Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Pamoja mkuu tupinge sote nilienda singida aisee ni hatari..Kuna watu wanaandika ujinga sana inabidi ucheke tuu, soma comments zangu zote ninakemea ugaidi
watoto kama wako jeshini wengine nilikuwa nikikutana nao kitaa nawadodosa ..
Mkuu sumu walizonaso ni hatari.