Waislam tuachane na adhana tutumie alarm za simu zetu

The point ya adhana ni yale maneno, sio ile sauti....adhana sio kama kengele ya kuita mifugo kama waroma
Sasa kama point ya adhana ni yale maneno na si ile sauti, kwa nini Allah asiwaoteshe watu wote waamke kwa wakati sawa bila mtu kutoa sauti tujue kweli Allah anatuita tukaswali?

Cut the bullshit already.
 
Sasa kama point ya adhana ni yale maneno na si ile sauti, kwa nini Allah asiwaoteshe watu wote waamke kwa wakati sawa bila mtu kutoa sauti tujue kweli Allah anatuita tukaswali?

Cut the bullshit already.
We ni nani mpaka umpangie Allah cha kufanya?
 
Huo ndiyo uthibitisho wako kwamba Allah yupo?

I know you are a simpleton, but are you a lazy simpleton too?
Kama hata ulipotokea hujui ndo utakuwa na uwezo wa kujua aliyekuleta?
Wewe ndio simpleton umekaririshwa madesa
 
Mkuu utaratibu wa kupiga adhana hautafutika labda itapunguzwa sauti kupunguza kero kwa wengine....kama unakereka nayo ,basi pole na tuvumiliane tu Mkuu
 
Kama hata ulipotokea hujui ndo utakuwa na uwezo wa kujua aliyekuleta?
Wewe ndio simpleton umekaririshwa madesa
Hapa kuna logical fallacies kadhaa.

Kuna argument from ignorance.

Kuna logical non sequitur.

Kuna false a priori assumption.

Nina hakika zote huzijui, kama hata unajua logical fallacy ni nini, ndiyo maana imekuwa rahisi kuzifanya.

Hatuwezi kuwa na mazungumzo yenye maana kwa sababu tunatofautiana sana kiuelewa.
 
Msiue ajira ya Muazini chonde chonde, kweni familia ya Muazini ikienda choo nyie kitu gani mnapungukiwa?.

Hii Nchi inauhaba wa ajira msiongeze maumivu.
 
Ndomaana naendelea kusema wewe umekaririshwa madesa.
Can you logically deduce to me god does not exist?
Can you logically deduce to me where everything originates?
 
Huu uzi mpaka sasa kama haujasababisha kutokea kwa vita ya kidini, basi litakuwa ni jambo la kushukuru.

Binafsi nikipumzika, huwa sipendi kuikia kelele za aina yoyote ile! Kuanzia hiyo adhana, kengele ya kanisani/shule, muziki kutoka kwenye kumbi za starehe/misiba/sherehe, kelele za magari/pikipiki, makelele ya kukemea mapepo kutoka makanisa ya kilokole kupitia vipaza sauti vyao, nk.

Hongera kwa Dikteta Paul Kagame wa Rwanda. Nasikia amepiga marufuku uwepo wa hii kitu inayoitwa kitaalam noise pollution.
 
Siyo misikiti tu! Hata wale wanaoishi jirani na kumbi za starehe, baadhi ya makanisa, nk. Nako ni tabu tu.
 

Muazini ni ajira kama ajira zingine

Pump up the volume Muazin😆
 
Unavumilia vipi kelele wakati unataka kupumzika?
Kama unaona upigaji wa adhna kwako ni tatizo basi lichukulie kama matatizo mengine yaliyokosa uvumbuzi katika jamii na uvumilie kwa sababu haitakuja kuwa na solution kama unayoitaka wewe..... adhna haizidi dakika Tano vumilia tu mkuu
 
Ndomaana naendelea kusema wewe umekaririshwa madesa.
Can you logically deduce to me god does not exist?
Can you logically deduce to me where everything originates?
Nimekupa nafasi ya kuthibitisha Mungu yupo.

Umeshindwa, umeniuliza mimi nimetokea wapi. As if swali hilo linaweza kuthibitisha Mungu yupo.

Nikakwambia umeleta argument from ignorance, logical non sequitur na false a priori fallacy.

Wewe huelewi hata kwamba kwa mtu anayesema Mungu yupo, the burden of proof is on that person to show that God exists. Anayepinga uwepo wa Mungu hana burden of proof, yeye anatakiwa kuhoji tu.

Hujui hata burden of proof iko wapi.

Ndiyo maana unasema Mungu yupo, halafu, badala ya kuthibitisha Mungu yupo, unanipa mimi burden of proof kuonesha kwamba Mungu yupo.

Unaelewa kwamba msikiti kuhitaji adhana tu ni ushahidi kwamba Mungu hayupo?

Nimekuuliza kama Allah yupo, kwa nini asiwatumie ndoto watu wote waamke kwa wakati na kwenda kuswali?

Hujaelewa na hujajibu swali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…