antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Msikilize huyo mama...Mashambulizi huwa ni mengi sana kwa papa F, Kuwa kwa nini ameruhusu ushoga, ila tu hapo zenj uislam umetawala lakini jambo hili ni kama wamebariki kwa nguvu zao zote
Kuna mdau hapo anasema hili tatizo hapo zenj ni la miaka na miaka.Msikilize huyo mama...
👇
- YouTube
Auf YouTube findest du die angesagtesten Videos und Tracks. Außerdem kannst du eigene Inhalte hochladen und mit Freunden oder gleich der ganzen Welt teilen.youtube.com
Loh huo ni uongo na upotoshajiVunja Jungu ni maandalizi kabla ya kuanza mfungo mtakatifu. Kipindi hiki ndio unaruhusiwa kama una makando kando yako kuyamaliza
Kufunga ni kati ya mtu na MunguMimi kwaresma hii nitafunga kula makande sili makande siku 40 ila vingine nakula, we utafunga kula nini dagaa au sambusa za nyama?
Ni kweli ndo maana sisi wakristo unachagua ufunge nini mfano mimi kwaresma ya mwaka huu nimechagua nafunga kula makande sili makande siku 40 ila vyakula vingine nakula kama mchwaKufunga ni kati ya mtu na Mungu
Hivyo kufunga sio suala la kutangazia walimwengu
Kufunga sio kujiosha na kujitangaza huo ni unafiki
Kufunga ni kujinyima na kutoa sadaka
Unafungua mchana lakini unakesha usiku unakula kama panya
Huko sio kufunga ni kubadili ratiba ya kula
Na ukifuturu unakunywa uji, mihogo,wali yàani jitu linafukia kama linakufa
Huo ni uchoyo tu
Anajua Mungu wake aonaye sirini na si binadamuNi kweli ndo maana sisi wakristo unachagua ufunge nini mfano mi kwaresma hii nafunga kula makande vyakula vingine tunakula kama mchwa
Ni kweli wewe kwaresma hii unafunga nini? Mi sili makande tu je wewe? Au wewe utafunga kula dagaa mchele hauli dagaa mchele siku 40?Anajua Mungu wake aonaye sirini na si binadamu
Sio wale wanafunga lakini usiku wanaokula kama nguruwe mwenye mimba
Me nafunga muda wowote na nikifungwa hata mke na Watoto wangu hawatajua kama nafungaNi kweli wewe kwaresma hii unafunga nini? Mi sili makande tu je wewe? Au wewe utafunga kula dagaa mchele hauli dagaa mchele siku 40?
Nenda vatican kwa lazima uende znz kila mji na tamaduni zakeNakutahadharisha tu
Hiki sio kipindi kizuri cha kwenda Zanzibar
Ni ujinga wa kiwango cha juu kulazimisha watu kufunga
Kula ni suala utamaduniNenda vatican kwa lazima uende znz kila mji na tamaduni zake
. Ni Uelewa mdogo huo kwenye suala la dini, siku zote dini hailazimishwi..
. Mtu analazimishwa kufunga kwa amri, ni mambo ya ajabu sana
Mimi nikajua mwezi mtukufu umeanza leo.
Kule Zanzibar kama wewe Mzanzibar na hauumwi kufunga ni lazima usipo fungal jamii inakuandama ndiyo Maana Wazanzibar wasiofunga wanakimbilia Tanganyika mpaka mfungo umalizike.