Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.

QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN

1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?

2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI?

JIBU NI SHETANI.

SITAMANI WAKRISTO JIJIFANANISHE NA HILO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.
Umeacha neno hapo kwa madhumuni ya kuhalilisha ukafiri na chuki zako...
 
WAKRISTO AHADI YA MUNGU NI KUWA .

Mathayo 19.29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
Mathayo 19:29

22: 29 Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.
Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni.

BAHATI MBAYA MBIGU YETU IPO TOFAUTI NA YENU.


1. Sisi hakuna KUOA Wala kuolewa

NYIE mnaenda na wake zenu hata kama mke.
HAKUWA na MATENDO MEMA

NYIE mna MITO ya pombe na ma bikra.

Sisi hakuna kula Wala kunywa, njaa Wala kiu, magonjwa Wala vifo.

2 wa KRISTO tunavaa miili isiyo haribika na kuvaa miili ya kuwa kama malaika.

3. UFALME wa MBINGUNI ni kwaajili ya walio hai na si wafu.
Ukimuamini kristo hufi una ahadi ya uzima wa Milele.
 
QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.

QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN

1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?

2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI?

JIBU NI SHETANI.

SITAMANI WAKRISTO JIJIFANANISHE NA HILO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.
 
QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.

QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN

1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?

2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI?

JIBU NI SHETANI.

SITAMANI WAKRISTO JIJIFANANISHE NA HILO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.
Duh unauelewa mdogo sana kweny Quran.

Na hutaki kujua pole sana
 
Wagalatia watapata raha ya kugeuzwa ndafu au sangara

images
Ni kweli sisi Wagalatia tutapata hayo, lakini vipi Allah akuahidini enyi waumini wanawake mabikira na mivinyo?

Yaani anasa ya duniani ndio iwe furaha ya peponi Sheikh?

Quran inageuza peponi kuwa Danguro la uashetati na Bar ya mvinyo?

CAPO DELGADO
 
Ni kweli sisi Wagalatia tutapata hayo, lakini vipi Allah akuahidini enyi waumini wanawake mabikira na mivinyo?

Yaani anasa ya duniani ndio iwe furaha ya peponi Sheikh?

Quran inageuza peponi kuwa Danguro la uashetati na Bar ya mvinyo?

CAPO DELGADO

Na Yesu anafanya kitu gani? Mtapewa mara 100 Hata walioowana mashoga watapewa mabasha 100

Mark 10

28 Then Peter began to say unto him, Lo, we have left all, and have followed thee.

29 And Jesus answered and said, Verily I say unto you, There is no man that hath left house, or brethren, or sisters, or father, or mother, or wife, or children, or lands, for my sake, and the gospel's,

30 but he shall receive an hundredfold now in this time, houses, and brethren, and sisters, and mothers, and children, and lands, with persecutions; and in the world to come eternal life. 31But many that are first shall be last; and the last first.
 
KUMBE NDIO UJINGA MNAOJAZWA MSIKITINI MASIKINI.

DINI NI NENO LA KIARABU LENYE MAANA YA NJIA.

Naomba nikuthibitishie kuwa UKRISTO SIO DINI ni MATENDO MEMA ya Kumfuata Yesu kristo,mwana WA MUNGU ALIYE hai aliyekuja kufanya upatanishi kati yetu na Mungu Baba yake. ( UKRISTO NI Ufuasi kuwa mfuasi wa Yesu kristo)
Katika kutenda sawa sawa na Yoote aliyoagiza
Kwa mujibu wa tafsiri wewe DINI YAKO NI YESU?
KRISTO NI JINA LA YESU. Kwa mujibu wa bibilia.
YOHANA 4:25-26.

25 Yule mwanamke akamwambia, Najua ya kuwa yuaja Masihi, (aitwaye Kristo); naye atakapokuja, yeye atatufunulia mambo yote.

26 Yesu akamwambia, Mimi ninayesema nawe, ndiye.
UKRISTO NI KUJISALIMISHA NA KUNYENYEKEA MBELE ZA MUNGU KWA KUFUATA MAFUNDISHO YOTE ALIYOMTUMA YESU KRISTO.
Huu ndio huwo ukafiri, maana ktk bibilia yenyewe hata hilo nene tuUKRISTO halipo.
Kama lipo lete hilo andiko linalitaja tu ukristo, hadi wewe utoe hio masna ya kuwa ukristo ni kunyenyekea mbele za Mungu.
YOHANA 14: 6
Mimi ndimi njia na kweli na Uzima mtu haji kwa Baba ila mimi.
Kama kweli Yesu ndie njia ya kweli na Uzima basi Lazima ni mfuate kwa sababu alifia dhambi ya Ulimwengu.
LAANA ya Adamu pale edeni.
Dhambi AMBAYO Ulimwengu mzima tulilaaniwa kupitia Adamu.
Sema wewe ulilaaniwa, sisi wailamu hatujalaaniwa.
KUMBU² LA TORAT. 24:16

16 Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.
Kama hiyo haitoshi:-
EZEKIELI. 18:20.
20 Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake.

Litambue hilo, wailamu kila mmoja kwa nafsi yake.
WARUMI 8:9.
Lakini ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamwufuati mwili; bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo, huyo si wa kristo.

MANABII WALIKUWA NA ROHO WA KRISTO.

1PETRO 1:10.
Katika habari ya wokovu huo manabii walitafuta-tafuta na kuchunguza-chunguza, ambao walitabiri habari za neema itakayowafikia ninyi.

Wakatafuta ni wakati upi, na wakati wa namna gani ulioonywa na Roho wa Kristo aliyekuwa ndani yao, ambaye alitangulia kuyashuhudia mateso yatakayompata Kristo, na utukufu utakaokuwako baada ya hayo.

HAPA NDIPO WALIOKUBALI KUMFUATA MAFUNZO YA YESU WANAITWA WAKRISTO.

hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.

Matendo ya Mitume 11:26

NINYI WAISLAMU HAMNA ROHO WA MUNGU.
HAMNA ROHO WA YESU KRISTO.
Ni kweli, sisi waislamu tuna roho ya mundu bali tuna roho/nafsi na mwili aliotupa Mungu ili kusudi tumuabudu na kumsujudia yeye. Yesu ana nafsi yake na mwili wake.
Quran INASEMA WAISLAMU HAMJUI mambo ya Roho.
Na wakikkuuliza mambo ya Roho sema hatuujui mambo ya Roho.
Ni kweli. Wewe ujuwae mambo ya roho, unaijua kesho yako itakuaje?
Na kwa 7bu Yesu ni Muislamu ndio maana nayeye pia hajui kila kitu.

24:36. MATHAYO.
36 Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake.
Waislamu kama Yesu tu, sio kila kitu wanajua.
QURAN INATUAMBIA WALE WALIO AMINI NI WA KRISTO.
Wewe ni kafiri kama ulivyosema mwenyewe kwa mujibu wa bibilia na andiko ukatoa. Tazama unavyopotosha manene ya Allah kwa faida yako binasfi.
Quran 2:62 - Hakika Walio amini, ni Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata malipwa yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.
Sura ya 2 aya ya 62 iko hivi.
QUR-AN. 2:62.
62. Hakika Walio amini, na Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata malipwa yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.
Huyu kafiri alichokifanya ni kuondoa na ktk aya ya Qur-an akabadili akaweka ni. Kwa ukafiri wake, akiwa anajua ya kuwa ukiwa mkristo, myahudi au msabani ukijua haqi na kuifuata hiyo haki wewe ndio unakuwa muislamu/mnyenyekevu.
Hakuna kafiri awezae kuibadilisha Qur-an. Hiyo ni ahadi ya Mungu kwa kafiri yeyeote.
UKRISTO SIO KIBOKSI NI MATENDO MEMA SAWASAWA NA YESU KRISTO WA NAZARETH.
3:13. WAGALATI.

13 Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;

Ni Kristo huyu huyu au yupi?
Alie laaniwa na Mungu anaenda wapi?
 
WAKRISTO AHADI YA MUNGU NI KUWA .

Mathayo 19.29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
Mathayo 19:29

22: 29 Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.
Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni.
Waislamu tunakufa na kwenda kaburini sio mbinguni, na tunaamini tutafufuliwa na kuishi milele.
BAHATI MBAYA MBIGU YETU IPO TOFAUTI NA YENU.
Ni kweli. Ya kwenu si ndio ile aliyoenda Nyerere kule Butiama au?
1. Sisi hakuna KUOA Wala kuolewa
Sisi hapa duniani waislamu wa kiume tunaoa na wa kike wanaolewa. Mungu alitukataza tusizini.
NYIE mnaenda na wake zenu hata kama mke.
Sisi wanyenyekevu ndio, tunaenda na wake zetu.
Sasa wewe mtafute Mh: Ndugai umuulize, vipi Yesu akienda Peponi yule mkewe haendi naye?
HAKUWA na MATENDO MEMA
Waislamu wanaoa wake zaidi ya mmoja, atakaoendanao Peponi ni wale waliotema mambo mema.
NYIE mna MITO ya pombe na ma bikra.
Na yakulalia, pia vikombe, bilauri na sahani tena vya dhahabu.
Sisi hakuna kula Wala kunywa, njaa Wala kiu, magonjwa Wala vifo.
Basi ninyi hamtakuwa kama malaika, kama huli wala hunywi, wewe utakua ndio malaika mwenyewe kabisa yani.
2 wa KRISTO tunavaa miili isiyo haribika na kuvaa miili ya kuwa kama malaika.
Sisi waislamu/wanyenyekevu, Mungu hajatuambia. Kwa hiyo tutakuwa Binaadamu kama kawaida, tukila na kunywa tukistarehe na wake zetu kama kawaida.
3. UFALME wa MBINGUNI ni kwaajili ya walio hai na si wafu.
Kwa hiyo raisi wetu kipenzi anco JPM hana chake?
Ukimuamini kristo hufi una ahadi ya uzima wa Milele.
Mmmm. Unatudang'anya.
Huku ninakoishi kuna makaburi ya wa kristo mengiiiii, au wao hawakumuamini Yesu/Kristo/Masihi?
 
Na Yesu anafanya kitu gani? Mtapewa mara 100 Hata walioowana mashoga watapewa mabasha 100

Mark 10

28 Then Peter began to say unto him, Lo, we have left all, and have followed thee.

29 And Jesus answered and said, Verily I say unto you, There is no man that hath left house, or brethren, or sisters, or father, or mother, or wife, or children, or lands, for my sake, and the gospel's,

30 but he shall receive an hundredfold now in this time, houses, and brethren, and sisters, and mothers, and children, and lands, with persecutions; and in the world to come eternal life. 31But many that are first shall be last; and the last first.
Sawaaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Jibu basi swali Sheikh

Pepo itageuzwa mahali pa kuzagamuana na Mabikira 72 kama Quran inavyotuambia?[emoji23]
 
Sasa hapa unalaumu au unashangaa kwanini watu mpaka leo bado wanaamini huu ujinga? Unajenga msikiti ili uangalie Uarabuni ili iweje, kwani Mungu hasikii sala zako ukiwa unasali kuangalia Afrika au Ulaya? Ukisikia ujinga ndiyo huu, watu wanaaminishwa upuuzi na hawataki kujiuliza. Kumbukeni, Mohammed aliwaamrisha nduguze waarab wa karne ya 6 na si Waafrika kwamba wakijenga msikiti lazima huo msikiti uwe unaangalia Kibla. Huko Zanzibar, Tabora, Mtwara (Mikindani), Lindi Mjini na Vijijini, Kilwa, Ujijii, na Pwani ndiko kuna wapuuzi ambao hawajasoma na huwezi ku-reason nao because wako beyond stupidity.
Tunamfuata Allah Subhanahu-wataala, na sunna za Mtume wetu Muhammad SAW alizozileta tangu enzi na enzi, hatupaswi kuzitengua kwa utashi wetu.

Kwani tukiwa tunaamini ujinga, wewe unakereka mkuu?
 
Sawaaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Jibu basi swali Sheikh

Pepo itageuzwa mahali pa kuzagamuana na Mabikira 72 kama Quran inavyotuambia?[emoji23]
Aya gani hiyo ?
 
Pamoja na kwamba mimi sio Islamic, lakini niliwahi kujifunza kwamba.... Ikiwa upo Afrika Mashariki, kawaida Qiblah ni kaskazini. Hivyo mkono wako wa kuume ukielekea kunapochomoza jua na mkono wa kushoto kunapotua jua basi uso wako utakuwa umeelekea Makkah.
Umemjibu vyema ingawa hoja ya mleta mada ilikuwa siyo kupata ukweli bali dhihaka kwa Waislam. Binadam ni kazi kwelikweli!!!!
 
Ni kweli sisi Wagalatia tutapata hayo, lakini vipi Allah akuahidini enyi waumini wanawake mabikira na mivinyo?

Yaani anasa ya duniani ndio iwe furaha ya peponi Sheikh?

Quran inageuza peponi kuwa Danguro la uashetati na Bar ya mvinyo?

CAPO DELGADO
Kwani hujui ya kuwa Watoza ushuru na Makahaba ndio wanatangulia kuingia uzima wa mimele?
 
Kwani hujui ya kuwa Watoza ushuru na Makahaba ndio wanatangulia kuingia uzima wa mimele?
Milele √

Ni kweli mkuu, hao pamoja na wale tunaowahukumu kuwa ni watenda dhambi wataingia na kuwaacha Maaskofu, Wachungaji, Mapdri, Makadinali, Monsinyori, Wainjilisti na wengine wenye kujiinua ila ni Wanafiki mbele za Mungu
 
Kuna dini Moja ,vitabu vyao vinasema
ungu wao:,

❌Ana jicho Moja.

❌ Ana mikono wiwili ya kulia na Hana mkono wa kushoto.

❌ Ana mguu mmoja tuu.

Nimevuta hisia na kumchora kifikra ikaabidi niogope mwenyewe kweli ni Mungu au kiumbe kingine ?
 
MAPADRI WA KANISA LA RUMI WALIVYOANDIKA QURAN NA KUMPA MOHAMED UTUME.

Hii inaweza kuwa kweli aisee, manake zipo fact kadhaa zinatakiwa kufanyiwa tafakuri jadilifu:
1. Huyo Padre aliyemtabiria Muhammad utume ni kweli kabisa, na waislam wanaijua hii stori.
2. Mariam(Bikira Maria) kupewa sura nzima katika quran inahitaji tafakari pia.
3. Jeshi la waislam katika vita ya Jihad walikatazwa kubomoa makanisa ni kweli kabisa na waislam wanalijua hili.
4. Jeshi la waislam kipindi hicho kuweza kushinda kwa kasi vile wakati hawakuwa na nguvu yoyote ilikuwaje? Wakati Rumi ndo ilikuwa ikitawala Dunia? Inawezekana kweli walisaidiwa na Warumi.
5. Waislam kuwa maadui zao ni wayahudi hili pia ni kweli imeandikwa katika vitabu vyao.



MUHAMMAD ALIKUWA ANAVALIA MAVAZI YA KIKATOLIKI WAKATI WA KUSALI : SWALI ANAYEVAA VAZI LA KIKATOLIKI ANAITWA MKATOLIKI AMA MWISLAMU?J

Ilisimuliwa Na 'Ubadah bin Samit alisema:

“Mtume Muhammad s.a.w (tulimuona) akitoka kwetu siku moja, akiwa amevaa vazi la Kirumi [kikatoliki] la sufu na mikono nyembamba. Na Alituongoza katika maombi akiwa amevaa hilo, na si kitu kingine chochote. ”

حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ عُثْمَانَ بْنِ كَرَامَةَ، حَدَّثَنَا أَبُو أُسَامَةَ، حَدَّثَنَا الأَحْوَصُ بْنُ حَكِيمٍ، عَنْ خَالِدِ بْنِ مَعْدَانَ، عَنْ عُبَادَةَ بْنِ الصَّامِتِ، قَالَ خَرَجَ عَلَيْنَا رَسُولُ اللَّهِ ـ صلى الله عليه وسلم ـ ذَاتَ يَوْمٍ وَعَلَيْهِ جُبَّةٌ رُومِيَّةٌ مِنْ صُوفٍ ضَيِّقَةُ الْكُمَّيْنِ فَصَلَّى بِنَا فِيهَا لَيْسَ عَلَيْهِ شَىْءٌ غَيْرُهَا ‏.‏

Sunnah kitabu cha 32 Juzuu ya 4, Hadithi 35

MUHAMMAD ALIRUDI KWA BABA YAKE WA IMANI PADRI WARAQA BIN NAUFAL MKATOLIKI KUENZI MAVAZI YA KATOLIKI AMBAYE ALIMWAMBIA JIBASHIRIE MWENYEWE KUWA WEWE NI MTUME WA UMMA HUU wakishirikiana na Mke Muhammad aitwaye Bibi Khadija

Huyu PADRI WARAQA BIN NAUFU NI MKRISTO KUTOKA ROMANI KATOLIKI USHAHIDI HUU CHINI SIKU WANAMPA UTUME MUHAMMAD MWENYEZI MUNGU ALIKUWA SHAHIDI TU KATIKA TUKIO HILO


Qur'an 4:79. Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

Qur'an 13:43. Na walio kufuru wanasema: Wewe hukutumwa. Sema: Mwenyezi Mungu anatosha kuwa shahidi baina yangu na nyinyi, na pia yule mwenye ilimu ya Kitabu.

Qur'an 36:3. Hakika wewe ni miongoni mwa walio tumwa.

HIZO JUU NDIYO KAULI ZA MKEWE MUHAMMAD AITWAYE KHADIJA NA PADRI WARAQA BIN NAUFAL MKATOLIKI

USHAHIDI WA HADITHI HUU HAPA MUHAMMAD ALIPEWA UTUME NA PADRI WARAQA BIN NAUFAL MKRISITO MKATOLIKI NA MKEWE KHADIJA NA BIBI KHADIJA NDIYE MWANADAMU WA KWANZA ULIMWENGUNI KUSILIMU KUWA MWISLAMU KISHA AKAFUATA ALI BIN TALIB

Amesimuliw na Aisha:

(mke wa Mtume) Kuanza (kwa Uvuvio wa Kimungu) kwa Mtume wa Allah kulikuwa katika hali ya ndoto za kweli katika usingizi wake, kwani hakuwahi kuwa na ndoto lakini ikawa kweli na wazi kama mwangaza wa mchana. Halafu akaanza kupenda kujitenga, kwa hivyo alikuwa akijitenga kwenye pango la Hira ambapo alikuwa akimwabudu Mwenyezi Mungu mfululizo kwa usiku mwingi kabla ya kurudi kwa familia yake kuchukua chakula cha lazima kwa ajili ya kukaa.

Alirudi kwa (mkewe) Khadija tena kuchukua chakula chake (vile vile chakula) vivyo hivyo, mpaka siku moja alipokea Mwongozo wakati alikuwa katika pango la Hira. Mtu Mmoja alimjia na kumwambia asome. Mtume alijibu, "Sijui kusoma." Mtume akaongeza, "Kisha Mtu Yule alinishika (kwa nguvu) na akanibana sana hadi nikahisi shida. Kisha akaniachia na akaniuliza tena nisome, nami nikajibu," Sijui kusoma.
" Hapo alinishika tena na kunibonyeza kwa mara ya pili mpaka nikahisi kuzimia. Kisha akaniachia na kuniuliza nisome, lakini tena nikamjibu.'Sijui kusoma.' Hapo alinishika kwa mara ya tatu na kunibana mpaka nikafadhaika, kisha akaniachia na kusema, 'Soma, kwa Jina la Bwana wako Ambaye ameumba (vyote vilivyopo), . Amemuumba binaadamu kwa tone la damu Na Mola wako ni Mkarimu zaidi. Ambaye amefundisha maandishi kwa kalamu, na amemfundisha mwanadamu yale asiyokuwa akiyajua. (Qur'an 96.1-5).
Kisha Mtume akarudi na hali hiyo na misuli kati ya shingo yake na mabega ilikuwa ikitetemeka mpaka alipomjia Khadija (mkewe) na kusema, "Nifunike " Alimfunika, na hali ya hofu ilipoisha, akamwambia Khadija, "Ewe Khadija! Kuna shida gani kwangu Mimi Muhammad ? Niliogopa kwamba kitu kibaya kimenipata na Najihofia nafsi yangu kuchezewa na mashetani na kuniharibu akili yangu na kunizuga! ."
Kisha akamwambia hadithi hiyo ilivyotokea pangoni. Khadija alisema, "Hapana! Bali pokea habari njema! Wallahi,Mimi Naona Umekwisha kuwa Mtume Wa Mwenyezi Mungu hatakufedhehesha kamwe, kwani kwa Mwenyezi Mungu unaweka uhusiano mzuri na jamaa na jamaa yako, unasema ukweli, unasaidia masikini na wanyonge, uwakaribishe wageni wako sana na uwasaidie wale waliopatwa na misiba. " Khadija kisha akampeleka kwa Waraqa bin Naufil, mtoto wa mjomba wa baba yake Khadija.


Huyu Padri Waraqa bin Naufal alikuwa amebadilisha Dini na kuingia katika Dini ya Kikristo kwa Muda Mrefu Sana katika Kipindi hicho cha Kabla ya Kuja Dini Mpya ya Uislamu na alikuwa akiandika Kiarabu na Alikuwa anaandika injili kwa Kiarabu vile vile Mwenyezi Mungu aliyotaka ayaandike. Alikuwa mzee na alikuwa amepoteza macho yake.


Khadija alisema (kwa Waraqa), "Ewe binamu yangu! Sikiliza nini mpwa wako Nini anataka kusema." Waraqa akasema, "Ewe mpwa wangu! Umeona nini?" Kisha Mtume akaelezea kila kitu alichokiona.

Waraqa alisema, "Huyu ndiye Malaika (Jibrili) yule aliyetumwa kwa Musa. Basi jibashirie Mwenyewe (Muhammad) Wewe Ni Mtume wa Umma huu.Laiti ningekuwa mchanga." Aliongeza taarifa nyingine. Mtume wa Mwenyezi Mungu aliuliza, "Je! Watu hawa watanifukuza?" Waraqa alisema, "Ndio, kwani hakuna mtu aliyeleta mfano kama huu ulioleta, lakini alitendewa kwa uadui. Ikiwa ningeendelea kuwa hai hadi siku yako unapoanza kuhubiri hii Dini yako Mpya ya Uislamu Basi ningekuunga mkono sana mpwa wangu.

" Lakini muda mfupi baadaye Padri Waraqa bin Naufal alikufa Ndipo Bibi Khadija Mke wa Mtume akawa ndiye Mtu wa Kwanza Ulimwenguni Kusilimu na hakutanguliwa na Mtu yeyote kisha Akafuata Ali bin Talib huyu alisilimu akiwa na Miaka kumi na Uvuvio wa Wahyi ulikatika(ulimamima) kwa muda baada ya Padri waraqa bin Naufal na Mtume wa Allah alihuzunika sana kwa Kufa Huyu padrie waraqa bin Naufal.

رواه عائشة: (زوجة الرسول) كانت بداية رسول الله صلى الله عليه وسلم أحلامًا حقيقية في نومه ، فلم يحلم قط بل صار حقيقيًا وواضحًا كالنهار. ثم بدأ في حب العزلة ، فكان ينعزل عن غار حراء حيث كان يعبد الله باستمرار لعدة ليال قبل أن يعود إلى أهله ليأخذ ما يلزمهم من طعام للإقامة. عاد إلى (زوجته) خديجة مرة أخرى ليأخذ طعامه (وكذلك طعامه) بنفس الطريقة ، حتى استلم ذات يوم المرشد وهو في غار حراء. جاءه شخص ما وقال له أن يقرأ. فأجاب الرسول: لا أعرف القراءة. وأضاف الرسول: ثم أمسكني الرجل (بعنف) وشدني حتى شعرت بالمتاعب ، ثم سمح لي بالذهاب وطلب مني القراءة مرة أخرى ، فقلت: لا أعرف كيف أقرأ. "ثم أمسك بي مرة أخرى وضغط علي مرة ثانية حتى شعرت بالإغماء. ثم سمح لي بالذهاب وطلب مني القراءة ، لكني أجبت مرة أخرى." لا أعرف كيف أقرأ ". هناك أمسك بي مرة ثالثة وأمسك بي حتى انزعجت ، ثم أطلقني وقال: اقرأ باسم ربك الذي خلق (كل ما هو) ، خلق الإنسان بقطعة قماش. اقرأ! والرب أكرم وقد علم الإنسان ما لم يعرفه (القرآن 96.1-5).
ثم عاد الرسول بالحالة واهتزت العضلات بين رقبته وكتفيه حتى جاء إلى خديجة (زوجته) وقال: غطني غطائها ، وعندما انتهت حالة الخوف ، قالت لخديجة. "يا خديجة! ما خطبتي يا محمد؟" كنت أخشى أن يحدث لي شيء سيء وكنت أخشى أن تتأخر روحي بسبب الشياطين وتدمر عقلي وتنام! ثم أخبرته قصة ما حدث في الكهف .. فقالت خديجة: لا! ولكن تلقي البشارة! والله أظنك صرت رسولا ولن يعلمك الله في الحال فالله يقيم علاقات طيبة مع أقاربك فتقول الحق وتساعد الفقراء والضعفاء وأنت مضياف جدا وتساعد الذين عانوا. المآسي. ثم أخذته خديجة إلى ورقة بن نوفيل ، ابن عم والد خديجة. كان هذا القس ورقة بن نوفل قد اعتنق المسيحية لفترة طويلة جدًا في عصر ما قبل الإسلام وكان يكتب باللغة العربية وكان يكتب الإنجيل باللغة العربية كما أراده الله أن يكتبها. كان قد تقدم في السن وفقد بصره. قالت خديجة (لورقة): "يا ابن عمي! اسمع ما يقول ابن أخيك ما يقول". قال ورقة: يا ابن أخي ما رأيت؟ ثم وصف النبي كل ما رآه.
قال ورقة: هذا هو الملاك (جبريل) الذي أرسل إلى موسى ، فتنبأ على نفسك (محمد). أنت رسول هذه الأمة ، لاني كنت طفلاً صغيراً. وأضاف بيانا آخر. قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: هل يبعدني هؤلاء؟ قال ورقة: "نعم ، لأن أحداً لم يضرب مثالاً كهذا ، لكنه تصرف بعدائية. لو بقيت على قيد الحياة حتى يومك تبدأ في الدعوة إلى هذا الدين الجديد للإسلام ، فسأكون داعماً جداً لابن أخي". لكن خديجة زوجة الرسول صارت أول إنسان في العالم يعتنق الإسلام ولم يسبقه أحد.

Sahih al-Bukhari 4953 Juzuu Ya 6,kitabu Cha 60, Hadith 478
 
Back
Top Bottom