Shia Wana akili kuliko nyie wahabiWaulize mashia mtume wao ni nani halafu njoo unijibu
Ukija na matusi m nakuacha na matusi yako njoo na hoja tuone nani mkweli
Mwananamme kapewa ndevu mwanamke kapewa upara ktk kidevu chake. Unashangaa niniUnataka tulazimishwe kuvaa vilemba na kufuga madevu? Iran anatakiwa kurudishwa kimono I kwa Shaha na awe disarmed, Iran no tishio kwa mtu.
Au kupigana mpaka upande mmojawapo kati pande zinazopigana aangamizwe na kushindwa kabisa.Mabomu,drones na mashambulizi hayawezi kukoma kwa maombi bali kupitia meza ya mazungumzo kati ya pande hasimu.
Majini hayana nguvu kwa watoto wa MunguKwanini msitumie Albadir kumuua Netanyau na trump?
nchi inaitwa jamhuri ya kiislam, neno kiislam tu ni kitisho cha kueneza uislam kwenye nchi zingine duniani zisizojitambua hasa za afrika. Iran ikipata nguvu na ushawishi wake inaweza tu kuanzisha serikali za kiislam kwa mataifa mengi kwa kuwa ni kiranja mkuu wa uislam duniani. Sasa kwa nini isivunjwevunjwe nguvu ili isieneze siasa za kidini kwenye mataifa dhaifu?Unataka tulazimishwe kuvaa vilemba na kufuga madevu? Iran anatakiwa kurudishwa mikononi kwa Shaha na awe disarmed, Iran ni tishio kwa kila mtu.
We kweli hazikutoshi Maibadhi wanahusika nini hapo na ujinga wako na nani anaye kuambia Ibadhi hawa amini hadithi za Bukhari ni mimi ndio siamini hadithi zake 💯 ikiwa Qur'an inakataza kuamini hadithi 💯 uje wewe uniambie mimi najidai Muislam na siamini hadithi za BukhariHhhhhhhhhh ety unajiita muislamu hlf huamini hadithi za bukhari dah maibadhi mna tabu sanaaa anyway sipo kwa lengo la kubishana ila muombe Allah akujaalie uijue nuru nzuri ya Uislamu utatoka tu huko ulipo bila kushinikizwa
Wewe tuambie nani Mtume waoWaulize mashia mtume wao ni nani halafu njoo unijibu
Ukija na matusi m nakuacha na matusi yako njoo na hoja tuone nani mkweli
Kafiri baba yako Mashia ni 💯 WaislamMashia ni makafiri
Acha matusi mjinga weweKafiri baba yako Mashia ni 💯 Waislam
hamis77 hiki alichoandika ni kweli?We kweli hazikutoshi Maibadhi wanahusika nini hapo na ujinga wako na nani anaye kuambia Ibadhi hawa amini hadithi za Bukhari ni mimi ndio siamini hadithi zake 💯 ikiwa Qur'an inakataza kuamini hadithi 💯 uje wewe uniambie mimi najidai Muislam na siamini hadithi za Bukhari
Huyo Bukhari ndio anazua uwongo kuwa Mtume alimuoa bi Aisha wakati ana umri wa miaka 6 huyo huyo Bukhari anasema Mtume alirogwa Qur'an inasema hakuna Mtu anaye weza kumdhuru Mtume Muhammad
Qur'an sema, "Na Mwenyezi Mungu atakulinda na watu" (Sura Al-Ma'idah 5: 67), ambayo wanazuoni wengi wanaifasiri kuwa ni dhamana ya kwamba hakuna mwanadamu au jini anayeweza kufanikiwa kudhuru nafsi ya Mtume au ujumbe wa Mungu.
Kukanusha Katika Surah Al-Isra (17:47) na Surah Al-Furqan (25:8)Qur'an inasisitiza kwamba ni makafiri waliodai kuwa Mtume alikuwa ni mtu "aliyerogwa" , wakitunga tuhuma hii kama uwongo na kashfa dhidi yake.
Mwisho wa Uchawi Qur'an inasema kwamba wachawi hawatafanikiwa kamwe (Surah Taha 20:69) na kwamba Mwenyezi Mungu atafichua ubatili wa matendo yao (Surah Yunus 10:81).
upande wangu The Qur'an is the only thing that is guaranteed and sealed (guaranteed unchanged) sio Bukhari
We kwanza huna lolote unalo jua upo kuleta fitna za madhehebu tu nilipo kiambia Mashia ni Waislam umekuja na ujinga wa kunishambulia mimi sababu ni Ibadhi kwa tarifa yako hakuna Sunni ambaye anaweza kudebate na Ibadhi akamshinda sababu nyie mpo zaidi kwenye ujinga wa madhehebu na chuki wakati sisi tupo zaidi kwenye vile Qur'an inatuamrisha. Ujinga wa madhehebu baki nao wewe mimi taendelea kuwaheshimu Mashia, Masunni na kila anaye Amini Mungu ni mmoja tu na Mtume Muhammad
Huyo anakataa hadithi ili kuficha madhaifu ya Uislamuhamis77 hiki alichoandika ni kweli?
Inshort huna elimu ya dini pole sanaaaWewe tuambie nani Mtume wao
Nimekuwekea video huko nyuma Mashia Mtume wao ni Mtume Muhammad hizo Story za vijiweni wana Mtume mwingine ni makenge tu kama nyie mnadai vile
Kama dini ya kislam ingeruhusu vichaa kama nyie mtoe elimu mimi wa kwanza ningeamua kuwa mkristo kuliko kupata mtu hajui lolote kuhusu Uislam afu adai ana elimu. Wewe elimu ipi unayo wewe kenge hujui lolote kuhusu Uislam wewe ni wale Ahli Albidaa mnaleta uwongo kwenye dini.Inshort huna elimu ya dini pole sanaaa
Kasome tena kasome haswaaa
Kwaheriii
me co mshia lakan ikiwa ww ni muislam unakosea sanaHivi ww unadhani mashia ni waislamu?
Mashia ni wabaya zaidi kuliko hawa tunowaita makafiri