Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

Magoti kasema kuwa lengo la sheikh ni zuri tatizo mazingira, hao watoto hata wakienda kusoma wapi bado watafundishwa asiye muislam ni kafir tu, mbona ukristo unafundisha kuna miungu mitatu hiyo si imani yenu hakuna shida, mnekuwa watakatifu sana mapadri watatu wangekufa kanisani na kutupwa kwenye matenk ya maji?
Toa hoja za msingi mkuu shida yenu ndio hiyo mpo cheap sana angalia hata kwenye Maisha yetu ya kawaida mitaani huku Jipe home work Nafasi yenu katika jamii ipoje na ni kwa sababu gani inakua hivyo hebu acheni hizo mambo jamani
 
Ilikuwa easy tu...ameona kuna tatizo katika kituo kile basi angewaita masheikh ofisini na kuwaelekeza nini kinatakiwa kifanyike au kama alikuwa hana muda huo angewasiliana na viongozi wa bakwata ili wawasiliane na uongozi wa msikiti huo na kuwapa maelekezo ya serikali
Ninyi si huwa mnamsifu Bashite anavyofanya Live? Kwanini wengine mnataka wakosolewe nje ya media?
 
Nakushauri tu mkuu, comments au watu wa hivyo wala hata siyo wa kuwa wuote, just ignore them. Ni faraja kubwa sana kwao mnapo wa wuote hata mkiwatukana, huwa wanaumia sana wakiandika lakini watu wakawapita kama hawawaoni. Huumia hadi kufijia hatua ya kuisusa JF au kubadili IDs.
Nimeelewa mkuu nampuuza kuanzia Sasa.
 
Mimi ni Muislam lakini kuwajaza wanafunzi kama samakinwa kopo msikitini na kuwaweka katika mazingira magumu namna ile haikubaliki Kiislam.

Waislam tunatakiwe tuwe mfano bora wa kuigwa (Makhalifa), na mifano ipo hai.

Mfano itazame Ikulu ya leo hii na hospitali ya Ocean road, asili yake ni madrassa na Ocean Road hospital ni mabweni ya kulala wanafunzi wa hiyo madrassa, ambayo ilikuwa na ubora wa hali ya juu mpaka Mjerumani akaona inafaa kuigeuza kuwa Ikulu.

Waislam kama mmekasirika kajengeni mabweni vizuri pale, wekeni madarasa majiko na wapishi wa kuwapikia wanafunzi muwarudishe. Kinawashinda nini?

Mkuu wa wilaya hajawakataza hilo.

Alilolifanya mkuu wa wilaya ni jema sana. Msianze unafik wa kijinga.
uislam wa kweli huwezi kuliona baya lile.

Naamini aliyeleta hii mada siyo Muislam. Kama ni Muislam basi haujuwi Uislam.

Huo ni ufataani na unafik.
Kweli wewe msomi na muislam anaye jitambua.
Huyu mdau anauchafua uislam uonekane ni wa kulalamika tu hata kwa mambo yenye kulinda afya ya waislam.
Kulinda uhai wa waislam wenzake.
Wakitokea watu kama wewe miongoni mwenu kutakuwa na maendeleo makubwa kwenye taasisi zenu.
 
Mimi ni Muislam lakini kuwajaza wanafunzi kama samakinwa kopo msikitini na kuwaweka katika mazingira magumu namna ile haikubaliki Kiislam.

Waislam tunatakiwe tuwe mfano bora wa kuigwa (Makhalifa), na mifano ipo hai.

Mfano itazame Ikulu ya leo hii na hospitali ya Ocean road, asili yake ni madrassa na Ocean Road hospital ni mabweni ya kulala wanafunzi wa hiyo madrassa, ambayo ilikuwa na ubora wa hali ya juu mpaka Mjerumani akaona inafaa kuigeuza kuwa Ikulu.

Waislam kama mmekasirika kajengeni mabweni vizuri pale, wekeni madarasa majiko na wapishi wa kuwapikia wanafunzi muwarudishe. Kinawashinda nini?

Mkuu wa wilaya hajawakataza hilo.

Alilolifanya mkuu wa wilaya ni jema sana. Msianze unafik wa kijinga.
uislam wa kweli huwezi kuliona baya lile.

Naamini aliyeleta hii mada siyo Muislam. Kama ni Muislam basi haujuwi Uislam.

Huo ni ufataani na unafik.
Unaongeaga ukweli hapo ndo napokukubali.

Uislam ni dini nzuri ila jinsi waislam wanavyotafsiri sharia zao ndo huwa sielewi kwanini wanajiweka kwenye mlengo wa kuonewa mara nyingi.

Sio watu wa kuchukua hatua, hata kama jambo ni kweli wamekosea wao watasema wameonewa.

Hii kitu binafsi inanikwaza sana wakati waislam ni jeshi kubwa sana, wanaaminishana kuonewa mpaka inakua shida kuhamasishana maendeleo.
 
Amani iwe nanyi.

Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Alitoa amri kuwa wanafunzi warudi makwao na akasema kuwa kitendo cha wanafunzi wa Kiislamu kukusanyika na kusoma dini yao ni udhalilishaji.

Hii ni chokochoko dhidi ya Uislamu na Waislamu. Jamii ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikijenga amani na maadili mema katika nchi hii. Masuala ya imani sio masuala ya kuyafanyia mzaha kwa kuwa yanagusa mioyo ya watu wengi na ni rahisi sana kuivuruga amani endapo mtu ataichezea ama kuidhihaki dini ya watu fulani.

Watanzania tumelelewa katika misingi ya amani, upendo, umoja na mshikamano. Hii ni mizizi iliyoasisiwa na wapigania uhuru wa nchi hii na tumeweza kudumu katika misingi hiyo kwa miongo kadhaa sasa.

Anapotokea mtu, awe kiongozi ama yoyote yule, akafanya dhihaka, kukashifu, kubeza na kuingilia imani za dini fulani basi bila shaka anapaswa kukemewa kwa nguvu zote.

Serikali ya Rais Mama Samia ni serikali sikivu na yenye weledi inayosimamia misingi iliyowekwa na waasisi wa taifa hili. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe hakupaswa kuzua taharuki kwenye vyombo vya habari kwa kufanya ziara ya kushtukiza usiku wa manane msikitini, ambayo Waislamu wameitafsiri kama uvamizi dhidi ya msikiti huko Kisarawe na kuamuru kituo cha kuhifadhisha Quran kifungiwe huku akiita kuwa ni udhalilishaji.

Pia, alidai kuwa misikiti ni sehemu ya watu kuswali na kuondoka tu huku akitumia kauli za kebehi na dharau kwamba watoto wanalala kama nyanya, wamepangwa kama tofali za block, hata nguruwe hawezi kulala katika mazingira hayo. Mara aseme watoto hao walipaswa wachapwe viboko wote na wazazi wao wawekwe gerezani kwa kuwa wameshindwa kuwalea! Hizi ni dharau kwa wazazi wa Kiislamu! Mzazi anayempeleka mwanae kuisoma dini yake ili awe na maadili mema katika jamii yake aonekane ameshindwa kumlea mwanae!

Leo hii, Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe aje kuwafundisha Waislamu tafsiri na kazi ya msikiti. Ni jambo la ajabu na aibu sana.

Waislamu nchini Tanzania wana taasisi yao ya BAKWATA, ambayo inashirikiana na taasisi nyingine ndogondogo kusimamia masuala ya Waislamu kwa ujumla. Petro Magoti alishindwa nini kuongea na uongozi wa BAKWATA unaoongozwa na Mufti Abubakar bin Zuber kuwa waboreshe kituo hicho cha msikiti wa Kiluvya ili kuweka mazingira rafiki ya vijana wa Kiislamu kuisoma dini yao na jambo hilo lisifike kwenye mitandao na kuzua sintofahamu kama alivyofanya yeye?

Msimamizi wa kituo cha msikiti wa Kiluvya alionekana akimueleza Mkuu huyo wa wilaya kuwa wanafunzi wanaishi katika hali hiyo kwa dharura tu huku jitihada mbalimbali za kuanzisha ujenzi wa mabweni zikiendelea. Nondo, mchanga, cement na matofali tayari vimeshakusanywa na jitihada za kuomba vibali vya ujenzi zikiendelea kufanyika ili kuhakikisha wanafunzi wanaishi katika mazingira rafiki.

Wito wangu kwa Rais ni kuhakikisha kuwa wateule wake kama Petro Magoti hawaingilii masuala ya kidini moja kwa moja kwa sababu ni eneo nyeti linaloweza kuvunja amani ya nchi hii kwa haraka sana. Awashauri wateule wake wawe na busara katika masuala ya utawala.

Alilofanya Petro Magoti ni kutafuta "kiki" tu, na kuleta kebehi na kudhalilisha Waislamu na Uislamu kwa ujumla. Jambo la hatari sana.

Video ya Sheikh akitoa mapendekezo kwa serikali nini kilipaswa kufanyika.

Pia soma:Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi
PAWEPO NA SEMINARI ZA KIISLAMU ZENYE MJUMUIKO WA DINI, ELIMU YA KAWAIDA, NA TABIA NJEMA, SEHEMU SAFI NA NADHIFU, WANAFUNZI WASOME NA WAHIFADHI KURUAN KWA KINA KATIKA HALI SALAMA, WALIMU WAWE NI WALE WALIOTHIBITISHWA NA BAKWATA PEKEE KWA VIBALI MAALUM, INSHALAAH
 
Huo ni mfano kwa wengine wanaoendesha vituo kama hivyo.
Sio Mara ya kwanza nakumbuka kuna msikiti mmoja maeneo ya Ipogolo Iringa kuna Bwana alifurushwa kabisa aondoke Nchini nadhani alikua mkufunzi ja baada ya muda kuna watoto pia waliamriwa kurudi majumbani kwao,Hawa mabwana hawanaga jambo jema hususan wakikusanyana Masikini wanakuwaga na mambo ya kijinga sana
 
Nakushauri tu mkuu, comments au watu wa hivyo wala hata siyo wa kuwa quote, just ignore them. Ni faraja kubwa sana kwao mnapo wa quote hata mkiwatukana, huwa wanaumia sana wakiandika lakini mkawapita kama hawawaoni. Huumia hadi kufijia hatua ya kuisusa JF au kubadili IDs.
Watu kama hao wanatakiwa kujibiwa ili wazidi kufunguka upumbavu wao zaidi ili tuzidi kuwajua na tuwaweke kundi gn
 
Mimi ni Muislam lakini kuwajaza wanafunzi kama samakinwa kopo msikitini na kuwaweka katika mazingira magumu namna ile haikubaliki Kiislam.

Waislam tunatakiwe tuwe mfano bora wa kuigwa (Makhalifa), na mifano ipo hai.

Mfano itazame Ikulu ya leo hii na hospitali ya Ocean road, asili yake ni madrassa na Ocean Road hospital ni mabweni ya kulala wanafunzi wa hiyo madrassa, ambayo ilikuwa na ubora wa hali ya juu mpaka Mjerumani akaona inafaa kuigeuza kuwa Ikulu.

Waislam kama mmekasirika kajengeni mabweni vizuri pale, wekeni madarasa majiko na wapishi wa kuwapikia wanafunzi muwarudishe. Kinawashinda nini?

Mkuu wa wilaya hajawakataza hilo.

Alilolifanya mkuu wa wilaya ni jema sana. Msianze unafik wa kijinga.
uislam wa kweli huwezi kuliona baya lile.

Naamini aliyeleta hii mada siyo Muislam. Kama ni Muislam basi haujuwi Uislam.

Huo ni ufataani na unafik.
Umeongea vyema kabisa, ingawa jasiri unaleta asili hapo kwenye Ikulu na hospital ya ocean road. Mnajaribu sana kuleta story zenu. Kuna mmoja nilimsikia anasema aliyeongoza Tanganyika kupata Uhuru aliitwa Juma Lyus Manyere, ila wakoloni walimuita Julius Nyerere, hili kinaanza kiutaniutani, lakini ikifika 2050 misikitini kote watakuwa wameshafundishwa kwamba Juma Lyiusa Manyere ndiye rais wa kwanza wa Tanzania
 
Amani iwe nanyi.

Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Alitoa amri kuwa wanafunzi warudi makwao na akasema kuwa kitendo cha wanafunzi wa Kiislamu kukusanyika na kusoma dini yao ni udhalilishaji.

Hii ni chokochoko dhidi ya Uislamu na Waislamu. Jamii ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikijenga amani na maadili mema katika nchi hii. Masuala ya imani sio masuala ya kuyafanyia mzaha kwa kuwa yanagusa mioyo ya watu wengi na ni rahisi sana kuivuruga amani endapo mtu ataichezea ama kuidhihaki dini ya watu fulani.

Watanzania tumelelewa katika misingi ya amani, upendo, umoja na mshikamano. Hii ni mizizi iliyoasisiwa na wapigania uhuru wa nchi hii na tumeweza kudumu katika misingi hiyo kwa miongo kadhaa sasa.

Anapotokea mtu, awe kiongozi ama yoyote yule, akafanya dhihaka, kukashifu, kubeza na kuingilia imani za dini fulani basi bila shaka anapaswa kukemewa kwa nguvu zote.

Serikali ya Rais Mama Samia ni serikali sikivu na yenye weledi inayosimamia misingi iliyowekwa na waasisi wa taifa hili. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe hakupaswa kuzua taharuki kwenye vyombo vya habari kwa kufanya ziara ya kushtukiza usiku wa manane msikitini, ambayo Waislamu wameitafsiri kama uvamizi dhidi ya msikiti huko Kisarawe na kuamuru kituo cha kuhifadhisha Quran kifungiwe huku akiita kuwa ni udhalilishaji.

Pia, alidai kuwa misikiti ni sehemu ya watu kuswali na kuondoka tu huku akitumia kauli za kebehi na dharau kwamba watoto wanalala kama nyanya, wamepangwa kama tofali za block, hata nguruwe hawezi kulala katika mazingira hayo. Mara aseme watoto hao walipaswa wachapwe viboko wote na wazazi wao wawekwe gerezani kwa kuwa wameshindwa kuwalea! Hizi ni dharau kwa wazazi wa Kiislamu! Mzazi anayempeleka mwanae kuisoma dini yake ili awe na maadili mema katika jamii yake aonekane ameshindwa kumlea mwanae!

Leo hii, Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe aje kuwafundisha Waislamu tafsiri na kazi ya msikiti. Ni jambo la ajabu na aibu sana.

Waislamu nchini Tanzania wana taasisi yao ya BAKWATA, ambayo inashirikiana na taasisi nyingine ndogondogo kusimamia masuala ya Waislamu kwa ujumla. Petro Magoti alishindwa nini kuongea na uongozi wa BAKWATA unaoongozwa na Mufti Abubakar bin Zuber kuwa waboreshe kituo hicho cha msikiti wa Kiluvya ili kuweka mazingira rafiki ya vijana wa Kiislamu kuisoma dini yao na jambo hilo lisifike kwenye mitandao na kuzua sintofahamu kama alivyofanya yeye?

Msimamizi wa kituo cha msikiti wa Kiluvya alionekana akimueleza Mkuu huyo wa wilaya kuwa wanafunzi wanaishi katika hali hiyo kwa dharura tu huku jitihada mbalimbali za kuanzisha ujenzi wa mabweni zikiendelea. Nondo, mchanga, cement na matofali tayari vimeshakusanywa na jitihada za kuomba vibali vya ujenzi zikiendelea kufanyika ili kuhakikisha wanafunzi wanaishi katika mazingira rafiki.

Wito wangu kwa Rais ni kuhakikisha kuwa wateule wake kama Petro Magoti hawaingilii masuala ya kidini moja kwa moja kwa sababu ni eneo nyeti linaloweza kuvunja amani ya nchi hii kwa haraka sana. Awashauri wateule wake wawe na busara katika masuala ya utawala.

Alilofanya Petro Magoti ni kutafuta "kiki" tu, na kuleta kebehi na kudhalilisha Waislamu na Uislamu kwa ujumla. Jambo la hatari sana.

Video ya Sheikh akitoa mapendekezo kwa serikali nini kilipaswa kufanyika.

Pia soma:Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi
Dp world
 
Watangulizi wa Petro Magoti mbona hawakuleta taharuki hizi.

Wamepita ma DC, Mh Jokate mwegelo na Nikki wa pili wameishi vizuri tu na wana kisarawe ila yeye toka aje kisarawe amekuwa ni mtu wa kuzua taharuki.

Kwanza kaanza kwa kutoa matamko kuwa mabinti wa kizaramo wasichezwe, pikipiki zisitumike kubeba mkaa pikipiki ikikamatwa anaitaifisha , hajakaa vizuri kaja na haya
Hapo kwenye Mkaa, Magoti utamlaumu bure. Husikii kampeni za nishati Safi kitaifa?
 
Amani iwe nanyi.

Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Alitoa amri kuwa wanafunzi warudi makwao na akasema kuwa kitendo cha wanafunzi wa Kiislamu kukusanyika na kusoma dini yao ni udhalilishaji.

Hii ni chokochoko dhidi ya Uislamu na Waislamu. Jamii ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikijenga amani na maadili mema katika nchi hii. Masuala ya imani sio masuala ya kuyafanyia mzaha kwa kuwa yanagusa mioyo ya watu wengi na ni rahisi sana kuivuruga amani endapo mtu ataichezea ama kuidhihaki dini ya watu fulani.

Watanzania tumelelewa katika misingi ya amani, upendo, umoja na mshikamano. Hii ni mizizi iliyoasisiwa na wapigania uhuru wa nchi hii na tumeweza kudumu katika misingi hiyo kwa miongo kadhaa sasa.

Anapotokea mtu, awe kiongozi ama yoyote yule, akafanya dhihaka, kukashifu, kubeza na kuingilia imani za dini fulani basi bila shaka anapaswa kukemewa kwa nguvu zote.

Serikali ya Rais Mama Samia ni serikali sikivu na yenye weledi inayosimamia misingi iliyowekwa na waasisi wa taifa hili. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe hakupaswa kuzua taharuki kwenye vyombo vya habari kwa kufanya ziara ya kushtukiza usiku wa manane msikitini, ambayo Waislamu wameitafsiri kama uvamizi dhidi ya msikiti huko Kisarawe na kuamuru kituo cha kuhifadhisha Quran kifungiwe huku akiita kuwa ni udhalilishaji.

Pia, alidai kuwa misikiti ni sehemu ya watu kuswali na kuondoka tu huku akitumia kauli za kebehi na dharau kwamba watoto wanalala kama nyanya, wamepangwa kama tofali za block, hata nguruwe hawezi kulala katika mazingira hayo. Mara aseme watoto hao walipaswa wachapwe viboko wote na wazazi wao wawekwe gerezani kwa kuwa wameshindwa kuwalea! Hizi ni dharau kwa wazazi wa Kiislamu! Mzazi anayempeleka mwanae kuisoma dini yake ili awe na maadili mema katika jamii yake aonekane ameshindwa kumlea mwanae!

Leo hii, Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe aje kuwafundisha Waislamu tafsiri na kazi ya msikiti. Ni jambo la ajabu na aibu sana.

Waislamu nchini Tanzania wana taasisi yao ya BAKWATA, ambayo inashirikiana na taasisi nyingine ndogondogo kusimamia masuala ya Waislamu kwa ujumla. Petro Magoti alishindwa nini kuongea na uongozi wa BAKWATA unaoongozwa na Mufti Abubakar bin Zuber kuwa waboreshe kituo hicho cha msikiti wa Kiluvya ili kuweka mazingira rafiki ya vijana wa Kiislamu kuisoma dini yao na jambo hilo lisifike kwenye mitandao na kuzua sintofahamu kama alivyofanya yeye?

Msimamizi wa kituo cha msikiti wa Kiluvya alionekana akimueleza Mkuu huyo wa wilaya kuwa wanafunzi wanaishi katika hali hiyo kwa dharura tu huku jitihada mbalimbali za kuanzisha ujenzi wa mabweni zikiendelea. Nondo, mchanga, cement na matofali tayari vimeshakusanywa na jitihada za kuomba vibali vya ujenzi zikiendelea kufanyika ili kuhakikisha wanafunzi wanaishi katika mazingira rafiki.

Wito wangu kwa Rais ni kuhakikisha kuwa wateule wake kama Petro Magoti hawaingilii masuala ya kidini moja kwa moja kwa sababu ni eneo nyeti linaloweza kuvunja amani ya nchi hii kwa haraka sana. Awashauri wateule wake wawe na busara katika masuala ya utawala.

Alilofanya Petro Magoti ni kutafuta "kiki" tu, na kuleta kebehi na kudhalilisha Waislamu na Uislamu kwa ujumla. Jambo la hatari sana.

Video ya Sheikh akitoa mapendekezo kwa serikali nini kilipaswa kufanyika.

Pia soma:Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi
Kale kajamaa kanauwezo mdogo sana wa kufikiria
Huwa hamtaki kuambiwa ukweli na hamuachi kulialia.

DC yeye ameplay part yale, amesimama kwenye jukumu lake...haiwezekani aone watoto wa miaka mitatu kwa mitano wanaopaswa kuwepo nyumbani kwa wazazi wao wakisoma shuleni eti wanalala nje ya manyumbani kwao na kujipikilisha huko

Haiwezekani Asilani

Cry more !!!
Hakuna watoto wa Umri huo acha uongo ww kafiri
 
Amani iwe nanyi.

Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Alitoa amri kuwa wanafunzi warudi makwao na akasema kuwa kitendo cha wanafunzi wa Kiislamu kukusanyika na kusoma dini yao ni udhalilishaji.

Hii ni chokochoko dhidi ya Uislamu na Waislamu. Jamii ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikijenga amani na maadili mema katika nchi hii. Masuala ya imani sio masuala ya kuyafanyia mzaha kwa kuwa yanagusa mioyo ya watu wengi na ni rahisi sana kuivuruga amani endapo mtu ataichezea ama kuidhihaki dini ya watu fulani.

Watanzania tumelelewa katika misingi ya amani, upendo, umoja na mshikamano. Hii ni mizizi iliyoasisiwa na wapigania uhuru wa nchi hii na tumeweza kudumu katika misingi hiyo kwa miongo kadhaa sasa.

Anapotokea mtu, awe kiongozi ama yoyote yule, akafanya dhihaka, kukashifu, kubeza na kuingilia imani za dini fulani basi bila shaka anapaswa kukemewa kwa nguvu zote.

Serikali ya Rais Mama Samia ni serikali sikivu na yenye weledi inayosimamia misingi iliyowekwa na waasisi wa taifa hili. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe hakupaswa kuzua taharuki kwenye vyombo vya habari kwa kufanya ziara ya kushtukiza usiku wa manane msikitini, ambayo Waislamu wameitafsiri kama uvamizi dhidi ya msikiti huko Kisarawe na kuamuru kituo cha kuhifadhisha Quran kifungiwe huku akiita kuwa ni udhalilishaji.

Pia, alidai kuwa misikiti ni sehemu ya watu kuswali na kuondoka tu huku akitumia kauli za kebehi na dharau kwamba watoto wanalala kama nyanya, wamepangwa kama tofali za block, hata nguruwe hawezi kulala katika mazingira hayo. Mara aseme watoto hao walipaswa wachapwe viboko wote na wazazi wao wawekwe gerezani kwa kuwa wameshindwa kuwalea! Hizi ni dharau kwa wazazi wa Kiislamu! Mzazi anayempeleka mwanae kuisoma dini yake ili awe na maadili mema katika jamii yake aonekane ameshindwa kumlea mwanae!

Leo hii, Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe aje kuwafundisha Waislamu tafsiri na kazi ya msikiti. Ni jambo la ajabu na aibu sana.

Waislamu nchini Tanzania wana taasisi yao ya BAKWATA, ambayo inashirikiana na taasisi nyingine ndogondogo kusimamia masuala ya Waislamu kwa ujumla. Petro Magoti alishindwa nini kuongea na uongozi wa BAKWATA unaoongozwa na Mufti Abubakar bin Zuber kuwa waboreshe kituo hicho cha msikiti wa Kiluvya ili kuweka mazingira rafiki ya vijana wa Kiislamu kuisoma dini yao na jambo hilo lisifike kwenye mitandao na kuzua sintofahamu kama alivyofanya yeye?

Msimamizi wa kituo cha msikiti wa Kiluvya alionekana akimueleza Mkuu huyo wa wilaya kuwa wanafunzi wanaishi katika hali hiyo kwa dharura tu huku jitihada mbalimbali za kuanzisha ujenzi wa mabweni zikiendelea. Nondo, mchanga, cement na matofali tayari vimeshakusanywa na jitihada za kuomba vibali vya ujenzi zikiendelea kufanyika ili kuhakikisha wanafunzi wanaishi katika mazingira rafiki.

Wito wangu kwa Rais ni kuhakikisha kuwa wateule wake kama Petro Magoti hawaingilii masuala ya kidini moja kwa moja kwa sababu ni eneo nyeti linaloweza kuvunja amani ya nchi hii kwa haraka sana. Awashauri wateule wake wawe na busara katika masuala ya utawala.

Alilofanya Petro Magoti ni kutafuta "kiki" tu, na kuleta kebehi na kudhalilisha Waislamu na Uislamu kwa ujumla. Jambo la hatari sana.

Video ya Sheikh akitoa mapendekezo kwa serikali nini kilipaswa kufanyika.

Pia soma:Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi
Dini hizi kwa niliyoyaona kwa nchi za kislam kwenye hivi vituo wanachofanyiwa watoto, eti kufunzwa dini ni zaidi ya utumwa!! Watu wanapigwa balaa, wanashinda kwenye minyororo!! Eti ndio kufunzwa dini!!
 
Hapa mtaani kwetu kuna Wapemba, sasa wanavyowafundisha Kurani hao watoto wao utadhani n vita Mana kila muda unasikia makofi ya mgongoni tuu paaaaaaaah!
 
Mwalimu alihojiwa na kusema kuwa hakuna mtoto wa miaka 3 hapo msikitini kiluvya na watoto wote wameletwa kwa ridhaa ya wazazi wao.
Sasa hao wazazi c nao wamepitia huko huko kwenye ugaidi wa Kiislamu hvy nao lazima walete watoto wao, yn hii kutokomeza ugaidi inabidi tuanze kwa watoto mpaka kwa wazazi wao
 
Back
Top Bottom