Waislam tunatakiwa tuiombee dua sana Iran kipindi hichi

Waislam tunatakiwa tuiombee dua sana Iran kipindi hichi

Endapo Iran ataanguka ni wazi waislamu wakitaka Hijja viza na mipango yote ya safari za hijja zitapangwa na Isreal, nani aende na nani asiende.
Masjid Aqswa na ardhi yote ya Palestina ambayo ni alama ya uislam utapotea.
Saudia, Quwait, baharain na Qatar viongozi wao tayari nchi zao washazikabidhi kwa Israel na marekani. Amebaki Iran peke yake ambao ndio kikwazo kwao.
Masharti dhidi ya Iran
1. Wasiwe na nyuklia lkn Isreal na marekani wao wazidishe uzalishaji wa nyuklia
2. Wasiwe na silaha, lkn Isreal wao waongeze uzalishaji wa silaha.
3. Wasiwaunge mkono washirika wao lkn Isreal yeye aongeze idadi ya washirika wao.
Masharti haya hata mtoto mdogo hayakubali
Hongera Papa kwa kusema ukweli. Tunategemea TEC kupitia kitima na wao watatoa kauli kuunga mkono kiongozi wao dini
Kitima alipinga mauaji ya Tanzania
 
Kati ya Iran na Marekani nani anatakiwa kuombewa?
Anayeshinda vita anaombewaje?
Manake tunaambiwa Iran anashinda!
Anayetakiwa kuombewa ni Marekani na Israel!
Wananchi ndio tunaowaomnea maana wanakufa,wanajeruhiwa na kuharibuwa mali zao.Haijalishi ni nchi gani inashinda vita
 
Wewe Muislam wa wapi wewe nani kakuambia Mashia sio Waislam. Wacheni ujinga Muislam yoyote ukiona ananza kusema madhehebu flani si Waislam huyo ni mjinga wala hajui nini mana ya Uislam

Kwa tarifa yako mimi sio Shia au Sunna mimi ni Ibaadhi


View: https://youtube.com/shorts/AHSnvow9oKM?si=z4kNGZvUEJ-j3xe5



Nimeisha mjibu huyo kenge anaye sema Shia sio Waislam


Wewe Muislam wa in wewe nani kakuambia Mashia sio Waislam. Wacheni ujinga Muislam yoyote ukiona ananza kusema madhehebu flani si Waislam huyo ni mjinga wala hajui nini mana ya Uislam

Kwa tarifa yako mimi sio Shia au Sunna mimi ni Ibaadhi


View: https://youtube.com/shorts/AHSnvow9oKM?si=z4kNGZvUEJ-j3xe5%5B/U



I don't agree with you, Sunni Muslims do not think that Shias are non Muslims there some groups who claim to follow Salafi interpretation and it's mainly them who as a result of their extreme form of interpretation consider all Shias to be Non Muslim.

The fact is that in Hajji and Umrah, all Muslims gather including Shias. Calling Shias non Muslims is like saying that Hajji and Umrah is being done by Non Muslims which is obviously incorrect.

Mimi sikubaliani na hadithi nyingi za Bukhari nikubaliane na point zilizo andikwa na anaye tofautisha Waislamu kwanza wapi Qur'an inaruhusu kusema wewe Sunni na Wale Shia Qur'an yenyewe strictly forbids dividing the religion into sects afu wewe ujidai 💯 Muslim acheni ujinga wa kusema Shia sio Muslim tofauti hata kwa wakristo zipo kati ya orthodox na Catholic hio ni sunnat al hayaa lakini sio we Salaf ujione uko sawa wakati wewe nwenye una makosa.
mimi nimekwambia kuna wanachuon wanao Kubali kuwa niwaislam na nikakuwekea PDF hii ili uone baadhi ya itikadi zinazo watoa ktk Uislam sizani kama umekisoma kisome Kwanza alafu ulete mrejesho
👇👇
 
mimi nimekwambia kuna wanachuon wanao Kubali kuwa niwaislam na nikakuwekea PDF hii ili uone baadhi ya itikadi zinazo watoa ktk Uislam sizani kama umekisoma kisome Kwanza alafu ulete mrejesho
👇👇
Kwani wewe una multiple users sababu sikumbuki niliongea na wewe kuhusu ulicho ongea mimi siwezi amini kitu atokee Sheikh mmoja asema Masunni ni makafiri au Mashia makafiri bila kunipa dalili zake afu nikazipima kweli alicho ongea ni kweli.

Uislam kwanza ni nini ni kuamini Mungu ni mmoja tu, na kuamini Mtume Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi na kufata Arkan Al Imani na Arkan Al Islam hayo mengine sijui hivi sijui vile ni ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom