Pamoja mkuu tupinge sote nilienda singida aisee ni hatari..Kuna watu wanaandika ujinga sana inabidi ucheke tuu, soma comments zangu zote ninakemea ugaidi
Extension tu!?..nimekuuliza lilikua shamba la minazi au?!..nenda ocean road kakague uone,sidhani hata Kama umewahi fika,lile kanisa pale bandari ulikua msikiti wa wavuvi pale,kumbuka ile bandari Kaanzisha mwarabu,so lazima pawe na msikiti karibu, mjerumani kachukua nchi kajipa eneo lote la ufukweni,maana wanapenda fukweAcheni story, hakuna kitu kama hicho mkuu. Ramani zote za yale majengo designing zipi na history zote zipo zinasema wazi kuhusiana na hayo. Inawezekana majengo yalikuwepo lakini siyo pale. Kumbuka, Sultani aliwekeza zaidi Bagamoyo huko Dar es salaam ilikuwa ni extension tu
Angeenda mchana akauliza watoto hulala wapi,asingeoneshwa!?Ndo hivyo.mojawapo ya taarifa aliyopewa ni hiyo kua kuna sehemu watoto wanalazwa kwakulundikwa kama mawe ndo ikabidi aende mwenyewe akashuhudie.Akili zako ni ndogo ndomaana unawaza mambo ya kiki wakati ilo swala linahihusu jamii na lina faida kwenu wenyewe.Labda useme hampendani kwahiyo ata mtoto wa mwenzako akiwa analala pabovu kwako sio shida.
Sio kila muislamu n gaidi ila magaidi wote n WaislamuHapana, siyo kweli, Uislam haufundishi ugaidi.
Hao ni wapigaji tu.
Umejazwa ujinga na umekujaa.
Hata miaka 14 ni mtoto na kishamaliza elimu ya msingi,Sasa si wote huendelea na masomo,ye alitaka wawe wapi?!Mheshimiwa kasema ni watoto....kwani watoto wanapaswa kuwa shule gani???
Hzo tahfidhu ni kichaka cha kuwanyima watoto haki zao (nazijua vzr) ......heri ungenambia taalim...kule angalau wamekuwa kdg.
Shule,mmewalipia ada, uniform na madaftari?Watoto wanatakiwa kuwa shule sio kusomea uhaini
Kumbe kafanyaje,alitoa taarifa!?..Amevamia usiku? Waislamu bhana 😂
Leo nakuunga mkono 100%Sijawahi kuwa mnafik hata siku moja, labda hunisomi vizuri tu.
Uislam hauruhusu unafik.
Niliwahi jipenyeza kwenye hizi taaluma aisee kuna sumu mno wanalishwa na wasiokuwa na nia njema... Yaani kwa mtoto asiyekuwa na uwezo wa kupembua mambo anaondoka nazo.Pamoja mkuu tupinge sote nilienda singida aisee ni hatari..
watoto kama wako jeshini wengine nilikuwa nikikutana nao kitaa nawadodosa ..
Mkuu sumu walizonaso ni hatari.
Swala sio kuonyeshwa swala ni kushuhudia.lengo la Dc limetimia.wewe unapoteza muda tu kwajambo ambalo liko wazi.Angeenda mchana akauliza watoto hulala wapi,asingeoneshwa!?
Wanatawaza nn tena jaman 😂Hatutaki ugaidi..
Kuna nyingine hapa dom ngoja nikairipoti kwa mkuu wa wilaya watoto wakiamka ni koroani na kutawaza hakuna lingine.
Ndio kwakuwa Tunaona maeneo yanayo chipuka Ugaidi na kuharibu Amani ya nchi ni maeneo ya waislam tu. Mkuranga, Kibiti, Kilwa, Tanga. Unguja. NkRekebisha mkuu sisi hatuna Chuki na Uislamu tuna Chuki na Ugaidi
Hakuna sumu,acha ufataaniNiliwahi jipenyeza kwenye hizi taaluma aisee kuna sumu mno wanalishwa na wasiokuwa na nia njema... Yaani kwa mtoto asiyekuwa na uwezo wa kupembua mambo anaondoka nazo.
Kwani kuoneshwa siyo kushuhudiaSwala sio kuonyeshwa swala ni kushuhudia.lengo la Dc limetimia.wewe unapoteza muda tu kwajambo ambalo liko wazi.
Mkuu sio la kucheka nimetoka tandahimba majuzi hakuna lingine walilokuwa wanawaza zaidi kila muda kwenda kuswali.. tena wengine wanashinda hukuhuko masjid kwenye vibaraza.Wanatawaza nn tena jaman 😂
We shanga kweli wewe huko mnapo walaza chini mnawalisha mavi ya ng'ombe? Serikali inawalipia ada ,badala ya kuwafundisha uhaini wapelekeni shule wakasome elimu bureShule,mmewalipia ada, uniform na madaftari?
Kuna kaislamu flan hv cheupe kifupi nadhan kwa namna moja au nyingine utakuwa unamjua yeye kutwa na cd zake kutangaza mambo kama haya na hua wanaandaa midahalo kabisa, yn mm ndo ningekuwa polisi wa maeneo husika wangekuwa wanakula bakora mpaka ujinga uwatoke woteKuna Ka historia wamekatengeneza siku hizi wanakazungusha mitandaoni kuhusiana na Ikulu na Ocean road hospital wakiaminishana vilikuwa ni vya Waislam na vilijengwa na wai, wakati lile jengo pale lilikuwa disigned na John Sinclair, na ndiye aliyesimamia ujenzi wake na ujenzi huo ulifanywa Waingereza mwaka 1922 baada ya jengo la awali lilikuwa limejengwa na wajerumani kuharibiwa na majeshi ya Uingereza.
German ndiyo walianza kuijenga Ikulu baada ya kuamua kuhamisha makao kutoka Bagamoyo kwenda Dar es Salaam, walichofanya ni kununua ardhi kutoka kwa Sultan basi na si majengo
Mkuu wengine wanafundisha sahihi..shida inakuja kuna wengine sijui wanakuwa na agenda zao.Hakuna sumu,acha ufataani
Kwa hiyo mzazi akimridhaa mtoto hakuna mwingine anaweza kuona si sawa?Mwalimu alihojiwa na kusema kuwa hakuna mtoto wa miaka 3 hapo msikitini kiluvya na watoto wote wameletwa kwa ridhaa ya wazazi wao.