Kwa mtazo wako, inawezekana wewe ukawa kafiri zaidi mara 1000 zaidi yaoHivi ww unadhani mashia ni waislamu?
Mashia ni wabaya zaidi kuliko hawa tunowaita makafiri
Endapo Iran ataanguka ni wazi waislamu wakitaka Hijja viza na mipango yote ya safari za hijja zitapangwa na Isreal, nani aende na nani asiende.
Masjid Aqswa na ardhi yote ya Palestina ambayo ni alama ya uislam utapotea.
Saudia, Quwait, baharain na Qatar viongozi wao tayari nchi zao washazikabidhi kwa Israel na marekani. Amebaki Iran peke yake ambao ndio kikwazo kwao.
Masharti dhidi ya Iran
1. Wasiwe na nyuklia lkn Isreal na marekani wao wazidishe uzalishaji wa nyuklia
2. Wasiwe na silaha, lkn Isreal wao waongeze uzalishaji wa silaha.
3. Wasiwaunge mkono washirika wao lkn Isreal yeye aongeze idadi ya washirika wao.
Masharti haya hata mtoto mdogo hayakubali
Habari washirikishe Bakwata wenzako usitupigie kelele humu na kama vipi kajiandikishe kwenye jeshi la Iran ukapigane na Wamarekani.Endapo Iran ataanguka ni wazi waislamu wakitaka Hijja viza na mipango yote ya safari za hijja zitapangwa na Isreal, nani aende na nani asiende.
Masjid Aqswa na ardhi yote ya Palestina ambayo ni alama ya uislam utapotea.
Saudia, Quwait, baharain na Qatar viongozi wao tayari nchi zao washazikabidhi kwa Israel na marekani. Amebaki Iran peke yake ambao ndio kikwazo kwao.
Masharti dhidi ya Iran
1. Wasiwe na nyuklia lkn Isreal na marekani wao wazidishe uzalishaji wa nyuklia
2. Wasiwe na silaha, lkn Isreal wao waongeze uzalishaji wa silaha.
3. Wasiwaunge mkono washirika wao lkn Isreal yeye aongeze idadi ya washirika wao.
Masharti haya hata mtoto mdogo hayakubali
Hongera Papa kwa kusema ukweli. Tunategemea TEC kupitia kitima na wao watatoa kauli kuunga mkono kiongozi wao dini
Kitima anasemaje kuhusu kauli za litrump?Habari washirikishe Bakwata wenzako usitupigie kelele humu
Anasema Bakwata ni wapuuzi sana.Kitima anasemaje kuhusu kauli za litrump?
Hawezi kusema hivyo, anacheza na akili za watzAnasema Bakwata ni wapuuzi sana.
Masharti yao magumuMabomu,drones na mashambulizi hayawezi kukoma kwa maombi bali kupitia meza ya mazungumzo kati ya pande hasimu.
Sio kweli 😳!Hivi ww unadhani mashia ni waislamu?
Mashia ni wabaya zaidi kuliko hawa tunowaita makafiri
😁Kwa mtazo wako, inawezekana wewe ukawa kafiri zaidi mara 1000 zaidi yao
Mkuu swala la Iran si la kidini , ni la haki ya kila mtu anayependa usawa.Endapo Iran ataanguka ni wazi waislamu wakitaka Hijja viza na mipango yote ya safari za hijja zitapangwa na Isreal, nani aende na nani asiende.
Masjid Aqswa na ardhi yote ya Palestina ambayo ni alama ya uislam utapotea.
Saudia, Quwait, baharain na Qatar viongozi wao tayari nchi zao washazikabidhi kwa Israel na marekani. Amebaki Iran peke yake ambao ndio kikwazo kwao.
Masharti dhidi ya Iran
1. Wasiwe na nyuklia lkn Isreal na marekani wao wazidishe uzalishaji wa nyuklia
2. Wasiwe na silaha, lkn Isreal wao waongeze uzalishaji wa silaha.
3. Wasiwaunge mkono washirika wao lkn Isreal yeye aongeze idadi ya washirika wao.
Masharti haya hata mtoto mdogo hayakubali
Hongera Papa kwa kusema ukweli. Tunategemea TEC kupitia kitima na wao watatoa kauli kuunga mkono kiongozi wao dini
Hakuna suala la Udini kweli kabisa ,Mkuu swala la Iran si la kidini , ni la haki ya kila mtu anayependa usawa.
Hata mimi Mkristo nawaombea Iran dhidi ya ubabe wa Marekani na Israel.
Na wala sitetei uhayawani wa Israel kuua watoto wadogo Gaza na Lebanon.
Trump na Netanyahu ni maajenti wa Ibilisi
Hujui ata ulisemalo pole sanaaaKwa mtazo wako, inawezekana wewe ukawa kafiri zaidi mara 1000 zaidi yao
Badala udeal na mambo ya nchini kwako unajishughulisha na iran..Endapo Iran ataanguka ni wazi waislamu wakitaka Hijja viza na mipango yote ya safari za hijja zitapangwa na Isreal, nani aende na nani asiende.
Masjid Aqswa na ardhi yote ya Palestina ambayo ni alama ya uislam utapotea.
Saudia, Quwait, baharain na Qatar viongozi wao tayari nchi zao washazikabidhi kwa Israel na marekani. Amebaki Iran peke yake ambao ndio kikwazo kwao.
Masharti dhidi ya Iran
1. Wasiwe na nyuklia lkn Isreal na marekani wao wazidishe uzalishaji wa nyuklia
2. Wasiwe na silaha, lkn Isreal wao waongeze uzalishaji wa silaha.
3. Wasiwaunge mkono washirika wao lkn Isreal yeye aongeze idadi ya washirika wao.
Masharti haya hata mtoto mdogo hayakubali
Hongera Papa kwa kusema ukweli. Tunategemea TEC kupitia kitima na wao watatoa kauli kuunga mkono kiongozi wao dini
Ndivyo mnavyoambiwa na mabwana zenu saudiaHivi ww unadhani mashia ni waislamu?
Mashia ni wabaya zaidi kuliko hawa tunowaita makafiri
Bakwata na wadogo zenu uvccm mna usenge mwingi sanaHawezi kusema hivyo, anacheza na akili za watz