawala lakini jambo hili ni kama wamebariki kwa nguvu zao zote
 
Ulishawahi kuwaza hao huku bara wanaoingia humo misikitini wanapowaona nyie mkila pembezoni ya hiyo misikiti wanawawazia nini?

Usidhani wanakupenda kiasi hicho ni vile huku wengi tunajitambua siyo kama huko kisiwani.
. Ndo ilivyo, yani wanatani hata leo Tanzania yote iwe ya kislam, ili wakiamua jambo liwe kidini zaidi..
 
Vunja Jungu ni maandalizi kabla ya kuanza mfungo mtakatifu. Kipindi hiki ndio unaruhusiwa kama una makando kando yako kuyamaliza
. Hapo nimekupa mkuu.. πŸ‘πŸ‘

. Ila bora mda wote kuwa mbali na makando makando kuliko kusubilia mfungo mtakatifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…