Waislam tunatakiwa tuiombee dua sana Iran kipindi hichi

Endapo Iran ataanguka ni wazi waislamu wakitaka Hijja viza na mipango yote ya safari za hijja zitapangwa na Isreal, nani aende na nani asiende.
Masjid Aqswa na ardhi yote ya Palestina ambayo ni alama ya uislam utapotea.
Saudia, Quwait, baharain na Qatar viongozi wao tayari nchi zao washazikabidhi kwa Israel na marekani. Amebaki Iran peke yake ambao ndio kikwazo kwao.
Masharti dhidi ya Iran
1. Wasiwe na nyuklia lkn Isreal na marekani wao wazidishe uzalishaji wa nyuklia
2. Wasiwe na silaha, lkn Isreal wao waongeze uzalishaji wa silaha.
3. Wasiwaunge mkono washirika wao lkn Isreal yeye aongeze idadi ya washirika wao.
Masharti haya hata mtoto mdogo hayakubali
Hongera Papa kwa kusema ukweli. Tunategemea TEC kupitia kitima na wao watatoa kauli kuunga mkono kiongozi wao dini
Uislam naanza kuhisi hauhitajiki duniani!?
 
Mkuu swala la Iran si la kidini , ni la haki ya kila mtu anayependa usawa.
Hata mimi Mkristo nawaombea Iran dhidi ya ubabe wa Marekani na Israel.
Na wala sitetei uhayawani wa Israel kuua watoto wadogo Gaza na Lebanon.
Trump na Netanyahu ni maajenti wa Ibilisi
mkristo gani uko shallow namna hii kuhusu kubondwa kwa iran?
 
Wacha hiyo regime ya maayatollah ifurushwe madarakani, imekuwa tishio kwa Israel
 
Adiosamigo
The position taken by the majority of Sunni scholars states that Shias are muslim so long as they don't take part in shrik or beliefs that go against the Quran. And this is applied with other Sunni groups as well. Jalibu kufatilia yaliyo andikwa humu alafu utoe mrejesho✍️✍🏼
I don't agree with you, Sunni Muslims do not think that Shias are non Muslims there some groups who claim to follow Salafi interpretation and it's mainly them who as a result of their extreme form of interpretation consider all Shias to be Non Muslim.

The fact is that in Hajji and Umrah, all Muslims gather including Shias. Calling Shias non Muslims is like saying that Hajji and Umrah is being done by Non Muslims which is obviously incorrect.

Mimi sikubaliani na hadithi nyingi za Bukhari nikubaliane na point zilizo andikwa na anaye tofautisha Waislamu kwanza wapi Qur'an inaruhusu kusema wewe Sunni na Wale Shia Qur'an yenyewe strictly forbids dividing the religion into sects afu wewe ujidai 💯 Muslim acheni ujinga wa kusema Shia sio Muslim tofauti hata kwa wakristo zipo kati ya orthodox na Catholic hio ni sunnat al hayaa lakini sio we Salaf ujione uko sawa wakati wewe nwenye una makosa.
 
Hhhhhhhhhh ety unajiita muislamu hlf huamini hadithi za bukhari dah maibadhi mna tabu sanaaa anyway sipo kwa lengo la kubishana ila muombe Allah akujaalie uijue nuru nzuri ya Uislamu utatoka tu huko ulipo bila ya kushinikizwa
 
Na mbona nchi za kiislam mfano Saudi Arabia ambako kuna Maccah na Madina haziungi mkono Iran waislam wenzao...kwann??
Hadi imevunja uhusiano wa kibalozi na Iran.
Iran ina matatizo Sheakh, kwann inasapoti makundi ya kigaidi kama Hezbullah na Huth??
Libya nayo ilikua namatatizo gani mbona hao ulowataja pia hawakuwahi kuisapoti
Mtoa mada mbona kaelezea vyema uhusiano uliopo kati ya israhell na hao wazayuni
 
Si mlisema ni mbabe na US anawaogopa, ishakuwa maombi tena kama shitholeni? Tusugue goti...
 
Endapo Iran ataanguka ni wazi waislamu wakitaka Hijja viza na mipango yote ya safari za hijja zitapangwa na Isreal, nani aende na nani asiende.
Masjid Aqswa na ardhi yote ya Palestina ambayo ni alama ya uislam utapotea.
Saudia, Quwait, baharain na Qatar viongozi wao tayari nchi zao washazikabidhi kwa Israel na marekani. Amebaki Iran peke yake ambao ndio kikwazo kwao.
Masharti dhidi ya Iran
1. Wasiwe na nyuklia lkn Isreal na marekani wao wazidishe uzalishaji wa nyuklia
2. Wasiwe na silaha, lkn Isreal wao waongeze uzalishaji wa silaha.
3. Wasiwaunge mkono washirika wao lkn Isreal yeye aongeze idadi ya washirika wao.
Masharti haya hata mtoto mdogo hayakubali
Hongera Papa kwa kusema ukweli. Tunategemea TEC kupitia kitima na wao watatoa kauli kuunga mkono kiongozi wao dini
Unataka tulazimishwe kuvaa vilemba na kufuga madevu? Iran anatakiwa kurudishwa mikononi kwa Shaha na awe disarmed, Iran ni tishio kwa kila mtu.
 
Back
Top Bottom