Hahaha Bibilia hamzijui mgezielewa mgeisha kuwa Waislam zamani na kuwekea quote hapa soma ujuwe Bibilia ilisha.mtaja Mtume Muhammad na kuwekea videopia tazama huyo binti anavyo wafundisha bibilia nyie bibilia hamuijui mnaenda imba tu kanisani
Bible revolution in Paran
Based on the provided search results, the phrase "Bible revolution in Paran" relates primarily to a prophetic interpretation within Islamic studies regarding the location of revelation and the coming of a prophet, specifically connecting the Wilderness of Paran to the Arabian Peninsula and the ministry of Muhammad.
The Qur'an Project
Key Aspects of the "Revelation in Paran" Concept:
- Biblical Context (Deuteronomy 33:2): The phrase is rooted in Moses' blessing before his death: "The Lord came from Sinai, and rose up from Seir unto them; he shined forth from Mount Paran".
- Prophetic Interpretation: Some interpretations view these three locations (Sinai, Seir, Paran) as referring to three distinct divine revelations: the law to Moses (Sinai), the message of Jesus (Seir), and the revelation to Muhammad (Paran).
- Location of Paran: While commonly associated with the Sinai Peninsula in traditional biblical geography, some scholars and sources (e.g., The Qur'an Project) identify Paran with the desert region of Arabia, specifically identifying Mount Paran with the Sarawat Mountains and the area near Mecca (Makkah), where Hagar and Ishmael settled.
- The Prophecy: Habakkuk 3:3 ("God came from Teman, and the Holy One from mount Paran") is also interpreted as a prophecy pointing toward a revelation coming from the Arab desert (Paran)
nyie Qur'an imeisha wataja kwenye mioyo yenu kuna magonjwa na Mwenyezi Mungu atawazidisha hayo magonjwa
Nyoyo zenye Maradhi: “Nyoyoni mwao mna maradhi, basi Mwenyezi Mungu Amewazidishia maradhi” (Sura Al-Baqarah 2:10).
Nyoyo Zilizofungwa: “Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya kuona kwao kuna pazia” (Sura Al-Baqarah 2:7).
Mioyo Yenye Amani: “...Hakika kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu nyoyo hutulia” (Sura Ar-Ra’d 13:28).
Mioyo Vipofu: “...si macho yanayopofuka, bali ni nyoyo zilizo vifuani ndizo zinazopofuka” (Sura Al-Hajj 22:46).
Mioyo Iliyogawanyika: “Mnadhani wameshikamana, lakini nyoyo zao zimegawanyika” (Sura Al-Hashr 59:14).
Uingiliaji wa Kimungu: “...Mungu huja kati ya mtu na moyo wake” (Sura Al-Anfal 8:24).
Qur'an inawahimiza wanadamu kutumia nyoyo zao kufikiri na kuelewa. Moyo pia unaweza kuelezewa kuwa na afya (Qalbun Saleem), au katika hali ya kutafuta mwongozo
Hebu sikiliza hiz8 video mbili upate akili
View: https://youtube.com/shorts/-SfzWAcyCVg?si=3Fj09Apm-69dtyFj
View: https://youtube.com/shorts/6dxoq2dg6qc?si=fXoakPVOKyZ3J7xL
Biblia haijapotoshwa bali Waislamu ndio wamepotoshwa
Mungu wa Waislamu anasema:
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. (Al-Nisa 4:136)
Vilevile anasema:
Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako. (Yunus 10:94).
Anasema kuwa aliteremsha vitabu kabla ya quran.
Tunajua kuwa anadai kwamba vitabu hivyo ni Taurati, Zaburi na injili.
Tuchukulie kwamba anachosema ni kweli.
Alipokuwa anatamka maneno haya kwenye mwaka 600 Baada ya Kristo, Agano laKale la Biblia tayari lilikuwa na umri wa MAELFU ya miaka; na Agano jipya lilikuwa tayari na MAMIA ya miaka.
Yafuatayo ni maswali muhimu ya kujihoji kwako ndugu yangu Mwislamu na kupitia hayo, utatambua kama kweli Biblia imepotoshwa au ni wewe umepotoshwa:
Mungu wako anasema kwenye Al-Nisa 4:136 kwamba muaminini yeye na VITABU alivyoteremsha KABLA (ya quran).
Hapo ilikuwa ni miaka 600 BAADA ya Yesu.
Hapo Biblia ilikuwapo tayari.
SASA MASWALI YANGU KWAKO NI HAYA:
1. Ile Yeremia 8:8 mnayopenda kuitumia kana kwamba kuthibitisha upotovu wa biblia ilishakuwapo au ilikuwa bado haijaandikwa? Wakati Mungu wenu akionyesha imani thabiti kwa vitabu hivyo, hiyo Yeremia 8:8 haikuwapo?
2. Kama tayari kwenye mwaka 600 BK Biblia ilishapotoshwa, nayeye akawaambia mkiwa na shaka muwaendee watu wa kitabu, je, alimaanisha muende ili mkapotoshwe?
3. Au alimaanisha alimaanisha wakafufuliwe akina Musa na Mitume wa Yesu ndipo muwaulize kwa habari ya mashaka yenu?
4. Lakini kama alimaanisha Wakristo na Wayahudi wa nyakati za Muhammad, je, unatambua kuwa hii maana yake ni kuwa, HADI MWAKA 600 BK biblia ilikuwa iko sahihi? Vinginevyo angewezaje kuwataka muende kwenye maandiko yaliyopotoshwa?
5. Na kama Biblia basi imepotoshwa (kama mnavyodai), je, unatambua kuwa jambo hilo linatakiwa LAZIMA liwe limefanyika BAADA ya mwaka 600 BK? Maana kabla ya hapo Biblia ilikuwa iko sawa.
……………
Sasa, haujui ya kuwa zipo Biblia LEO ambazo ni za tangu KABLA ya 600 BK?
Niishie hapo ili niwaachie wenye hekima wahukumu.
Ukipenda kudanganywa, ni wewe tu.
Yesu PEKE YAKE ndiye Njia, Kweli na Uzima.
Tafakari.
Chukua hatua.